Dark days 17/03/20...

Yani hili li nchi bana....tunakaziana mpaka fictional stories kweli??!!!.....sasa wamefuta wakiwa na lengo gani sasa. .daadeki
JF hasa katika uongozi wake washa ingia watu vilaza (myopic) ambao kwa uwazi kabisa ni mapandikizi ya serikali au taasisi nyeti lengo ikiwa ni kufunga watu midomo na mbaya zaidi hawa angalii mtu kasema nini bali kumtafuta aliye sema JF imekuwa dump and dipshit

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa mkuu ...halafu wanasema jukwaa huru What the f*ck!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…