TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mwishoni ni kweli huwa ni vurugu mechi ,Hata sasa nanusa jambo hilo. Kwa mbali wanaanza kuchomekea maneno wanayotaka kulazimisha tuyasikie. Hasa pale issues ya pesa kufichwa bara Asia.Shida ya Fiction story mwanzo huakisi uhalisia, mwishoni huko hulazimishwa vitu ambavyo hata ingekuwaje isingewezekana kutokea.
Ndio,My brother in Christ,unaongea na Mungu Mkuu kwa sauti na wazi wazi? Real?!
Tatizo afya ya akili, eti mtakatifu.Nasema tena hakuna mtakatifu katika hii dunia ya sasa labda km unajiita wewe ni mtakatifu
Hao ndo walamba asali.Nchi inachezewa halafu cha ajabu kuna mipumbavu inashangilia
Nchi ya kwenye stori ya kusadikika ya YOGA? au ipi?Nchi inachezewa halafu cha ajabu kuna mipumbavu inashangilia
Mzee sio huyo unaemtaja!!Soma riwaya vizuri ....kuna sehemu kaandika akaamua kujoin company na other company from neighbours ambao walimuweka Mr lotu mjengoni baada ya kumshinda mzee
I think ni mzee Ex CEO ...tunayeshare naye kivutio kimoja kinzuri cha kipekee africa kipatikanacho kwa kina manka
Hii code inastua sana. Kuna maelezo kuwa kuna eneo moja la uwanja lilikuwa na ndege jeshi mingi siku za hivi karibuni!Any news from BONDENI!!!?is Mr Tanzanite okh!!?is Mzee okh!!?is BT continuing being okh!?
Sikuipata hiyo kitu!Hii code inastua sana. Kuna maelezo kuwa kuna eneo moja la uwanja lilikuwa na ndege jeshi mingi siku za hivi karibuni!
Unadhani CEO anashida na mtu?Kuna mchezo unataka kujirudia kuna Yani atoke mtu aingie mtu kimasihara death ndio I play part kuna mtu kasogezwa kwenye Jumba bovu kimasihara na badse atafika pale Kwa position hatar Ile,wazungu wanasema ukii do good, good will follow vice Versa is true ogopa kuhusikankwenye kuondoka uhai wa mtu mwisho wa siku lazima uondoke.... Lets wait
Vita vya wakubwa we visikie tu. Hakuna anayetaka kuwa mnyonge kwa mwenzake.Kuna wazo lina nijia, late ceo yasingemfika ya kumfika kama angekuwa neutrol ule ukauzu alio kua nao wengi walikunja mkia mbele yake, kusingekosekana wa kumuuma sikio kabla hajaathirika sana, isingeshindikana kumposti huko bondeni kwenda kupunguza makali ya dawa, hata kama asingerudi nomal lakini asingekosa ku survival siku mbili tatu na kuacha kiti kwa ambaye kwake angeona shahihi kwa wakati ule.
Zumarid in the making!My brother in Christ,unaongea na Mungu Mkuu kwa sauti na wazi wazi? Real?!
Ungempeleka usiku kwenye ungo wa bibi yako? Kila kampuni za nje zilikuwa zimejaa miiba ulitaka akamaliziwe huko?Kuna wazo lina nijia, late ceo yasingemfika ya kumfika kama angekuwa neutrol ule ukauzu alio kua nao wengi walikunja mkia mbele yake, kusingekosekana wa kumuuma sikio kabla hajaathirika sana, isingeshindikana kumposti huko bondeni kwenda kupunguza makali ya dawa, hata kama asingerudi nomal lakini asingekosa ku survival siku mbili tatu na kuacha kiti kwa ambaye kwake angeona shahihi kwa wakati ule.
Mfupa ulimshinda fisi wa kizanaki! Seems its too complicated [emoji53], bora tuendelee kuwa na akili hizi fupi fupi uhangaike na ugali wa watoto maana ndio level zetu wengine [emoji848]Ungempeleka usiku kwenye ungo wa bibi yako? Kila kampuni za nje zilikuwa zimejaa miiba ulitaka akamaliziwe huko?
Read the story carefully, there was no need, too late is always too late, kuna wakati unasema let it be hasa ukijua kuwa kikulacho ki nguoni mwako. Hizo siku mbili tatu unazozisema zilikuwepo hata zaidi ya hizo lakini........... so what?
Sentence yako ya mwisho in real life haiwezi ku function...... kwamba asema kuwa fulani awe? Ahaaaa kwa ubavu upi?
Mfupa ulomshinda fisi binadamu ataweza?
usicho kijua ni usiku wa giza..
kikubwa omba kifo chema hata dk za mwisho uweze kuongea na familiya yako alafu upate nafasi ya kuongea na Mungu wako kwa mara ya mwisho. Lakini mbaya wako asikushuhudie dk za mwisho maana ataanza kukusimanga eg? Amka sasa tuone? Bweka sasa nikuone. Wakati upo hoi hiyo itakufanya ufariki na kinyongo.
Yule bwa na nakuja 'kumuona mgonjwa' wahudumu hapana ngonjwa kwa sasa kapumzika huwezi kumwangalia! " hata mimi? Jibu "Ndio hata wewe" yes hii ndo dawa sahihi.
Uwezo wa kuwa mwizi wa kiwango cha juu BT ni hatari kwa usalama na maendeleo ya nchi natumaini soon or latter ataangushwa.Kama unatamani kwenye dili zako za kila siku uwe na uwezo japo wa 50% wa Born Town ,gonga like