Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Hizo layers mnaenda ninyi wa CHINI gizani.

Sie ni WA JUU, JUU sana. Tunaingia Ulimwengu huo kupitia ROHO wa KRISTO, Amen
Amen..

Viwango vyako viko juu.. Unaweza kujua huyu wa chini.. Huyu wa Kati.. Huyu wa juu..

Hakika hata Musa hakujiinua namna hii kuupiga ule mwamba na fimbo yake kuwanywesha kundi lake.
 
Kuna books na machapisho mbalimbali zama kusoma,
Ingia U-Tube:
1. Mapepo ktk form ya kibinadamu by Zipporah Mushalla, ni WA Zambia.
2. Mtoto wa Dawa anavyopatikana- Sheikh Omary Mnyesheni.
3. NDOA za Kishetani Part 3. mahanaim International.
Source zingine tafuta mwenyewe.
Mkuu weka Link watu tuone uongo wako
HAPA HAKUNA LINK
ni wewe tu unaandika Notice za madhabahuni kwa waumini wa kilokole
 
Du kanisa limeamia kwenye bandiko hili Sasa, hum Kuna watu wanajua maandiko hivi KILA mtu akiamuka na nondo zake tutafika jaman
Tuliwaambia UZI wa yoga umevamiwa na mapunguani hamkutuamini
sasa nagalia ulivyopotezwa ukahamia Dini za Uongo
je na mwinginw akileta Dini yake hapa si mtafaruku
Bora tusubiri hiyo season 2 huko Agosti 2022
 
PK ni daraja la kufikia na kupata mali za DRC,full stop.
Yeye binafsi hawezi chochote.
Tunamjua nje ndani,ni wetu,hatutishi na hatubabaishi.
Anaijua vyema Tanzania ndio maana alipewa kitisho kidogo na born town na kuufyata.
Kuna ngozi nyeupe ndiyo ipo nyuma yake.
Hizi hekaya za kuichafua Rwanda na rais wake Paul kagame ,eti " wanaiba madini ya congo DR" ifike Mahalia zipuuzwe.

Haiingii akirini , Rwanda iliyo Toka kusambaratika 1994 , ikiwa imezingukwa na vitisho vya wapiganaji wa kihutu , waliyo kimbilia Kongo Tena wakiwa na siraha za kivita ,iweze kijikusanya nakuanza kuchimba madini congo kabla hata ya miaka 5.
Kama madini yana weza kuibiwa kiupesi hivyo basi kusingekua ,GGM ,ACASIA, BARICK, Kule Tanzanait tungendelea kuikota, na Mwadui asingekuwepo muekezaji.
 
Hawa walikuja toka enzi za mchonga, matatizo kwao yapo miaka mingi hata kabla ya Mr Slimboy kushika usukani,yaani hawa watu kwa asili ni wagomvi hapa nchini wapo wengi wanajiita Watz kutoka Ngara,na wana nyadhifa kubwa na nyeti ila wote wana kitu kimoja ni kama Waisrael hawasahau kwao!
Wimbi la mwazo ni 1954. Ilikua kabla ya Mchonga meno, japo ukimsoma Muinjilist Kasupa anasema" hata Mchonga anatoka Hima empire"

Hao walio ingia 1954 miongoni mwao.walikua na ujuzi kama ualim , U doctor, nafani nyinginezo lakini zaidi mifugo.

Wengi walihudum.kulingana na ujuzi wao,hivyo ilitoa nafasi ya kuweza kuandaa kizazi kinachofuata.

Kimbuka hiki kizazi kilicho fuata kina uraia wa kizaliwa ,kutoka kwa zazi wao wenye wa kuandikishwa.
 
Spiritually, kivipi mkuu, swala ni MOJA tu hata unapotunza fedha Kama sio nyumbani kwako hakuna hicho , maana mtumishi wa Mungu lazima jua yote ya kidunia na ya haela,so tengeneza pesa zako , we unafikili pesa unaletewa sadaka imepita wapi na wapi,?
Central afrika aliletwa mtu makini na mtu mmoja ndani ya mji HUO na lifimbo limekomaa just fimbo teleza kwenye tiles ,likagawanyika vipande vitatu, leo tunaona wajiitao malaika nao wamepata wajiitao malaika , japo wataruka tena sijui kwenda wapi fuatilia nyendo zao, namshukuru animilikiae ishi yangu , sio mchungaji,Sina kanisa ila amenichagua kuwa kioo cha kujiangalia, bila fuata mkumbo, haya Mambo yaacheni mwacheni mwenye uzi atambe ,na watu wafurahi basi
Viongozi wenyewe wanaleta uspiritcho kwenye siasa zao
 
Mungu alipoamua kuiangamiza Sodoma na Gomora alituma MALAIKA ambao walikuwa Kwa mwonekano ni watu kabisa.

Biblia inasema Lutu na familia yake walishikiwa mkono wakatolewa Kwa nguvu nje ya mji Ili wasiangamie Kwa mishale ya moto Kutoka Mbinguni.

Kuzimu nayo Kwa kuiga hawajambo, wakaona nao watengeneze watu wao Kutoka Kuzimu waje wazaliwe na kutimiza mission zao kusaidia kukamilisha mpango wao wa NEW WORLD ORDER.

Amini usiamini nafasi nyingi za kiutawala DUNIANI wameteka wao, Mahospitalini wamejaa, Mashuleni wapo, na Kila secta muhimu, Nia ni kuwamaliza Wana wa Mungu Ili waiteke Dunia.

Pia wapo kuhakikisha DEVILISH behaviours zinahalalishwa Duniani mfano ushoga, Utoaji mimba, dawa za kulevya, VITA, DHULUMA,Sheria kandamizi dhidi ya Ibada nk.

Dunia nzima, 60% ya watu unaowaona, ni mapepo mixture na WANADAMU, mama ni mtu baba ni PEPO, au baba ni mwanadamu kazaa na pepo aliyekuja kama binadamu.

40% pekee ndo WANADAMU Kutoka uzao wa Adamu, yaani baba na mama wanazaa mtoto hajachanganya uzao.

Ukitaka naweza kukupa link uone watoto na watu waliozaa na mapepo na wanaishi hapa hapa Kwa kampuni yetu.

Dunia ilipofikia ni pabaya sana, hutakiwi kurelax, tafuta sana maarifa na Kumjua Mungu.

Ni huruma kwako utapojua mkeo ni PEPO ktk form ya kibinadamu, au shangazi n.k

Niishie hapo Usijekosa USINGIZI, ingawa ndo KWELI.

Ameeeen.
Samahani muheshimiwa tunaomba link.
 
Samahani muheshimiwa tunaomba link.
Nimetoa rejea page no 244 nilipomjb CHLORINE GAS. Tatz wengi hamtafiti, anyway,

Kuna video U-Tube: type; NDOA za Kishetani Part 3, by mahanaim International.

Humo Kuna pepo ktk form ya kibinadamu alioa mke kanisani kbs na wakazaa watoto, alikuwa daktar hosp kubwa hapa mjini,

Alikuwa na uwezo wa kujigawa Akawa 2 places at same time na watoto ni nusu mtu nusu binadamu.
 
Target is locked ............

Mark the day.......

The day 20/07/2022, it is mid night, but some people arent sleeping!!

one of the historical moment in mr born town's company!

Now we can start season 2 .............

The Pandora box is opened.

Stay safe current CEO and thank God for what has just happened!! Your safe ..........


15th of Agust!! Season two itakua hapa!!

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Nakusubiri kwa shauku mpenzi ukuje sasa August 15!
 
Back
Top Bottom