Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Okay, naomba unipe hiyo link nijionee, pia kuna uwezekano wa malaika pia kuzaa na binadamu, na siyo mapepo pekee kuzaa na binadamu! Nipe hiyo link!
Malaika wamekuwa PROHIBITED kufanya hivyo,

Wale wa GIZA ndo KAZI Yao maana waliasi na wanafanya kinyume na Kila AMRI ya Mungu.

Malaika wa Mungu wapo kuleta ujumbe na Kutoa ulinzi Kwa Wana wa Mungu, hawajihusishi na vitendo hivyo.
Ameeeeen.
 
Tuma hyo linki kiongozi,
Kuna books na machapisho mbalimbali zama kusoma,
Ingia U-Tube:
1. Mapepo ktk form ya kibinadamu by Zipporah Mushalla, ni WA Zambia.

2. Mtoto wa Dawa anavyopatikana- Sheikh Omary Mnyesheni.

3. NDOA za Kishetani Part 3. mahanaim International.

Source zingine tafuta mwenyewe.
 
Mungu alipoamua kuiangamiza Sodoma na Gomora alituma MALAIKA ambao walikuwa Kwa mwonekano ni watu kabisa.

Biblia inasema Lutu na familia yake walishikiwa mkono wakatolewa Kwa nguvu nje ya mji Ili wasiangamie Kwa mishale ya moto Kutoka Mbinguni.

Kuzimu nayo Kwa kuiga hawajambo, wakaona nao watengeneze watu wao Kutoka Kuzimu waje wazaliwe na kutimiza mission zao kusaidia kukamilisha mpango wao wa NEW WORLD ORDER.

Amini usiamini nafasi nyingi za kiutawala DUNIANI wameteka wao, Mahospitalini wamejaa, Mashuleni wapo, na Kila secta muhimu, Nia ni kuwamaliza Wana wa Mungu Ili waiteke Dunia.

Pia wapo kuhakikisha DEVILISH behaviours zinahalalishwa Duniani mfano ushoga, Utoaji mimba, dawa za kulevya, VITA, DHULUMA,Sheria kandamizi dhidi ya Ibada nk.

Dunia nzima, 60% ya watu unaowaona, ni mapepo mixture na WANADAMU, mama ni mtu baba ni PEPO, au baba ni mwanadamu kazaa na pepo aliyekuja kama binadamu.

40% pekee ndo WANADAMU Kutoka uzao wa Adamu, yaani baba na mama wanazaa mtoto hajachanganya uzao.

Ukitaka naweza kukupa link uone watoto na watu waliozaa na mapepo na wanaishi hapa hapa Kwa kampuni yetu.

Dunia ilipofikia ni pabaya sana, hutakiwi kurelax, tafuta sana maarifa na Kumjua Mungu.

Ni huruma kwako utapojua mkeo ni PEPO ktk form ya kibinadamu, au shangazi n.k

Niishie hapo Usijekosa USINGIZI, ingawa ndo KWELI.

Ameeeen.
Kitabu cha Enock kimesimulia kinaga ubaga kizazi hiki.
 
You may be one of them. Nasisitiza "MAYBE"

Maana 6/10 mapepo mixture na WANADAMU, au 4/10 WANADAMU halisi, hiyo si Ratio ndogo.
Hii elimu naona kama inatesa sana kiongozi..

Inapoteza sana kama utashindwa kuwa mchungaji mwema wa kundi unaweza kupoteza kondoo wengi ushindwe kutoa hesabu kamili.

Ukiaminika, na ukapewa maarifa na upeo wa namna fulani. Bhas na wewe ukubali kuaminika.. Uwe na kifua cha kutunza. Voltage za ujuzi zikizidi inakuwa wehu Sasa mbele ya watu
 
Islamic ndo ushuzi gani?

Labda nirudie tena kwa herufi kubwa:

HAO MARAIS WA SERIKALI ZA ULIMWENGU HUU NI MASHETANI YALIYO NA MIILI YA BINADAMU.

Na kama hujanielewa vizuri, nitakuwa tayari kurudia tena kwa herufi kubwa.

