Dark days 17/03/20...

Mkuu hongera kwa kuliona hilo..

Kwanza alipitiliza kila kitu akitaka kwanza yeye aone maslai yakoje na kuwa mkali sana asisemwe hapa umekosea.

Natolea mfano wa wazi.. Late CEO aliondoa clearing/forwarding companies nyingi pale mjini kati. Lakini ikatengenezwa moja ionekane ndio inashughulisha na bandari ili eti mapato yaongezeke. Ile iliyotengenezwa ilikuwa ya kwakwe binafsi ila kwa jicho la nje inaonekana kwa mfumo wa taasisi kampuni. Kitendo hiki kiliaribu ajira za watu kama 5,000. Wengi walikuwa wanajishikisha hapo mjini na hakosi hata msimbazi kwa siku.. Kwa kazi hizo na zilikuwa halali.

Kuna mazuri mengi amefanya late CEO na pia kama binadamu kuna mabaya machache aliyafanya. Lakini ukiweka kwenye mizani Mazuri mengi aliyoyafanya yanafunikwa kwa mabaya machache aliyotenda
 
Nafkiri kwenye kula hapo hujamuelewa luckyline ni kwamba kwenye ushindani wa biashara washindani wawili hawawezi kuwa na maslahi yanayofanana katika kampuni moja, iweje hawa washindani wale sahani moja? Wafanyakazi wa chini watalichukuliaje hili kama si unafiki?
 
Vipi kuhusu yule baharia?
 
Wewe jamaa umeandika kitu kikubwa sana aisee maelezo mafupi lkn yaliyobeba maana nzito sana hongera sana mkuu
 
Ila watu kwa code hamjambo eti "daftari"
I salute itabidi nirudu shule
 
Hapo kwenye "Daftari Limeibiwa" kamaanisha nini mkuu?

Huyu luckyline angeileta hii stori yeye tungeteseka sana kwa codes ngumuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
OK ngoja niidadavue...
Hivi ukiwa na safari kutoka kampuni moja kwenda kampuni nyingine nje ya mipaka... huwa kuna Daftari linahitajika ili uweze kutoka nje ya mpaka..
NIMEMALIZA
 
Kwa kipande hiki angalau matumain yanaanza kuonekana, ila vipi huyu new CEO hawezi kupandikizwa kunguni na tabasamu Kama alivyofanya kwa Magufuli.

Ila Mimi maombi yangu ni tabasamu apigwe apigwe apigwe mpaka achakae.
Asingempa maelekezo kama hajapandikiza chawa. Hawa lao moja, old CEO na old CEO
 
luckyline si kwa mapenzi yale ya baba kwa branch manager hata juzi kwenye siku ya maadhimisho ya kifo chake alikuwa pale chato akiwa frontline na vijana wa mzee
Niliona ila kinachonishangaza ni kwa nini alimuamini wakati sote tunajua huyu ni kijana wa old CEO? Maana hakustahili kumuhusisha kwenye mambo makubwa.lakini ndo hivyo alimuamini.
 
Aisee! Hii simulizi ni ya kuogofya sana!
 
Niliona ila kinachonishangaza ni kwa nini alimuamini wakati sote tunajua huyu ni kijana wa old CEO? Maana hakustahili kumuhusisha kwenye mambo makubwa.lakini ndo hivyo alimuamini.
Mimi kosa langu kwake ni kumkubali CEO mpya wa kampuni wa sasa hivi kuwa msaidizi wake, nikikumbuka zile TOP SECRETS zilivyokuwa zinavuja hovyo kwa yule mshenzi Kigogo naaanza kuamini huyu ndio alikuwa mshirika mkubwa wakishairikiana na mkuu wa security maana mzee wa smile ndio alimtengenezea njia wote hawa hawakuwa loyal kwake Dead CEO alikosea kimtoa KP katika ile nafasi yake.

Jamaa walikuwa na mkono mrefu mno, hivyo walimchezesha vilivyo the dead CEO alilijua hili sema alikuwa mbishi sana.

Hakika kikulacho siku zote kiko nguoni mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…