Dark days 17/03/20...

Ni ngumu Sana kuthibitisha kuwa aliposti,Ila ukimya wa yoga unantisha!

Kama Mods wamefuta Basi JF siyo sehemu salama turudi FB kununua misambwanda na migongo ya dada zetu.
Kuna kitu hakikp sawja inawezekana alipost ila kwa sasa nikama hawez post tena maybe aje na account mpya.... unaweza kujaribu kum inbox message haiend ni kama amekuwa blocked ....
 
Wee umewaza Kama mm tu najuwa kbsa Kuna sehemu alitusisitiza kuwa Mr freedom amejeuka omoro kisiasa hvyo alikuw Mr freedom alikuw Ana aside na omoto kinafiki tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mnyililo
Mkuu naomba nitumie
 
MKUU

Haikuwa story Kama story Bali ujasusi sebuleni!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Inawezekana Upo Sahihi Kabisa
Lakini Kwa Namna Yeyote Ile Nini Lengo Kuu La Mtoa Story?

Kwa Maana Ikiwa Alimaanisha Ujasusi Ukijumlisha na Chuki Zetu za Kiasili Afrika.

Unadhani Ni Chuki Kiasi Gani Itajengeka Katika Jamii Na Viongozi Wetu.

Mfano
Kuna Kitu Kilikua Kinaendelea Twitter Kipindi Fulani Niligundua Wakenya Wapo Wengi Sana Katika Majadiliano Nasisi Kuhusu Mambo Yetu Ya Ndani

Na Kama Kuna Taarifa Za Siri Zinatoka Hivi Maana Hata Intelligence ya Kenya Au Nchi Nyingine Yeyote Ni Rahisi Kutudhuru Kwani Tupo wazi Sana.

Acha Tuone Kama Ni Ujasusi Basi Ndio Itakuwa Mwisho Wa Hadithi
La Kama
Sio Ujasusi Story Itakuja Kama Kawaida

Ila ni Tungo Nzuri Na Yenye Ushawishi
 
sie wengine tulipoona hii post tukajua tu kn kitu hakiko sawa.

Wadau tatizo kwa yoga lilianza hp
 
Post namba moja ya huu uzi haijafutwa, kwa ujumla story zilizosambazwa toka mwanzo hadi zilipoishia zipo zote.

Ni ujinga kuwaza kwamba season 2,episode 2 imefutwa.

Nijuavyo mimi jf huondoa uzi wote usioeleweka na sio kuondoa sehemu tu ya uzi

Yoga hajatoa excuse kwa uzi kuondolewa hivyo hakuna kitu kilichoondolewa hapa baada tu ya kusambazwa. Yoga atakuja kwa wakati story itaendelea

Wafatiliaji makini pekee ndio watanielewa.
 
Mkuu mnyililo naomba nitumie pm mkuu.
 
Huenda ni kweli make kuna mwamba humu anasema anao ila anaombwa hatumi
 
Nirushie na mimi
 
Huenda ni kweli make kuna mwamba humu anasema anao ila anaombwa hatumi

Huenda ni kweli make kuna mwamba humu anasema anao ila anaombwa hatumi
Post imefutwa, ilipostiwa usiku wa manane kisha ikafutwa. Tusubiri maelezo kutoka kwa yoga ili kujua kama alifuta mwenyewe au mtu mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…