Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Shida ya Fiction story mwanzo huakisi uhalisia, mwishoni huko hulazimishwa vitu ambavyo hata ingekuwaje isingewezekana kutokea.
Mwishoni ni kweli huwa ni vurugu mechi ,Hata sasa nanusa jambo hilo. Kwa mbali wanaanza kuchomekea maneno wanayotaka kulazimisha tuyasikie. Hasa pale issues ya pesa kufichwa bara Asia.
 
My brother in Christ,unaongea na Mungu Mkuu kwa sauti na wazi wazi? Real?!
Ndio,

Mungu anaongea na WANADAMU wema Kwa waovu kupitia NDOTO, NENO,maono mchana,na ktk Ulimwengu wa Roho tukilala au macho wazi.

Asiye na VAZI, Mungu akisema naye mchana Kwa maono na asisikie, humjia usiku alalapo ktk ndoto mwili ukitulia , alalapo. Makinika na ndoto uotazo na ukaamka unazikumbuka.

Aliye na VAZI, anaye Roho wa YESU aitwaye ROHO MTAKATIFU, huyo amesaidia kurudisha mahusiano na mawasiliano kama aliyokuwa nayo adamu Bustani ya EDEN.

Mungu anaongea nasi wazi wazi na tunaisikia sauti yake clear. Unaweza panga safari siku Fulani, bt Mungu akabadili ratiba ya safari Kwa maelekezo kabisa.

Unaweza andaa somo la kuhubiri usiku, akabadili somo au kuongeza ayatakayo useme na watu wake.

Tusomapo NENO lake husema nasi wazi wazi na sauti utasikia kupitia sikio la ndani la mtu wa ndani, ROHO.

KUPITIA KINYWA CHA NABII.

Mungu anaweza kuongea kupitia kinywa Cha Nabii akitoa maelekezo, akifundisha au kuonya watu wa Mungu.

Pitia channel ya UKWELI MINISTRY Nabii MESHACK ana karama hiyo, ya Mungu kuongea wazi kupitia kinywa Cha Nabii.

Mungu anaweza ongea na watu kupitia kinywa Cha muhubiri Ibadani, anaweka neno lake na unatamka mambo yenye kugusa maisha ya watu ambayo hata akili na mawazo Yako hayakupanga kuyasema na mengine hutoyakumbuka Hadi ukumbushwe na waliosikia ujumbe.

Ukitaka kulisikia sauti ya Mungu wazi wazi, acha dhambi, ishi maisha ya Utakatifu, hata ukiwekewa SUMU ktk chakula na maadui atakukataza kula.

Mungu Yu juu ya yote.

Amen
 
Soma riwaya vizuri ....kuna sehemu kaandika akaamua kujoin company na other company from neighbours ambao walimuweka Mr lotu mjengoni baada ya kumshinda mzee

I think ni mzee Ex CEO ...tunayeshare naye kivutio kimoja kinzuri cha kipekee africa kipatikanacho kwa kina manka
Mzee sio huyo unaemtaja!!

Ni yule asie na wizara maalumu ndani ya kampuni!!

Yule ambae ndie aliemuingiza BT KWA uceo wa kampuni those days!ni huyo jina lake linaanza na captain ........ M....k......c.......h......k.......a

Inaonekana zile loving memories zilifeli KWA muda walivokua wamepanga KWA sequence fulani!!

BT alipopiga zile picha kule KWA mbuga akiwa amevaa kadeti na tisheti na raba ile picha haikua ya Bahati MBAYA ilituma ujumbe kuwa Mambo ni super Sana YEYE Bado anadunda loving memories zitakua KWA wengine but not him!!

Any news from BONDENI!!!?is Mr Tanzanite okh!!?is Mzee okh!!?is BT continuing being okh!?

Ngoja TUSUBIRI!!
 
Kuna wazo lina nijia, late ceo yasingemfika ya kumfika kama angekuwa neutrol ule ukauzu alio kua nao wengi walikunja mkia mbele yake, kusingekosekana wa kumuuma sikio kabla hajaathirika sana, isingeshindikana kumposti huko bondeni kwenda kupunguza makali ya dawa, hata kama asingerudi nomal lakini asingekosa ku survival siku mbili tatu na kuacha kiti kwa ambaye kwake angeona shahihi kwa wakati ule.
 
Kuna mchezo unataka kujirudia kuna Yani atoke mtu aingie mtu kimasihara death ndio I play part kuna mtu kasogezwa kwenye Jumba bovu kimasihara na badse atafika pale Kwa position hatar Ile,wazungu wanasema ukii do good, good will follow vice Versa is true ogopa kuhusikankwenye kuondoka uhai wa mtu mwisho wa siku lazima uondoke.... Lets wait
Unadhani CEO anashida na mtu?
 
