Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Hivi watu wanafikiri kuchimba madini ni sawa na kuchimba mihogo shambaniI inahitaji heavy Equipment..Ili uweze kupata madini underground tuambieni hizo plant Kagame amewekeza sehemu gani huko Congo !?
Wakikujibu unitag.

Kwajinsi tunavyo Elezwa namakasuku Hawa , Kuchimba madini ya DRC,hata mihogo inaugumu.
labda tufananishe na karanga au njugu mawe.

Kagame , anapambana na wahasi wa ilio kuwa serikali ya Habyarimana. Wengi wao nakizazi Chao hawaamini na hawana utashi wa kuishi na mututsi.

Na plani Yao ilikua kuondoka Rwanda , wawapishe watutsi waingie Kisha waje kuwaangamiza.

Kumbuka waliondoka na siraha na dhana zote za jeshi la serikali iliyo kua madarakani kipindi hicho (FAR)

Cha kushangaza jeshi changa ra RPF , linawezaje kuteka migodi likaendesha Oplation za Kuchimba madini na kuyasafisha ,nawakaweza kuyasafirisha hadi sokoni , Huku wamezungukwa na
Monasco , jeshi la congo , na vikundi vya wa hasi?
Kumbuka tunaambiwa ni kiasi Cha madini yanayo changia ukuaji wa uchumi wa Rwanda.
Huu ni upuuzi wa kiwango kikubwa kuwahi kutokea Duniani.
 
Yoga tupe mampya naona wakuu wa mikoa baadhi wameingia wapya na kwa wale walioliwa vichwa wamefanya ubaya gani kwa bosi wao na kwanini wameposti usiku mnene hizi teuzi?
Mkuu kwenye hadithi yetu wapo ma CEO wa kampuni, hali kadhalika wapo na ma Branch Managers ndani ya hiyo kampuni. Pengine ungesema sehemu inayofuata huenda itakuwa na sehemu yenye kuhusu pangua pangua ya ma Branch Managers, wengine wakiachwa katika sehemu zao za kazi, wengine wakipata teuzi mpya, na hata wengine teuzi zao kutenguliwa hasa wale waliotoka kitengo cha kijasusi cha kampuni.
 
Wakikujibu unitag.

Kwajinsi tunavyo Elezwa namakasuku Hawa , Kuchimba madini ya DRC,hata mihogo inaugumu.
labda tufananishe na karanga au njugu mawe.

Kagame , anapambana na wahasi wa ilio kuwa serikali ya Habyarimana. Wengi wao nakizazi Chao hawaamini na hawana utashi wa kuishi na mututsi.

Na plani Yao ilikua kuondoka Rwanda , wawapishe watutsi waingie Kisha waje kuwaangamiza.

Kumbuka waliondoka na siraha na dhana zote za jeshi la serikali iliyo kua madarakani kipindi hicho (FAR)

Cha kushangaza jeshi changa ra RPF , linawezaje kuteka migodi likaendesha Oplation za Kuchimba madini na kuyasafisha ,nawakaweza kuyasafirisha hadi sokoni , Huku wamezungukwa na
Monasco , jeshi la congo , na vikundi vya wa hasi?
Kumbuka tunaambiwa ni kiasi Cha madini yanayo changia ukuaji wa uchumi wa Rwanda.
Huu ni upuuzi wa kiwango kikubwa kuwahi kutokea Duniani.
Huyo uliyemtaja hapa anahusiana vipi na hii tamthiliya mkuu??
 
Mkuu kwenye hadithi yetu wapo ma CEO wa kampuni, hali kadhalika wapo na ma Branch Managers ndani ya hiyo kampuni. Pengine ungesema sehemu inayofuata huenda itakuwa na sehemu yenye kuhusu pangua pangua ya ma Branch Managers, wengine wakiachwa katika sehemu zao za kazi, wengine wakipata teuzi mpya, na hata wengine teuzi zao kutenguliwa hasa wale waliotoka kitengo cha kijasusi cha kampuni.
Uteuzi huu ni spinning kupelekea 15/8/2020! Na hicho kilichotokea 20/7/2022!
 
Back
Top Bottom