Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Ina sikitisha Sana mkuu yaani mtu usiku na mchana una subili hadithi una amka hamka kitu alafu Kuna watu wameisoma tayali msaada tafadhari kupata hadithi wakuuWakuu episode iliendelea? Na je imefutwa mbona sioni, aliye na hii episode anisaidie tafadhali story imenipita hii
Kwamba imefutwa mkuu?Jamani mbona mendelezo hatuuoni Tena?? Msaada PM wakuu kwa alieucopy..[emoji120][emoji120]
Ndioo...inaonekana kama vile ilipostiwa halafu imefutwa...
Wameifuta alipost Mida kama ya sa nane usiku,kuna kitu kinaendelea kwa yoga sio bure ,huyu mtu anayejiita Bachelor ll ni tishio kwenye huu uzi
Umefutwa mm nilisoma ila sijakopymbona mimi sijauona nyie mmesoma wapi? au umefutwa? mwenye alicopy naomba PM
Mkuu aliye nao atume tu kila mtu asome ikiwa kila mtu atatumiwa binafsi ni wazi uzi utakosa wachangiaji maana baadhi tu ndo watakuwa na informationmbona mimi sijauona nyie mmesoma wapi? au umefutwa? mwenye alicopy naomba PM
Mzee embu iadithie kidogoNilikua wa pili uku na zile comment zetu za "ngoja waje....mi tayari siti ya mbele"
Nikakutwa kitu kimepigwa cha utosi. Dah! Basi tena, Mzee Melo na JF kwa kweli ndo ivyo tena, wamekata stimu.
Sasa ni mwendo wa kujitoa ufahamu na kuchakata mbususu. Hayo mengine ni kujihatarishia maisha.
Sjui kama naikumbuka tena...duh! Kwa hali hii...Mzee embu iadithie kidogo
Ushatumiwa?Jamani mbona mendelezo hatuuoni Tena?? Msaada PM wakuu kwa alieucopy..[emoji120][emoji120]