miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Oyaa, long time home girl[emoji23]Yoga umepotelea wapi ukirudi bandika bandua
Loh, japo nimeadimika huku pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaa, long time home girl[emoji23]Yoga umepotelea wapi ukirudi bandika bandua
Kwa kweli ngoja kule ni bandika bandua na una mafunzo tele Kwa tele WalaBora turudi kwa Jasusi KGB. Kule ni bandika bandua [emoji23]
Nipo my dear nimejaa tele na wewe karibu tenaOyaa, long time home girl[emoji23]
Loh, japo nimeadimika huku pia
Hahaha ahsabte sana. Huu uzi una muendelezo? Maana niliishia mbali sana.Nipo my dear nimejaa tele na wewe karibu tena
Umekuwa na muendelezo party moja tu ambapo new CEO ka surrender Kwa born town na kunyoosha mikono juuHahaha ahsabte sana. Huu uzi una muendelezo? Maana niliishia mbali sana.
Ookey. I bet niliisoma. Sema nini? Mimi namkubali sana mtu mwenye intelligence kubwa kama hivi[emoji23] sisemi napenda matendo yake hapana ila mwamba mmoja anaitikiza nchi nzima huoni huyu anaqualify kuwa TISS aliyetukuka?Umekuwa na muendelezo party moja tu ambapo new CEO ka surrender Kwa born town na kunyoosha mikono juu
Ila huyu Mzee ni smart tuache utani kabisa kakwepa mishale mingi mno sema huko kujiwekeza na kufisadi nchi ndio shida, I wish hyo intelligence yake angetumia kusaidia nchi. Ila ni Mzee yuko smart sana sifa zake apewe huyu mzeeOokey. I bet niliisoma. Sema nini? Mimi namkubali sana mtu mwenye intelligence kubwa kama hivi[emoji23] sisemi napenda matendo yake hapana ila mwamba mmoja anaitikiza nchi nzima huoni huyu anaqualify kuwa TISS aliyetukuka?
Apewe maua yake kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]Ila huyu Mzee ni smart tuache utani kabisa kakwepa mishale mingi mno sema huko kujiwekeza na kufisadi nchi ndio shida, I wish hyo intelligence yake angetumia kusaidia nchi. Ila ni Mzee yuko smart sana sifa zake apewe huyu mzee
Apewe tu maua yake imagine hapo Huwa anasema kinyago nikichonge Mimi hafu kije kinitishe mie hyo ni impossible hapo alikuwa ana mwambia mwendazake na current CEO ikabidi awe mpole tu.Apewe maua yake kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu napendaga kama kuangalia intelligence movies. Yaan so interesting. Imagine how he is twisting everything. Yaani ni mwambaaa. Na nadhan ni kwasababu si mchoyo anakula na kila mtu. Shida ukitaka kula mwenyewe hapo kitakukuta kitu. Kiukweli i wish i had his intelligence[emoji7] he is a smart ass... ananifurahishaaaaaaaaaaa
Ha ha ha ha exactly. I just so much love intelligence family. Maua apewe. Na hata siku nikakutana nae nitampa maua yake... sitaacha. Kama ndo anaweza tunyoosha hvi. Mwanae tu hana hizi akili. Imagine mkwere anatutesa hivi[emoji23] sema pia anashirikiana na sisi kaskazini na hapo kwa akina mwaisa vzr ndo maana mambo yanaenda poa.Apewe tu maua yake imagine hapo Huwa anasema kinyago nikichonge Mimi hafu kije kinitishe mie hyo ni impossible hapo alikuwa ana mwambia mwendazake na current CEO ikabidi awe mpole tu.
Movie za intelligence ukizifatilia na kuzielewa waweza master mambo mengi na wewe unakuwa safe zaidi, CEO mwendazake angekuwa yuko vizuri kiinteligencia ungekuta yuko hai wallah
Yani nilikuwa natamani rizimoko aridhi hizo akili hata u handsome wake kidogo Mzee baba anaupiga mwingiHa ha ha ha exactly. I just so much love intelligence family. Maua apewe. Na hata siku nikakutana nae nitampa maua yake... sitaacha. Kama ndo anaweza tunyoosha hvi. Mwanae tu hana hizi akili. Imagine mkwere anatutesa hivi[emoji23] sema pia anashirikiana na sisi kaskazini na hapo kwa akina mwaisa vzr ndo maana mambo yanaenda poa.
WapoKuna wa kuweza kupambana na BT pamoja na kundi lake hadi sasa kwa Tz?
Network aliyo nayo ndani ya nchi na nje ya nchi?
Huyu tulia mbona Huwa anavaa vibaya hivo kwenye events mbalimbali?
Hakaribii hata robo. And awe makini sana. Manaa mzee akianguka kama leo sijui. Yewomii[emoji23][emoji23] magenge pinzani yote yatateam up. Nimesubiria nione akifa kama yoga alivyoireport lkn wapi. Huu mkojo alioukojoa babake udumu milele. Aniuzie hata mbegu waache kutusimanga kaskazini[emoji23]Yani nilikuwa natamani rizimoko aridhi hizo akili hata u handsome wake kidogo Mzee baba anaupiga mwingi
Ndo wanyakyusa walivyo[emoji23]Huyu tulia mbona Huwa anavaa vibaya hivo kwenye events mbalimbali?