Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Masai Hali tete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
One day left, tomorrow everybody will be here ! Sasa ungetuambia na time ili tu set reminder [emoji36][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] what a day![emoji119]
Huu uzi ufungwe tuu leo saa sita usiku, nimesema mimi mwalimu wa masomo ya ziada aka tuisheni
Urongo mtupuuuuu!!!One day left, tomorrow everybody will be here ! Sasa ungetuambia na time ili tu set reminder [emoji36]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
[emoji122]Hivi tuna uhakika Yoga aliyeanza na hii stori ndio huyu huyu anayeendelea? Mbona kama kuna touch tofauti? Ila stori inafikirisha sana
VTVitu vingine naogopa kuongea sana nisije nikavuka mstari mwekundu maana dah ulimi uliponza kichwa.
Kuna kamanda amestaafu anaitwa sabuni Toffy ile ya kufulia nguo ,hiyo hiyo mkuu [emoji846]
Huko bwana kuna kipindi kulikuwa na ujambazi sana magari kutekwa tekwa hovyo, askari wananyang'anywa hadi bunduki halafu zinatumika kutupiga sisi wenyewe.
Ukifuatilia unakuta ni watu wanavuka mipaka wanaingia kutoka nje na wanafanya yao,yaani hiyo njia kama mnaianza kuna kibao kinasema "sasa unaanza kuingia pori la..."Kama mlikuwa mnapiga story kila mmoja kimyaaaaa, unawaza sijui nitamaliza salama?
Roho mkononi mwenye kuomba anaanza, tasibihi mkononi, Rozary, wa njia ya msalaba ilimradi kila mmoja anamlilia muumba wake.
Walivyozidi ikabidi wampeleke huyo Kamanda kufanya utalii kwenye mapori yote, yeye mwanzo hakuwa anaenda front anawatuma tu vijana wake.Wakienda na kurudi hawaji na majibu ya uhakika sana maana baada ya muda unasikia tena wapuuzi wameanza tena.(wameteka) na kuua.
Akaona huu ujinga, akaita vijana wake kadhaa akasema kuanzia sasa mimi sikai ofsini tunaenda wote, vijana wanashangaa boss uko serious? Akawaambia twendeni na msiseme tunaenda wapi.
Kabla hawajafika zikaanza kulia,nao wakajibu ila upande wa maharamia ukaonekan una nguvu zaidi. Akaita Landrover kwa simu ya upepo kutoka makao makuu ya mkoa, ikaja iko loaded.
Mkuu tumefika, akawaambia nipishe niwaonyeshe, yeye mwenyewe akapanda juu weeeh, unaambiwa hadi kuku walikuta ni manyoya tu. Salamu zikapelekwa kwa wengine kwamba tulichofanyiwa si kwa akili hizi za hawa jirani zetu tulivyodhani wako, sivyo kumbe, adabu.
Akaendelea kuwajengea uwezo hadi sasa ukisikia ni kwamba aidha wamekufa wakijaribu au walikimbia kuko shwari. Kumbuka huyu alipelekwa huko na born town. Sasa hapa mtu atasemaje jeshi la Polisi ni dhaifu, hatuyajui mengi wanayoyafanya.
Jamani makamanda nimeamua kuongelea mazuri yenu ambayo wananchi hawayajui ndio maana wakati mwingine wanaleta dharau, ila kama mtaona naenda kinyume tafadhali niambieni nifunge kinywa changu.
Nimeongea kwa kifupi sana hilo tukio maana nilisimuliwa ila ni la kweli siku hizi kuko shwari, so Mr born town hawaachi kumlaum na kumlaani kule aliweka intelijensia kali ambayo ilitibua mambo yao mengi.
Utasikia Chi...mbaya sana,hovyo sana, wengi hawawezi kutamka herufi ya jina lake la kwanza.
Lol, thank you for this amazing story😥😥😥😥 what a day!🙌
Kuna nini? Mi mgeni20/3 is near by.
Kaa kwa kutulia, popcon na juice usikose. Yoga atakuja leo kuanzia saa 6.00 usiku. Atakueleza kila kitu.Kuna nini? Mi mgeni
Kama umesoma huu uzi mwanzo mpaka hapa, huo ilikua sehemu ya kwanza.Kuna nini? Mi mgeni
Nashukuru sana. Sijaweza kusoma maana iko mbali na mimi ni mama ntilie hapa nimemunua simu janja hivi karibuni. Nitaendelea kufuatiliaKama umesoma huu uzi mwanzo mpaka hapa, huo ilikua sehemu ya kwanza.
20/03 /2023 kwa mujibu wa mleta mada ita kua ni muendelezo wa hii hadithi au itakua sehemu ya pili.
Rudi post namba moja, kila mwishoni mwa post ya mleta mada kuna link inakuelekeza post inayofuata, kwa mtiririko huo utaweza kufikia mwisho mapema, lakini mwenyewe anasisitiza sana hii ni riwaya tu ,haiusiani na chochote wala lolote.Nashukuru sana. Sijaweza kusoma maana iko mbali na mimi ni mama ntilie hapa nimemunua simu janja hivi karibuni. Nitaendelea kufuatilia
AsanteRudi post namba moja, kila mwishoni mwa post ya mleta mada kuna link inakuelekeza post inayofuata, kwa mtiririko huo utaweza kufikia mwisho mapema, lakini mwenyewe anasisitiza sana hii ni riwaya tu ,haiusiani na chochote wala lolote.
Its Time!!U
U want some?🤭🤭