Dark days 17/03/20...

Umekuwa na muendelezo party moja tu ambapo new CEO ka surrender Kwa born town na kunyoosha mikono juu
Ookey. I bet niliisoma. Sema nini? Mimi namkubali sana mtu mwenye intelligence kubwa kama hivi[emoji23] sisemi napenda matendo yake hapana ila mwamba mmoja anaitikiza nchi nzima huoni huyu anaqualify kuwa TISS aliyetukuka?
 
Ila huyu Mzee ni smart tuache utani kabisa kakwepa mishale mingi mno sema huko kujiwekeza na kufisadi nchi ndio shida, I wish hyo intelligence yake angetumia kusaidia nchi. Ila ni Mzee yuko smart sana sifa zake apewe huyu mzee
 
Apewe maua yake kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu napendaga kama kuangalia intelligence movies. Yaan so interesting. Imagine how he is twisting everything. Yaani ni mwambaaa. Na nadhan ni kwasababu si mchoyo anakula na kila mtu. Shida ukitaka kula mwenyewe hapo kitakukuta kitu. Kiukweli i wish i had his intelligence[emoji7] he is a smart ass... ananifurahishaaaaaaaaaaa
 
Apewe tu maua yake imagine hapo Huwa anasema kinyago nikichonge Mimi hafu kije kinitishe mie hyo ni impossible hapo alikuwa ana mwambia mwendazake na current CEO ikabidi awe mpole tu.
Movie za intelligence ukizifatilia na kuzielewa waweza master mambo mengi na wewe unakuwa safe zaidi, CEO mwendazake angekuwa yuko vizuri kiinteligencia ungekuta yuko hai wallah
 
Ha ha ha ha exactly. I just so much love intelligence family. Maua apewe. Na hata siku nikakutana nae nitampa maua yake... sitaacha. Kama ndo anaweza tunyoosha hvi. Mwanae tu hana hizi akili. Imagine mkwere anatutesa hivi[emoji23] sema pia anashirikiana na sisi kaskazini na hapo kwa akina mwaisa vzr ndo maana mambo yanaenda poa.
 
Yani nilikuwa natamani rizimoko aridhi hizo akili hata u handsome wake kidogo Mzee baba anaupiga mwingi
 
Yani nilikuwa natamani rizimoko aridhi hizo akili hata u handsome wake kidogo Mzee baba anaupiga mwingi
Hakaribii hata robo. And awe makini sana. Manaa mzee akianguka kama leo sijui. Yewomii[emoji23][emoji23] magenge pinzani yote yatateam up. Nimesubiria nione akifa kama yoga alivyoireport lkn wapi. Huu mkojo alioukojoa babake udumu milele. Aniuzie hata mbegu waache kutusimanga kaskazini[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…