Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Hebu usituchekeshe hapa na wewe,huyo Buyobe alikuwa anasubiri Yoga ashushe vitu ndiyo anakuja kuwapigeni nyinyi huko Twitter.Yoga akikaa kimya hata mwezi,Buyobe anazimika pia.

Anyway unaonekana bado mgeni hapa,ukiwa mwenyeji utajua kuwa Buyobe huwa anabeba thread za hapa anawaleteeni huko Twitter.Siku tatu zilizopita kabeba thread ya Mshana Jr ya Marehemu Martha kawaleteeni huko pia [emoji3]
Yule jamaa n tapeli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwenye grup lake ana hadi ile story ya umughaka anawauzia wangese.
 
Hebu usituchekeshe hapa na wewe,huyo Buyobe alikuwa anasubiri Yoga ashushe vitu ndiyo anakuja kuwapigeni nyinyi huko Twitter.Yoga akikaa kimya hata mwezi,Buyobe anazimika pia.

Anyway unaonekana bado mgeni hapa,ukiwa mwenyeji utajua kuwa Buyobe huwa anabeba thread za hapa anawaleteeni huko Twitter.Siku tatu zilizopita kabeba thread ya Mshana Jr ya Marehemu Martha kawaleteeni huko pia [emoji3]
Hahaha
 
Narudia tena,

Utabiri wa yatakayojiri 2023 ulitoa timeframe ya kuanzia 20 Oct Hadi 20 March 2023,

Yoga akaahidi kuendeleza simulizi 20 March 2023,

Kinyaa, Kwa Madiba, Nigerriae, Morroco pia wanafanya demonstration on 20 March.

Je ni coincidence?
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom