Dark days 17/03/20...

Hata mie nampongeza kufanya maamuzi magumu mwendazake angetakiwa awale kichwa tu. Na ange crush enemy of state totally basi
 
Hana huo u genius kilichopo ni yeye kufuata tu maelekezo

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
baro kufuata maelekezo ni kipaji cha akili sana. Uzuri current CEO alijua kucheza na akili zao, kajifanya zoba wakamuamini na deep state wakawajua wote walioshiriki kumuua late CEO maana yake kazi ilishaisha kazi sasa ni kudondoshq mmoja baada ya mwingine, maana kama kaondoshwa huyu mbobezi je wengine wana ubavu??? Ila hakika deep state nawapongeza na kuanzia sasa nawaheshimu sana tena nimewavulia kofia maana hakuna aliyetegemea wataanza na dodo jamani.
 
Madaraka na vyeo yataondoka na wengi wallah
 
Hii ya Membe kuwa Makamu wa Rais mbona ilishaandaliwa mapema sana na kwenye vikao vyao vya Wana mtandao / Msoga Gang walikuwa wanajadili bila wasiwasi , Membe alipewa jukumu Moja tu kukaa kimya kama hayupo Hadi muda ufike

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Waswahili husema una panga mipango Mungu ndio anaamua
 
Sasa ikawaje akapoteza focus na kuanza kukimbizana na msiba?
 
Aisee ina maana walitaka kugawana madaraka kwa vizazi hadi vizazi? Deep state hakika wana akili na ni muhimu wafute vikundi vyote urais wa nchi hii uwe based on competence na siyo nepotism. Tunahitaji rais mwenye uchungu na rasilimali zetu kama alivyo rais Dkt Samia na Alivyokuwa Dkt Magufuli
 
Mh!!...
 
yoga tunakusubiri uje kufungua code huku. Naona current CEO keshavuka mtihani mmoja, bado BT, rope, bosi habari, hawa wote wanapaswa kuondoka ili kumpa nafasi ya kutawala lasivyo watamsumbua.
kabisa mkuu wata msumbua mama etu ...alafu walivo wajinga wana mpangia mpaka siku ya kusepa under thiz sun .....ishiiiiii aisee waondolewe tu....
 
Nchi yetu ilianza kuharibika 2005 Wana mtandao walipomweka Rais , Wana mtandao walianza Toka 1995 lakini kuanzia 2007 walianza kuchezewa mchezo na 2015 , mfumo ukafanikiwa kuweka mtu wake na kuanzia hapo ni kuirudisha nchi katika misingi ya Awali

Hivyo kwa Sasa sio wazembe kabisa ila ili mambo yakae sawa lazima waishe wote wale waliogeuza nchi ni Mali yao kwa kuifisadi

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Aisee ni kweli inamaana hii ni mission ya 50 years. Na kifo cha rais akiwa madarakani kimeongeza urefu wa kipindi cha mpito. Ila this time wameanza vizuri na waendelee hivyo hivyo kuwamaliza wote kabisa ili nchi irejee misingi ya haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…