Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Nauuliza UFAHAMU wangu maswali haya, Si lazima nijibiwe.

Target locked; 20 July?

1.Inspector manyota anatenguliwa, alikuwa ameset target somewhere?

2. Bt alikuwa amelenga target Mahali ameahirisha au amefail target?

3. Bt ametapika ndoano?

4.Bt amewin target nani Kwa nan?

5. Kikao kimekaa na kufikia makubaliano kumaliza uhasama?

Tusubiri simulizi, haya mambo hayataki papara.
Mmh[emoji848]
Inafikirisha
Asikiae na afahamu.....
 
Target is locked ............

Mark the day.......

The day 20/07/2022, it is mid night, but some people arent sleeping!!

one of the historical moment in mr born town's company!

Now we can start season 2 .............

The Pandora box is opened.

Stay safe current CEO and thank God for what has just happened!! Your safe ..........

15th of Agust!! Season two itakua hapa!!

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Kwenye uzi wa bwana Tumia akili alianza na maneno "JAL 123 FLIGHT". Naona tarehe ya tukio zinashabihiana

Labda kuna uhusiano wa hii hadithi na ile ndoto.
Screenshot_20220721-183627.jpg
 
Hebu fafanua viziri,MAARAIS WENGI SI BINADAMU unaimanisha nini!
Kuna kanjanja mwenzako anaitwa samurai anawalaghai watu anajifanya anayajua ya ulimwengu usioonekana.

Maneno meengiii kujitia jasusi kumbe mchawi wa kawaida sana.

Wala hakuna jipya hapo. Tunatambua, marais wengi sio BINADAMU.

Mnawalaghai laghai wajinga tu.
 
Habari ya mchana leds and gents!! [emoji123][emoji123] Hope tuko fine!!

After a long break na majukumu ya hapa na pale, And As we are about to drop season 2,

Kama unaswali niulize takujibu tuuu!! Karibuni[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji123]
Wewe ni pisi moja matata sana, bishaa...
 
Kwenye uzi wa bwana Tumia akili alianza na maneno "JAL 123 FLIGHT". Naona tarehe ya tukio zinashabihiana

Labda kuna uhusiano wa hii hadithi na ile ndoto.View attachment 2299030
Mkuu
Filaria worms

Coded Sana Hawa Jamaa!!

"Siku tisini halafu nyingine mia themanini ,tena tisini TAYARI hiyo ni Baada ya ile ya kustaafu""
Kwenye uzi ule wa kitabu mwishoni kabisa ndio kaandika!ina Maana Baada ya mstaafu kustaafishwa ndio kuna ukamilisho wa kitabu!!!

Pia alionya pale St Peters kuna wale wanaolinda maslahi ya wakubwa watakaushwa kimya kimya wale watakao zuia katiba mpya isiandikwe nadhani utimilifu umefika!

Alionya kwenye uzi wa operation kusitisha the State wamesema apewe muda!!
 
Ngoje tuone mwisho wake, Ila mh hay mbo yakitokea kwel nitabaki mdomo waz
 
Mkuu
Filaria worms

Coded Sana Hawa Jamaa!!

"Siku tisini halafu nyingine mia themanini ,tena tisini TAYARI hiyo ni Baada ya ile ya kustaafu""
Kwenye uzi ule wa kitabu mwishoni kabisa ndio kaandika!ina Maana Baada ya mstaafu kustaafishwa ndio kuna ukamilisho wa kitabu!!!

Pia alionya pale St Peters kuna wale wanaolinda maslahi ya wakubwa watakaushwa kimya kimya wale watakao zuia katiba mpya isiandikwe nadhani utimilifu umefika!

Alionya kwenye uzi wa operation kusitisha the State wamesema apewe muda!!
Ila mkuu id yko inaonekana yakimchongo.. samahan lkn
 
Wewe ni Islamic? Samahani kwa swali hili
Islamic ndo ushuzi gani?

Labda nirudie tena kwa herufi kubwa:

HAO MARAIS WA SERIKALI ZA ULIMWENGU HUU NI MASHETANI YALIYO NA MIILI YA BINADAMU.

Na kama hujanielewa vizuri, nitakuwa tayari kurudia tena kwa herufi kubwa.

Nasema hivi:

MARAIS WA SERIKALI ZA ULIMWENGU HUU NI MASHETANI YALIYO NA MIILI YA BINADAMU!
 
Kuna kaelement ka dini hapa. Na ninachoamini mimi hawa the lates wamekuwa na misimamo ya kuileta zaidi nchi pamoja badala ya maslahi binasfi. ./QUOTE]

Umesoma liwaya na kuilewa?

Wamekwambia " Mzee kifimbo CHEZA kazimwa na Bonge"

Kisa na mkasa ni kuuza kihenge Cha kampuni kwa investors Toka bondeni Tombi na Brena farce.
 
Sio wanadamu kivipi, lainisha hili neno lieleweke
Mungu alipoamua kuiangamiza Sodoma na Gomora alituma MALAIKA ambao walikuwa Kwa mwonekano ni watu kabisa.

Biblia inasema Lutu na familia yake walishikiwa mkono wakatolewa Kwa nguvu nje ya mji Ili wasiangamie Kwa mishale ya moto Kutoka Mbinguni.

Kuzimu nayo Kwa kuiga hawajambo, wakaona nao watengeneze watu wao Kutoka Kuzimu waje wazaliwe na kutimiza mission zao kusaidia kukamilisha mpango wao wa NEW WORLD ORDER.

Amini usiamini nafasi nyingi za kiutawala DUNIANI wameteka wao, Mahospitalini wamejaa, Mashuleni wapo, na Kila secta muhimu, Nia ni kuwamaliza Wana wa Mungu Ili waiteke Dunia.

Pia wapo kuhakikisha DEVILISH behaviours zinahalalishwa Duniani mfano ushoga, Utoaji mimba, dawa za kulevya, VITA, DHULUMA,Sheria kandamizi dhidi ya Ibada nk.

Dunia nzima, 60% ya watu unaowaona, ni mapepo mixture na WANADAMU, mama ni mtu baba ni PEPO, au baba ni mwanadamu kazaa na pepo aliyekuja kama binadamu.

40% pekee ndo WANADAMU Kutoka uzao wa Adamu, yaani baba na mama wanazaa mtoto hajachanganya uzao.

Ukitaka naweza kukupa link uone watoto na watu waliozaa na mapepo na wanaishi hapa hapa Kwa kampuni yetu.

Dunia ilipofikia ni pabaya sana, hutakiwi kurelax, tafuta sana maarifa na Kumjua Mungu.

Ni huruma kwako utapojua mkeo ni PEPO ktk form ya kibinadamu, au shangazi n.k

Niishie hapo Usijekosa USINGIZI, ingawa ndo KWELI.

Ameeeen.

Not to that extent..

Usitutisheeee.....
 
Tuma hyo linki kiongozi,
 
Okay, naomba unipe hiyo link nijionee, pia kuna uwezekano wa malaika pia kuzaa na binadamu, na siyo mapepo pekee kuzaa na binadamu! Nipe hiyo link!
 
Back
Top Bottom