cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Rizimoko sio proactive sana at least ingekuwa madilu ni mtu anayejua ku grab opportunities kijana yupo yupo tu aisee aombe Mungu Mzee wake Aishi umri mrefu bila hizo itakuwa shida maana team Zita gang upHakaribii hata robo. And awe makini sana. Manaa mzee akianguka kama leo sijui. Yewomii[emoji23][emoji23] magenge pinzani yote yatateam up. Nimesubiria nione akifa kama yoga alivyoireport lkn wapi. Huu mkojo alioukojoa babake udumu milele. Aniuzie hata mbegu waache kutusimanga kaskazini[emoji23]