Kuna wazo lina nijia, late ceo yasingemfika ya kumfika kama angekuwa neutrol ule ukauzu alio kua nao wengi walikunja mkia mbele yake, kusingekosekana wa kumuuma sikio kabla hajaathirika sana, isingeshindikana kumposti huko bondeni kwenda kupunguza makali ya dawa, hata kama asingerudi nomal lakini asingekosa ku survival siku mbili tatu na kuacha kiti kwa ambaye kwake angeona shahihi kwa wakati ule.
Vita vya wakubwa we visikie tu. Hakuna anayetaka kuwa mnyonge kwa mwenzake.
 
Kuna wazo lina nijia, late ceo yasingemfika ya kumfika kama angekuwa neutrol ule ukauzu alio kua nao wengi walikunja mkia mbele yake, kusingekosekana wa kumuuma sikio kabla hajaathirika sana, isingeshindikana kumposti huko bondeni kwenda kupunguza makali ya dawa, hata kama asingerudi nomal lakini asingekosa ku survival siku mbili tatu na kuacha kiti kwa ambaye kwake angeona shahihi kwa wakati ule.
Ungempeleka usiku kwenye ungo wa bibi yako? Kila kampuni za nje zilikuwa zimejaa miiba ulitaka akamaliziwe huko?
Read the story carefully, there was no need, too late is always too late, kuna wakati unasema let it be hasa ukijua kuwa kikulacho ki nguoni mwako. Hizo siku mbili tatu unazozisema zilikuwepo hata zaidi ya hizo lakini........... so what?
Sentence yako ya mwisho in real life haiwezi ku function...... kwamba asema kuwa fulani awe? Ahaaaa kwa ubavu upi?
Mfupa ulomshinda fisi binadamu ataweza?

usicho kijua ni usiku wa giza..
kikubwa omba kifo chema hata dk za mwisho uweze kuongea na familiya yako alafu upate nafasi ya kuongea na Mungu wako kwa mara ya mwisho. Lakini mbaya wako asikushuhudie dk za mwisho maana ataanza kukusimanga eg? Amka sasa tuone? Bweka sasa nikuone. Wakati upo hoi hiyo itakufanya ufariki na kinyongo.

Yule bwa na nakuja 'kumuona mgonjwa' wahudumu hapana mgonjwa kwa sasa kapumzika huwezi kumwangalia! " hata mimi? Jibu "Ndio hata wewe" yes hii ndo dawa sahihi.
 
Ungempeleka usiku kwenye ungo wa bibi yako? Kila kampuni za nje zilikuwa zimejaa miiba ulitaka akamaliziwe huko?
Read the story carefully, there was no need, too late is always too late, kuna wakati unasema let it be hasa ukijua kuwa kikulacho ki nguoni mwako. Hizo siku mbili tatu unazozisema zilikuwepo hata zaidi ya hizo lakini........... so what?
Sentence yako ya mwisho in real life haiwezi ku function...... kwamba asema kuwa fulani awe? Ahaaaa kwa ubavu upi?
Mfupa ulomshinda fisi binadamu ataweza?

usicho kijua ni usiku wa giza..
kikubwa omba kifo chema hata dk za mwisho uweze kuongea na familiya yako alafu upate nafasi ya kuongea na Mungu wako kwa mara ya mwisho. Lakini mbaya wako asikushuhudie dk za mwisho maana ataanza kukusimanga eg? Amka sasa tuone? Bweka sasa nikuone. Wakati upo hoi hiyo itakufanya ufariki na kinyongo.

Yule bwa na nakuja 'kumuona mgonjwa' wahudumu hapana ngonjwa kwa sasa kapumzika huwezi kumwangalia! " hata mimi? Jibu "Ndio hata wewe" yes hii ndo dawa sahihi.
Mfupa ulimshinda fisi wa kizanaki! Seems its too complicated [emoji53], bora tuendelee kuwa na akili hizi fupi fupi uhangaike na ugali wa watoto maana ndio level zetu wengine [emoji848]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Sisi tunaamnini akina mo ndio wanavibunda kumbe kuna mwamba BT anachota hadi 1.5 Tri sasa bingwa hawa tunaoona sisi matajiri kumbe BT anawaona mafala tuuu .ila BT ni master hatar mkupuo mmoja anachota 1.5 tri na bado zingine ndogondogo kama vibillion si atakuwa anapita navyo sana
 
Back
Top Bottom