favourismyname
JF-Expert Member
- Jul 17, 2022
- 403
- 361
Mmh[emoji848]Nauuliza UFAHAMU wangu maswali haya, Si lazima nijibiwe.
Target locked; 20 July?
1.Inspector manyota anatenguliwa, alikuwa ameset target somewhere?
2. Bt alikuwa amelenga target Mahali ameahirisha au amefail target?
3. Bt ametapika ndoano?
4.Bt amewin target nani Kwa nan?
5. Kikao kimekaa na kufikia makubaliano kumaliza uhasama?
Tusubiri simulizi, haya mambo hayataki papara.
Kwenye uzi wa bwana Tumia akili alianza na maneno "JAL 123 FLIGHT". Naona tarehe ya tukio zinashabihianaTarget is locked ............
Mark the day.......
The day 20/07/2022, it is mid night, but some people arent sleeping!!
one of the historical moment in mr born town's company!
Now we can start season 2 .............
The Pandora box is opened.
Stay safe current CEO and thank God for what has just happened!! Your safe ..........
15th of Agust!! Season two itakua hapa!!
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Kuna kanjanja mwenzako anaitwa samurai anawalaghai watu anajifanya anayajua ya ulimwengu usioonekana.
Maneno meengiii kujitia jasusi kumbe mchawi wa kawaida sana.
Wala hakuna jipya hapo. Tunatambua, marais wengi sio BINADAMU.
Mnawalaghai laghai wajinga tu.
Wewe ni pisi moja matata sana, bishaa...Habari ya mchana leds and gents!! [emoji123][emoji123] Hope tuko fine!!
After a long break na majukumu ya hapa na pale, And As we are about to drop season 2,
Kama unaswali niulize takujibu tuuu!! Karibuni[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji123]
MkuuKwenye uzi wa bwana Tumia akili alianza na maneno "JAL 123 FLIGHT". Naona tarehe ya tukio zinashabihiana
Labda kuna uhusiano wa hii hadithi na ile ndoto.View attachment 2299030
Ngoje tuone mwisho wake, Ila mh hay mbo yakitokea kwel nitabaki mdomo wazMkuu
Filaria worms
Coded Sana Hawa Jamaa!!
"Siku tisini halafu nyingine mia themanini ,tena tisini TAYARI hiyo ni Baada ya ile ya kustaafu""
Kwenye uzi ule wa kitabu mwishoni kabisa ndio kaandika!ina Maana Baada ya mstaafu kustaafishwa ndio kuna ukamilisho wa kitabu!!!
Pia alionya pale St Peters kuna wale wanaolinda maslahi ya wakubwa watakaushwa kimya kimya wale watakao zuia katiba mpya isiandikwe nadhani utimilifu umefika!
Alionya kwenye uzi wa operation kusitisha the State wamesema apewe muda!!
Wewe ni Islamic? Samahani kwa swali hiliMasheitwani hayo yaliyovaa miili ya binadamu.
FLESH over spiritual endoskeleton.
Huyu Jamaa kanishangaza Sana[emoji1787][emoji1787]So jpm hakuwa human? JK je? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii si chai ni kahawa kabisa.
Ila mkuu id yko inaonekana yakimchongo.. samahan lknMkuu
Filaria worms
Coded Sana Hawa Jamaa!!
"Siku tisini halafu nyingine mia themanini ,tena tisini TAYARI hiyo ni Baada ya ile ya kustaafu""
Kwenye uzi ule wa kitabu mwishoni kabisa ndio kaandika!ina Maana Baada ya mstaafu kustaafishwa ndio kuna ukamilisho wa kitabu!!!
Pia alionya pale St Peters kuna wale wanaolinda maslahi ya wakubwa watakaushwa kimya kimya wale watakao zuia katiba mpya isiandikwe nadhani utimilifu umefika!
Alionya kwenye uzi wa operation kusitisha the State wamesema apewe muda!!
Islamic ndo ushuzi gani?Wewe ni Islamic? Samahani kwa swali hili
I'd!!?Ila mkuu id yko inaonekana yakimchongo.. samahan lkn
Mungu alipoamua kuiangamiza Sodoma na Gomora alituma MALAIKA ambao walikuwa Kwa mwonekano ni watu kabisa.Sio wanadamu kivipi, lainisha hili neno lieleweke
Sio wanadamu kivipi, lainisha hili neno lieleweke
Not to that extent..Mungu alipoamua kuiangamiza Sodoma na Gomora alituma MALAIKA ambao walikuwa Kwa mwonekano ni watu kabisa.
Biblia inasema Lutu na familia yake walishikiwa mkono wakatolewa Kwa nguvu nje ya mji Ili wasiangamie Kwa mishale ya moto Kutoka Mbinguni.
Kuzimu nayo Kwa kuiga hawajambo, wakaona nao watengeneze watu wao Kutoka Kuzimu waje wazaliwe na kutimiza mission zao kusaidia kukamilisha mpango wao wa NEW WORLD ORDER.
Amini usiamini nafasi nyingi za kiutawala DUNIANI wameteka wao, Mahospitalini wamejaa, Mashuleni wapo, na Kila secta muhimu, Nia ni kuwamaliza Wana wa Mungu Ili waiteke Dunia.
