Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Wacha wanyooshwe Kwa huo ulafi hyo episode ya kupiga Yoga Ali explain vizuri kumbe hata mabei ni uhuni wao tu na tamaa zako wangefanya Kila jambo Kwa kiasi

Kabisa ni UHUNI.

Yes kwa kiasi. Wangetumia kanuni ya panya tu. Ukishtuka una tu meno meno bila kuumia.

Tatizo kujimudu tamaa (hali ya kutoridhika ndio mtihani kweli kweli).
 
Sidhani saaaaaana kama BT ana ubavu kwani ni sawa na kujipunguza kiungo chako ili kupungua uzito.

BT anawategemea watu vichwa kumtekelezea majukumu yake, labda uoneshe dalili za kupingana naye au kuonesha interest za kumpiku maslahi yake kama late CEO.

Japo ulilowaza pia INAWEZEKANA, haya mambo unapoona hapawezekank ujue ndipo penye tobo.
Mie mawazo yangu yako ya BT kusafirisha wenzake ili hata akiondoka anajua aliokua nao sambamba nao pia hawapooo.

Ko historia inaanza upyaa.
 
Iko hivi mr new culture, amechangamka kidogo! Tuseme nayeye ni born town anayechipukia kwenye upande wa kampuni yake!! Ame kuwa CEO Kwa miaka kadha wa kadha! Kuna kipindi alipaswa kuachia ngazi kwa mujibu wa utaratibu wa kampuni yao but haikuwa ivyo. Aliweza kufanya umafia wake na kubaki as CEO ndani ya kampuni yake!

Wapo vijana walimchallenge mr new culture as a CEO at the end of the Day they ended up dead or fired from the company!! Kuna kijna wake mmoja alie mtrain vya kutosha na kujizolea umaarufu wa kutosha! Kijana alitamani awe CEO amtoe mr new culture, nia yake ilishia kwenye grave yard!
Mkuu, upo?
 
Mie mawazo yangu yako ya BT kusafirisha wenzake ili hata akiondoka anajua aliokua nao sambamba nao pia hawapooo.

Ko historia inaanza upyaa.

Sasa kuandika historia kwa upya ndio mtihani, inategemea na anayeiandika. Ataandika kwa maslahi ya nani? Kwa mfumo upi?
 
Missions ilikuwa hivii

Maembe 2025 awe VP then Huyu wa sasa akae miaka 2/1 baada ya hapo awe execution then maembe ashike usukani.

[emoji23]Leo nimefurahi sanaaa.
Team msoga wapo kwenye taharuki

Hapa hakika teeth wamefanya kazi nzurii Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu ni UONGO na uzandiki.... Usijitafutie laana kwa uzushi wako
 
Mwanamtandao maarufu Nchini Tanzania William Malecela maarufu kama ‘LeMutuz’ ambaye pia ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania John Malecela na Mmiliki wa Online TV ya LeMutuz amefariki dunia leo Jijini Dsm. RIPLEMUTUZ🙏🏾
Screenshot_20230514-114309.png
 
Mwanamtandao maarufu Nchini Tanzania William Malecela maarufu kama ‘LeMutuz’ ambaye pia ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania John Malecela na Mmiliki wa Online TV ya LeMutuz amefariki dunia leo Jijini Dsm. RIPLEMUTUZ[emoji1488]View attachment 2621230

Yanaanzaga hivi hivi mpaka kwa mlengwa probably kama kuna kuondoa kwa matakwa fulani.

Apumzishwe kwa Amani.
 
"Mbinu ambazo Kikwete alitumia kummaliza JPM ndiyo hiyo hiyo ambayo anatumia leo kummaliza Samia, ingawa wakati huu ngoma inaweza kuwa ngumu zaidi upande wake kwa sababu alimfundisha Samia mbinu zake na sasa anapambana kumpindua...

[emoji117]Subirini kidogo mtasikia mengi kupitia vifo hivi mtaambiwa ni Corona ila ukweli ni kwamba wanapimana ubavu Kikwete anapambana kuiangusha dola na Samia anapambana kuimarisha dola tatizo ni kwamba wanatumia mbinu za aina moja.

[emoji117]Mwalimu alimfundisha mtoto hesabu za 1-1=0 leo ana tumia formula mpya ya 1+1-2=0 tunzeni post hii....

[emoji117]Mbowe hana uhai mrefu muda mfupi ujao asipokuwa makini atakuwa mwendazake wa watatu, Makamba Samia ama Kikwete lolote linaweza kutokea
[emoji117]Dhambi ya mauajia kwa mgongo wa Corona imeanza kulitafuna taifa.....
Ila kwetu Wachunguzi Huru Tanganyika ni furaha tele acha watifuane ili kesho tuijenge Tanganyika mpya ya ndoto za Magufuli"
IMEPOSTIWA PAGE YA WACHUNGUZI HURU.
Mbona hatariiii hii.
 
Back
Top Bottom