Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
JF hasa katika uongozi wake washa ingia watu vilaza (myopic) ambao kwa uwazi kabisa ni mapandikizi ya serikali au taasisi nyeti lengo ikiwa ni kufunga watu midomo na mbaya zaidi hawa angalii mtu kasema nini bali kumtafuta aliye sema JF imekuwa dump and dipshitYani hili li nchi bana....tunakaziana mpaka fictional stories kweli??!!!.....sasa wamefuta wakiwa na lengo gani sasa. .daadeki
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app