Dark days 17/03/20...

VT
 
Kama umesoma huu uzi mwanzo mpaka hapa, huo ilikua sehemu ya kwanza.
20/03 /2023 kwa mujibu wa mleta mada ita kua ni muendelezo wa hii hadithi au itakua sehemu ya pili.
Nashukuru sana. Sijaweza kusoma maana iko mbali na mimi ni mama ntilie hapa nimemunua simu janja hivi karibuni. Nitaendelea kufuatilia
 
Rudi post namba moja, kila mwishoni mwa post ya mleta mada kuna link inakuelekeza post inayofuata, kwa mtiririko huo utaweza kufikia mwisho mapema, lakini mwenyewe anasisitiza sana hii ni riwaya tu ,haiusiani na chochote wala lolote.
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…