Hii ni new account JF mzee. Tulia, u know nothing kamandaUmejiunga Jf 2023?? Sijui kwa nn watu wenye ID mpya huwa hamnaga AKILI.
Ilipaswa kuangalia hii thread umeanza lini na huko unaposema imeanza lini. Jibu ungekuwa nalo
Yule jamaa n tapeli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwenye grup lake ana hadi ile story ya umughaka anawauzia wangese.Hebu usituchekeshe hapa na wewe,huyo Buyobe alikuwa anasubiri Yoga ashushe vitu ndiyo anakuja kuwapigeni nyinyi huko Twitter.Yoga akikaa kimya hata mwezi,Buyobe anazimika pia.
Anyway unaonekana bado mgeni hapa,ukiwa mwenyeji utajua kuwa Buyobe huwa anabeba thread za hapa anawaleteeni huko Twitter.Siku tatu zilizopita kabeba thread ya Mshana Jr ya Marehemu Martha kawaleteeni huko pia [emoji3]
HahahaHebu usituchekeshe hapa na wewe,huyo Buyobe alikuwa anasubiri Yoga ashushe vitu ndiyo anakuja kuwapigeni nyinyi huko Twitter.Yoga akikaa kimya hata mwezi,Buyobe anazimika pia.
Anyway unaonekana bado mgeni hapa,ukiwa mwenyeji utajua kuwa Buyobe huwa anabeba thread za hapa anawaleteeni huko Twitter.Siku tatu zilizopita kabeba thread ya Mshana Jr ya Marehemu Martha kawaleteeni huko pia [emoji3]
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] what a day![emoji119]
20/03/2023 majority of us, we are waiting for you! Please don't let us down.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] what a day![emoji119]
Absolutely.U
U want some?π€π€
U
U want some?[emoji2960][emoji2960]
Friday 17 March, 2023.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] what a day![emoji119]
Friday 17/3/2023, three days to the appointment.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] what a day![emoji119]
Ha ha HavanaHappy independence day....from Cuba
Daah imekua siku ngumu kidogo kwangu, serikali ilichotufanyia leo sio haba kwa kweli![emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] what a day![emoji119]
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Narudia tena,
Utabiri wa yatakayojiri 2023 ulitoa timeframe ya kuanzia 20 Oct Hadi 20 March 2023,
Yoga akaahidi kuendeleza simulizi 20 March 2023,
Kinyaa, Kwa Madiba, Nigerriae, Morroco pia wanafanya demonstration on 20 March.
Je ni coincidence?
Loving memories!?π₯π₯π₯π₯ what a day!π
tusimulie basi ile story yetu ya msanii wa kufokafoka mwenye kanisa lake.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] what a day![emoji119]
Msamiati wa ubuyu umepotea, au ulikuwa msamiati wa msimu?Yani hujui jinsi watu tupo radhi tukope bando ili 20/03 tusipitwe