cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hata mie nampongeza kufanya maamuzi magumu mwendazake angetakiwa awale kichwa tu. Na ange crush enemy of state totally basiNadhani CEO kafanya maamuzi ambayo late CEO alishindwa kufanya. Yaani late CEO angekubali kufanyia kazi ushauri wa deep state wa kumuondoa BT haya yote yasingekuwepo yeye badala yake late CEO akaishia kuvujisha audio eti kuwa expose. Ila current CEO nampa pongezi na bado BT nadhani very soon atasafiri maana cha kwanza ni kijana wake kuondoshwa wizara ya land. Hata akina wale wanaojiita ma rope ataondoka. Ila current CEO ni genius sana.