Dark days 17/03/20...

Rizimoko sio proactive sana at least ingekuwa madilu ni mtu anayejua ku grab opportunities kijana yupo yupo tu aisee aombe Mungu Mzee wake Aishi umri mrefu bila hizo itakuwa shida maana team Zita gang up
 
Exactly. Ila simpendi madelu jamani[emoji23][emoji23][emoji119] he is not smart jamani. Aombe tu babake aishi
 
Rizimoko sio proactive sana at least ingekuwa madilu ni mtu anayejua ku grab opportunities kijana yupo yupo tu aisee aombe Mungu Mzee wake Aishi umri mrefu bila hizo itakuwa shida maana team Zita gang up
Hamjasoma vizuri nyie!!

Dr mwinyi junior alikua na mbwembwe!!?

Huo ukimya wake na kama zoba hivi ndio mbinu za kimedani!huoni ukiwa smart sana utaamsha uwindaji haramu wa I chwa chake!!!?

Muda ukifika wa kuanza kusukuma kete kuingia king mtaona kitakacho jiri kama lengo lao ni hilo!!

Tusubiri

Cha msingi ni kimoja tu,je deep state wameamua na yeye aje ashike!!!?kama sio ni sio tu!!
 
Jk hashirikiani na kaskazini pekee ili mambo yamuendee poa,anashirikiana na kanda zote incl kusini, mashariki n.k
 
Kabisa aisee
 
Hahahahaha hivi miss pablo unataka born town akuuzie mbegu, au rizi1 akuuzie mbegu?
 
Wanawasimanga kaskazini hamna akili au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jk hashirikiani na kaskazini pekee ili mambo yamuendee poa,anashirikiana na kanda zote incl kusini, mashariki n.k
Yes. Sijakataa ila kuna wale mainly. Akina marehem mramba etc. Kuna matukio unayaona kbs. We unafikiri Mramba alienda jela burebure tu eh[emoji23] ile ilikua sadaka iliyotukuka.. i cant believe he is gone jamani. Mjukuu wake alimuambukiza covid
 
Upo sahihi. Mramba ni mzee wa wapi jmani?
 
Nataaka og.[emoji23][emoji23] za baba. Nikanunue za kilaza zitanisaidia nn miye[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah hiki kichwa kibovu. Kwamba unataka za born town mwenyewe...
Hivi upo serious kabisa? Vp born town akikutongoza leo so utamtegea mimba??[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…