Nasema hivi:

MARAIS WA SERIKALI ZA ULIMWENGU HUU NI MASHETANI YALIYO NA MIILI YA BINADAMU!
Wewe ni mfia dini uliyechanganyikiwa na maisha.
 
Hii elimu naona kama inatesa sana kiongozi..

Inapoteza sana kama utashindwa kuwa mchungaji mwema wa kundi unaweza kupoteza kondoo wengi ushindwe kutoa hesabu kamili.

Ukiaminika, na ukapewa maarifa na upeo wa namna fulani. Bhas na wewe ukubali kuaminika.. Uwe na kifua cha kutunza. Voltage za ujuzi zikizidi inakuwa wehu Sasa mbele ya watu
Kwako ni ELIMU Kwa wengine ni uhalisia wa maisha Yao. Tunaishi nao ni majirani zetu, wengine members ndani ya ukoo kabila nk.

By the way ELIMU Haina mwisho, na lisilo na umuhimu kwako, linaweza kuwa DHAHABU Kwa wengine.

Amua kuchukua au kupuuza, ni FREE WILL.
 
Mungu alipoamua kuiangamiza Sodoma na Gomora alituma MALAIKA ambao walikuwa Kwa mwonekano ni watu kabisa.

Biblia inasema Lutu na familia yake walishikiwa mkono wakatolewa Kwa nguvu nje ya mji Ili wasiangamie Kwa mishale ya moto Kutoka Mbinguni.

Kuzimu nayo Kwa kuiga hawajambo, wakaona nao watengeneze watu wao Kutoka Kuzimu waje wazaliwe na kutimiza mission zao kusaidia kukamilisha mpango wao wa NEW WORLD ORDER.

Amini usiamini nafasi nyingi za kiutawala DUNIANI wameteka wao, Mahospitalini wamejaa, Mashuleni wapo, na Kila secta muhimu, Nia ni kuwamaliza Wana wa Mungu Ili waiteke Dunia.

Pia wapo kuhakikisha DEVILISH behaviours zinahalalishwa Duniani mfano ushoga, Utoaji mimba, dawa za kulevya, VITA, DHULUMA,Sheria kandamizi dhidi ya Ibada nk.

Dunia nzima, 60% ya watu unaowaona, ni mapepo mixture na WANADAMU, mama ni mtu baba ni PEPO, au baba ni mwanadamu kazaa na pepo aliyekuja kama binadamu.

40% pekee ndo WANADAMU Kutoka uzao wa Adamu, yaani baba na mama wanazaa mtoto hajachanganya uzao.

Ukitaka naweza kukupa link uone watoto na watu waliozaa na mapepo na wanaishi hapa hapa Kwa kampuni yetu.

Dunia ilipofikia ni pabaya sana, hutakiwi kurelax, tafuta sana maarifa na Kumjua Mungu.

Ni huruma kwako utapojua mkeo ni PEPO ktk form ya kibinadamu, au shangazi n.k

Niishie hapo Usijekosa USINGIZI, ingawa ndo KWELI.

Ameeeen.
Mkuu, ukisoma biblia nzima haina hlo andiko ila kuna uwezekano japo si kwa uwingi hvyo, biblia inathibitisha kuwa ⅓ ya malaika waliasi mbinguni so far, ukwel ni kuwa tunaishi na mapepo walio wanadam,

Kuhusu uwiano hapo kunachangamoto kubwa, lipo andiko sahihi kabisa kuwa hakuna utawala usiokubalika au kuwekwa na Mungu, iwe kwa kupiga kura au kwa mapinduzi, au vyovyote.. Sasa ni kwa namna IPI, hayo ni mapenzi ya Mungu yy ndo anajua..
 
Kuna books na machapisho mbalimbali zama kusoma,
Ingia U-Tube:
1. Mapepo ktk form ya kibinadamu by Zipporah Mushalla, ni WA Zambia.

