raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Yoga sahv na yeye anaupiga mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Antonnia mwenye heri.Asante sana Justine!! Nitulie vizuri sasa nisome nukta after nuktaaa
Kwan hii riwaya na yanayoendelea nchini yanahusiana nn?Yoga tupe mampya naona wakuu wa mikoa baadhi wameingia wapya na kwa wale walioliwa vichwa wamefanya ubaya gani kwa bosi wao na kwanini wameposti usiku mnene hizi teuzi?
Hata mi sijui Ndugu nimeuliza tuKwan hii riwaya na yanayoendelea nchini yanahusiana nn?
Kiwango Cha juu kabisa Cha upeo mdogo wa kufikiriYoga tupe mampya naona wakuu wa mikoa baadhi wameingia wapya na kwa wale walioliwa vichwa wamefanya ubaya gani kwa bosi wao na kwanini wameposti usiku mnene hizi teuzi?
Yoga wapi iyoo...njoo umalize kazi uliyoianza
Watu kama ninyi hamna hamna hadhi ya kusoma hata msitari mmoja wa uzi huuYoga tupe mampya naona wakuu wa mikoa baadhi wameingia wapya na kwa wale walioliwa vichwa wamefanya ubaya gani kwa bosi wao na kwanini wameposti usiku mnene hizi teuzi?
Wakikujibu unitag.Hivi watu wanafikiri kuchimba madini ni sawa na kuchimba mihogo shambaniI inahitaji heavy Equipment..Ili uweze kupata madini underground tuambieni hizo plant Kagame amewekeza sehemu gani huko Congo !?
Mkuu kwenye hadithi yetu wapo ma CEO wa kampuni, hali kadhalika wapo na ma Branch Managers ndani ya hiyo kampuni. Pengine ungesema sehemu inayofuata huenda itakuwa na sehemu yenye kuhusu pangua pangua ya ma Branch Managers, wengine wakiachwa katika sehemu zao za kazi, wengine wakipata teuzi mpya, na hata wengine teuzi zao kutenguliwa hasa wale waliotoka kitengo cha kijasusi cha kampuni.Yoga tupe mampya naona wakuu wa mikoa baadhi wameingia wapya na kwa wale walioliwa vichwa wamefanya ubaya gani kwa bosi wao na kwanini wameposti usiku mnene hizi teuzi?
Huyo uliyemtaja hapa anahusiana vipi na hii tamthiliya mkuu??Wakikujibu unitag.
Kwajinsi tunavyo Elezwa namakasuku Hawa , Kuchimba madini ya DRC,hata mihogo inaugumu.
labda tufananishe na karanga au njugu mawe.
Kagame , anapambana na wahasi wa ilio kuwa serikali ya Habyarimana. Wengi wao nakizazi Chao hawaamini na hawana utashi wa kuishi na mututsi.
Na plani Yao ilikua kuondoka Rwanda , wawapishe watutsi waingie Kisha waje kuwaangamiza.
Kumbuka waliondoka na siraha na dhana zote za jeshi la serikali iliyo kua madarakani kipindi hicho (FAR)
Cha kushangaza jeshi changa ra RPF , linawezaje kuteka migodi likaendesha Oplation za Kuchimba madini na kuyasafisha ,nawakaweza kuyasafirisha hadi sokoni , Huku wamezungukwa na
Monasco , jeshi la congo , na vikundi vya wa hasi?
Kumbuka tunaambiwa ni kiasi Cha madini yanayo changia ukuaji wa uchumi wa Rwanda.
Huu ni upuuzi wa kiwango kikubwa kuwahi kutokea Duniani.
Uteuzi huu ni spinning kupelekea 15/8/2020! Na hicho kilichotokea 20/7/2022!Mkuu kwenye hadithi yetu wapo ma CEO wa kampuni, hali kadhalika wapo na ma Branch Managers ndani ya hiyo kampuni. Pengine ungesema sehemu inayofuata huenda itakuwa na sehemu yenye kuhusu pangua pangua ya ma Branch Managers, wengine wakiachwa katika sehemu zao za kazi, wengine wakipata teuzi mpya, na hata wengine teuzi zao kutenguliwa hasa wale waliotoka kitengo cha kijasusi cha kampuni.
Alisema ni lini ataendeleza mkuuMbona alitoa tarehe ya yeye kurudi kuendelea na hadithi na bado haijafika? Kuwa na subra kaka tarehe ikifika hadithi itaendelea...
Naomba nikusaidie.Alisema ni lini ataendeleza mkuu
Ahaa nshaona thanks mkuuNaomba nikusaidie.
Soma page no.4782 utapata jibu la swali lako mkuu.
Inavyo onekana kuna jambo zito linaendelea ndani ya Kampuni. Ngoja tumsubiri Yoga.Uteuzi huu ni spinning kupelekea 15/8/2020! Na hicho kilichotokea 20/7/2022!
Mkuu, Ludia kusoma sija mhusisha na tamthilia yetu Pendwa.Huyo uliyemtaja hapa anahusiana vipi na hii tamthiliya mkuu??