Dark days 17/03/20...

Daah!! Born town anaenda kumlambisha mchanga maushungi. Assistant New CEO anakuja kulipa kisasi kwa Mr.Born town.

Ila tawi la vidole viwili juu ni wahuni sana, wanatuigizia sana kumbe mishe zao na mboga mboga ni moja.
tawi la vidole viwili kwa walichokifanya ni sahihi kwa wakati huo

Kama kulikuwa na namna yoyote ile ya kumuangusha late CEO ilikuwa ni halali maana aliwafanyia maovu mengi mno

Njia yoyote ile ya kumuondoa kwangu naona ilikuwa halali
 
hapa mwenyewe nilibaki na maswali mengi
 
Mbona badoo

Ukweli utakuja kujitenga na uwongo tuu..

R.I.P Dady hii Dunia haina mwenyewee wote watakufa na kuoza na kunuka kama mizoga ya Mbugani.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app


Nadhani baba yako hakujua kuwa DUNIAN tunapita na ndiyo maana alinidhulumu Haki zangu Kama mtumishi wa umma😔😔
 
Kama unashindwa kung'amua vitu vidogo kama hivi bila shaka utakuwa ukienda shule kubalehe
 
Kumbe upo!!
 
Naomba kuuliza,hizo Antibiotics hao victims(target) hawazijui ili na wao wajinusuru?
Sasa simpaka wajue walicho fanyiwa !? Siumesoma mtiriliko wa story nzima hapo story inasema kwamba hata daktari wa late CEO alikuwa ni undercover, so it means alikuwa anajua kinacho mmaliza mkuu lakini hakumtibu kwakuwa alikuwa katika mission ,so late CEO angejuaje kuwa. Anapaswa kutumia antibiotics wakati daktari wake alimficha kuwa alikuwa poisoned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…