Pia wapo kuhakikisha DEVILISH behaviours zinahalalishwa Duniani mfano ushoga, Utoaji mimba, dawa za kulevya, VITA, DHULUMA,Sheria kandamizi dhidi ya Ibada nk.
Dunia nzima, 60% ya watu unaowaona, ni mapepo mixture na WANADAMU, mama ni mtu baba ni PEPO, au baba ni mwanadamu kazaa na pepo aliyekuja kama binadamu.
40% pekee ndo WANADAMU Kutoka uzao wa Adamu, yaani baba na mama wanazaa mtoto hajachanganya uzao.
Ukitaka naweza kukupa link uone watoto na watu waliozaa na mapepo na wanaishi hapa hapa Kwa kampuni yetu.
Dunia ilipofikia ni pabaya sana, hutakiwi kurelax, tafuta sana maarifa na Kumjua Mungu.
Ni huruma kwako utapojua mkeo ni PEPO ktk form ya kibinadamu, au shangazi n.k
Niishie hapo Usijekosa USINGIZI, ingawa ndo KWELI.
Ameeeen.
You may be one of them. Nasisitiza "MAYBE"Not to that extent..
Usitutisheeee.....
Tuma hyo linki kiongozi,Mungu alipoamua kuiangamiza Sodoma na Gomora alituma MALAIKA ambao walikuwa Kwa mwonekano ni watu kabisa.
Biblia inasema Lutu na familia yake walishikiwa mkono wakatolewa Kwa nguvu nje ya mji Ili wasiangamie Kwa mishale ya moto Kutoka Mbinguni.
Kuzimu nayo Kwa kuiga hawajambo, wakaona nao watengeneze watu wao Kutoka Kuzimu waje wazaliwe na kutimiza mission zao kusaidia kukamilisha mpango wao wa NEW WORLD ORDER.
Amini usiamini nafasi nyingi za kiutawala DUNIANI wameteka wao, Mahospitalini wamejaa, Mashuleni wapo, na Kila secta muhimu, Nia ni kuwamaliza Wana wa Mungu Ili waiteke Dunia.
Pia wapo kuhakikisha DEVILISH behaviours zinahalalishwa Duniani mfano ushoga, Utoaji mimba, dawa za kulevya, VITA, DHULUMA,Sheria kandamizi dhidi ya Ibada nk.
Dunia nzima, 60% ya watu unaowaona, ni mapepo mixture na WANADAMU, mama ni mtu baba ni PEPO, au baba ni mwanadamu kazaa na pepo aliyekuja kama binadamu.
40% pekee ndo WANADAMU Kutoka uzao wa Adamu, yaani baba na mama wanazaa mtoto hajachanganya uzao.
Ukitaka naweza kukupa link uone watoto na watu waliozaa na mapepo na wanaishi hapa hapa Kwa kampuni yetu.
Dunia ilipofikia ni pabaya sana, hutakiwi kurelax, tafuta sana maarifa na Kumjua Mungu.
Ni huruma kwako utapojua mkeo ni PEPO ktk form ya kibinadamu, au shangazi n.k
Niishie hapo Usijekosa USINGIZI, ingawa ndo KWELI.
Ameeeen.
Okay, naomba unipe hiyo link nijionee, pia kuna uwezekano wa malaika pia kuzaa na binadamu, na siyo mapepo pekee kuzaa na binadamu! Nipe hiyo link!Mungu alipoamua kuiangamiza Sodoma na Gomora alituma MALAIKA ambao walikuwa Kwa mwonekano ni watu kabisa.
Biblia inasema Lutu na familia yake walishikiwa mkono wakatolewa Kwa nguvu nje ya mji Ili wasiangamie Kwa mishale ya moto Kutoka Mbinguni.
Kuzimu nayo Kwa kuiga hawajambo, wakaona nao watengeneze watu wao Kutoka Kuzimu waje wazaliwe na kutimiza mission zao kusaidia kukamilisha mpango wao wa NEW WORLD ORDER.
Amini usiamini nafasi nyingi za kiutawala DUNIANI wameteka wao, Mahospitalini wamejaa, Mashuleni wapo, na Kila secta muhimu, Nia ni kuwamaliza Wana wa Mungu Ili waiteke Dunia.
Pia wapo kuhakikisha DEVILISH behaviours zinahalalishwa Duniani mfano ushoga, Utoaji mimba, dawa za kulevya, VITA, DHULUMA,Sheria kandamizi dhidi ya Ibada nk.
Dunia nzima, 60% ya watu unaowaona, ni mapepo mixture na WANADAMU, mama ni mtu baba ni PEPO, au baba ni mwanadamu kazaa na pepo aliyekuja kama binadamu.
40% pekee ndo WANADAMU Kutoka uzao wa Adamu, yaani baba na mama wanazaa mtoto hajachanganya uzao.
Ukitaka naweza kukupa link uone watoto na watu waliozaa na mapepo na wanaishi hapa hapa Kwa kampuni yetu.
Dunia ilipofikia ni pabaya sana, hutakiwi kurelax, tafuta sana maarifa na Kumjua Mungu.
Ni huruma kwako utapojua mkeo ni PEPO ktk form ya kibinadamu, au shangazi n.k
Niishie hapo Usijekosa USINGIZI, ingawa ndo KWELI.
Ameeeen.
AtumeeeeeTuma hyo linki kiongozi,