Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Siku tisini halafu nyingine mia themanini tayari!hii ni Baada ya ile ya kustaafu!!WAKUU NAMLETA KWENU KITILA MKUMBO
"Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika kwa sasa ni ya demokrasia ya Chama kimoja.
Amesema hali hiyo imechangia kuwa na demokrasia dumavu ambayo inapelekea kuchelewa kwa maendeleo, ambapo amedai kuwa kuna uhusiano wa demokrasia bora na maendeleo
Pia ameshauri kuwa Katiba mpya ni muhimu ili kuwezesha demokrasia ya vingi kustawi ambayo itawezesha wananchi kushiriki ipasavyo.
Amesema kuwa kwa mazingira ya demokrasia ya sasa ni rahisi kutabilika tofauti na ilivyo kwa Kenya, ametoa mfano kuwa ni rahisi kutabili kuwa CCM itashinda uchaguzi 2025 kwenye nafasi ya Urais, amedai kuwa hiyo inachangiwa na takwimu za matokeo ya Urais kwenye chaguzi zilizopita.
Prof. Kitila Mkumbo ameyasema hayo leo Septemba 15, 2022 katika mdahalo ambao umeandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Nchini (LHRC) kwa kushirikiana na wadau wengine, katika siku ya demokrasia duniani ambayo imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka."
WALE WA APPLIED MATHEMATICS NAOMBENI HESABU KAMILI KWA KUTUMIA KIKOKOTOO CHA NDUGU TUMIA AKILI
Yaani UZI unawekewa doria. Mungu anawaona😀😀😀😀Mabachelor inaonekana wameahinda vta[emoji41]
Wanatia na nukta kabisaaaa kwamba eti Mwisho wa story!Yaani UZI unawekewa doria. Mungu anawaona😀😀😀😀
Hizi doria za 24 hours kwenye Uzi wa yoga zingefanyika mtaani dhidi ya Panya road tungelala Kwa Amani!!!!Wanatia na nukta kabisaaaa kwamba eti Mwisho wa story!
Sio hilo tu,kuna mambo mengi ya msingi ya kufanyia kazi kwa ustawi wa taifa hili.Lakini dohHizi doria za 24 hours kwenye Uzi wa yoga zingefanyika mtaani dhidi ya Panya road tungelala Kwa Amani!!!!
Hawawezi kuhangaika na sisi!Yani wabinya pumbu wanapita KilA muda....aheri mi sikutiA neno
Mwenye uzi wake anasema kaeni mkao wa kula anakuja na nondo Sio za Dunia hii, next week ,amekua busy kidogo na kureport vita ya Urus na Ukrein, KWa sasa atakuja na mawe , bandika banduaBora alete muendelezo wa story tuendelee kuburudisha macho na bongo zetu tu
Bora alete muendelezo wa story tuendelee kuburudisha macho na bongo zetu tu