Dark days 17/03/20...

Duuh,au ndi hii imenikamata siku ya pili sasa mafua,ila kuendesha siendeshi
Vijiko viwili VYA maji ya alovera vinawasaidia nimeona!unakata kata vipande VYA alovera unaloweka kwenye maji HALAFU yale maji machungu kabisa unameza vijiko vikubwa viwili vinasaidia nimeona!

Mseto unagoma KABISA!!

Jirani kapambana Hadi kapona!
 
Utabiri kuhusu simulizi ijayo.
Pengine Mr. Bon Town ameshaweka kila kitu sawa na hatimaye anapata utiifu wote wa kutosha kutoka kwa CEO wa sasa wa kampuni. Inaelekea pia ameweza kuwathibiti vijana wote wa CEO aliyepita kiasi kwamba haoni tishio lolote lile toka kwao.

Yoga shusha mzigo, kwani inaonyesha mambo ndani ya kampuni yapo shwari kwa Mr. Bon Town na vijana wake.
 
Those who laugh last laugh longer, pale asipodhania ndipo atakapo angukia...Let you be warned!
 
Huu uzi bado upo? Yoga ameshaachana nao kitambo sana. Hebu tafuteni ishu zakufanya
 
yoga kapotelea wapi? Baada ya kutishwa PM akaachia uzi uelee bila muendelezo watu wameachwa bonyokwa
 
Duh! Hii ni nzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…