2. Mtoto wa Dawa anavyopatikana- Sheikh Omary Mnyesheni.

3. NDOA za Kishetani Part 3. mahanaim International.

Source zingine tafuta mwenyewe.
Hiki ni kielelezo cha fixations ambazo zipo nyingi nmesema hapo juu kunaukwel ila si kwa kiwango hicho
 
Mkuu, ukisoma biblia nzima haina hlo andiko ila kuna uwezekano japo si kwa uwingi hvyo, biblia inathibitisha kuwa ⅓ ya malaika waliasi mbinguni so far, ukwel ni kuwa tunaishi na mapepo walio wanadam,

Kuhusu uwiano hapo kunachangamoto kubwa, lipo andiko sahihi kabisa kuwa hakuna utawala usiokubalika au kuwekwa na Mungu, iwe kwa kupiga kura au kwa mapinduzi, au vyovyote.. Sasa ni kwa namna IPI, hayo ni mapenzi ya Mungu yy ndo anajua..
Du kanisa limeamia kwenye bandiko hili Sasa, hum Kuna watu wanajua maandiko hivi KILA mtu akiamuka na nondo zake tutafika jaman
 
Hiki ni kielelezo cha fixations ambazo zipo nyingi nmesema hapo juu kunaukwel ila si kwa kiwango hicho
Nimetoa link pitia soma ndo utoe maoni.

Roho wa Kristo ndiye anayeyafunua haya ktk siku hizi za mwisho, anawatokea na kuwafundisha wengi Kila siku,

Pia km Huna HAKIKA ingia Kwa Maombi muulize Mungu atajibu kama ni Kweli au la.

Itafute Kweli ikuweke huru. Amen
 
Ni story tu za kuiangalia Kampuni yetu ktk angle hiyo SPIRITUALLY.

Aug15 Bado mbaaal.
Spiritually, kivipi mkuu, swala ni MOJA tu hata unapotunza fedha Kama sio nyumbani kwako hakuna hicho , maana mtumishi wa Mungu lazima jua yote ya kidunia na ya haela,so tengeneza pesa zako , we unafikili pesa unaletewa sadaka imepita wapi na wapi,?
Central afrika aliletwa mtu makini na mtu mmoja ndani ya mji HUO na lifimbo limekomaa just fimbo teleza kwenye tiles ,likagawanyika vipande vitatu, leo tunaona wajiitao malaika nao wamepata wajiitao malaika , japo wataruka tena sijui kwenda wapi fuatilia nyendo zao, namshukuru animilikiae ishi yangu , sio mchungaji,Sina kanisa ila amenichagua kuwa kioo cha kujiangalia, bila fuata mkumbo, haya Mambo yaacheni mwacheni mwenye uzi atambe ,na watu wafurahi basi
 
Kwako ni ELIMU Kwa wengine ni uhalisia wa maisha Yao. Tunaishi nao ni majirani zetu, wengine members ndani ya ukoo kabila nk.

By the way ELIMU Haina mwisho, na lisilo na umuhimu kwako, linaweza kuwa DHAHABU Kwa wengine.

Amua kuchukua au kupuuza, ni FREE WILL.
Hahaha salimia pepo za kwenu huko mkuu.

Omba busara na hekima.. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa anaogopa kivuli chake.. Baada ya kuzama above 4th layer..
 
Spiritually, kivipi mkuu, swala ni MOJA tu hata unapotunza fedha Kama sio nyumbani kwako hakuna hicho , maana mtumishi wa Mungu lazima jua yote ya kidunia na ya haela,so tengeneza pesa zako , we unafikili pesa unaletewa sadaka imepita wapi na wapi,?
Central afrika aliletwa mtu makini na mtu mmoja ndani ya mji HUO na lifimbo limekomaa just fimbo teleza kwenye tiles ,likagawanyika vipande vitatu, leo tunaona wajiitao malaika nao wamepata wajiitao malaika , japo wataruka tena sijui kwenda wapi fuatilia nyendo zao, namshukuru animilikiae ishi yangu , sio mchungaji,Sina kanisa ila amenichagua kuwa kioo cha kujiangalia, bila fuata mkumbo, haya Mambo yaacheni mwacheni mwenye uzi atambe ,na watu wafurahi basi
Chagua kuyapuuza kama hayana mantiki kwako kuondoa ubishani kwenye Uzi wa wenyewe.

Ukisoma kitu na Kutoa comment tayar umeshirik yasokuhusu.

I know what I'm doin......
 
Back
Top Bottom