"Mbinu ambazo Kikwete alitumia kummaliza JPM ndiyo hiyo hiyo ambayo anatumia leo kummaliza Samia, ingawa wakati huu ngoma inaweza kuwa ngumu zaidi upande wake kwa sababu alimfundisha Samia mbinu zake na sasa anapambana kumpindua...
[emoji117]Subirini kidogo mtasikia mengi kupitia vifo hivi mtaambiwa ni Corona ila ukweli ni kwamba wanapimana ubavu Kikwete anapambana kuiangusha dola na Samia anapambana kuimarisha dola tatizo ni kwamba wanatumia mbinu za aina moja.
[emoji117]Mwalimu alimfundisha mtoto hesabu za 1-1=0 leo ana tumia formula mpya ya 1+1-2=0 tunzeni post hii....
[emoji117]Mbowe hana uhai mrefu muda mfupi ujao asipokuwa makini atakuwa mwendazake wa watatu, Makamba Samia ama Kikwete lolote linaweza kutokea
[emoji117]Dhambi ya mauajia kwa mgongo wa Corona imeanza kulitafuna taifa.....
Ila kwetu Wachunguzi Huru Tanganyika ni furaha tele acha watifuane ili kesho tuijenge Tanganyika mpya ya ndoto za Magufuli"
IMEPOSTIWA PAGE YA WACHUNGUZI HURU.