Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Ila hapa napo pana make sense, na kuhusu paka bifu na BT haliwezi isha kamwee, na mie naona kupitia paka akiungana na New CEO wanaweza muondoa BT kiwepesi,

Maana hata New CEO ashajua BT ni threat kwake, japo wanachekeana na kuelekezana kumbe unafiki anataka kumuangamiza zaidi.

BT hana urafiki wala ukaribu ktk maslahi yake, huwa ananijijali yeye na wa ubavuni mwake tyuuh.
Ugonvi wa BT na PAKA inakuaje usiishe? Paka au BT wanazuiana vipi kwenye maslah yao? PAKA mkuu wa kaya na BT ni mstaafu, PAKA alizinguana na BT wakati ule wote wakiwa ma-CEO.
Hata wakiwa na bifu bado PAKA hana uwezo wakumdhuru BT coz baada ya BT kustafu na late CEO akiwa mshiakaji wa PAKA Kama alikuwa na uwezo huo alishindwa vipi kummaliza au kumlinda nwendazake?
 
Story za mjini nzuri sana.

But 51% + ni conspiracy stories.
sawa kaa kwa kutulia maisha yaendelee....
wakuu shusheni nondo sie wengine tuna gain something ......yasemwayo yapo kama hama hayapo yatakuja tuu...[emoji41][emoji41]
 
Kuna mahali katika maelezo ya Yoga alisema kwamba mzee alimwita kijana wake hotelini wakakaa kwa kupeana migongo kisha mzee akamuachia kijana wake bahasha mezani akmwambia ahakikisbe no one to survive, lakini pia kina mahali BT aliambiwa achague moja kujoin ama kifo kutoka episod za Yoga huko nyuma kama sikosei.

Sasa kipi ní kipi kwamba tumejoin ama kijana anafanyia kazi maelekezo ya bahasha?
 
Ni kweli nimekumbuka kuna pahala kweli BT anachimbwa biti. Ila huyo mzee sijui ni nani. Inaonekana timu BT inapukutishwa kwa sababu walishindwa kuweka silaha chini
 
Ugonvi wa BT na PAKA inakuaje usiishe? Paka au BT wanazuiana vipi kwenye maslah yao? PAKA mkuu wa kaya na BT ni mstaafu, PAKA alizinguana na BT wakati ule wote wakiwa ma-CEO.
Hata wakiwa na bifu bado PAKA hana uwezo wakumdhuru BT coz baada ya BT kustafu na late CEO akiwa mshiakaji wa PAKA Kama alikuwa na uwezo huo alishindwa vipi kummaliza au kumlinda nwendazae.
Saa nyingine mnatumia code gumu balaa, mtu unasoma tena na tena mtu wala huelewi, Paka au PK ndio nani?
Au yule pua ndefu?
Hivi urafiki wake na Late CEO ulikuja ukafa au?
Na kilichoua urafiki wao ni kitu gani?
Maana Pua ndefu hakuwepo kwenye mazishi ya Late CEO
 
Ila pia inawezekana paka na harakati za kupeleka wapiganaji kule kwenye ukwasi wa ardhini mwingi. Labda dodo alikuwa mwiba hivyo paka kaja kwenye kikao na dodo akawepo wakamaliza maana ndiye mwenye kufahamu mission zote kila kona. Maana kwa jinsi inavyoonekana dodo alikuwa well informed. Hivyo kuna uwezekano kabisa hii vita imehamasishwa na paka na analipiza kisasi kipindi kile na kuja kwake unaweza kuta alikuja kumjulisha current CEO kuwa BT na timu wamepanga kukumaliza na akaja na ushahidi, hivyo akaomba amsaidie kumbe yeye paka anatimiza mission zake za kuzuia infantry kuingia kule kwenye ukwasi wa chini ya udongo

Inawezekana pia. Maana kwenye episode one, YOGA alisema timu ya current CEO ambayo kuna miongoni mwa wakuu wa dip stat wanaparuana na BT. So Current CEO akaambiwa walonge na paka waungane kumdondosha BT kisha wao watamdondosha PAKA.

Mahali namkubali BT ni namna anavyodeal na PAKA jino kwa jino na anakung’uta kweli kweli. Ila huko kwingine simuungi BT mkono.
 
Kuna mahali katika maelezo ya Yoga alisema kwamba mzee alimwita kijana wake hotelini wakakaa kwa kupeana migongo kisha mzee akamuachia kijana wake bahasha mezani akmwambia ahakikisbe no one to survive, lakini pia kina mahali BT aliambiwa achague moja kujoin ama kifo kutoka episod za Yoga huko nyuma kama sikosei.

Sasa kipi ní kipi kwamba tumejoin ama kijana anafanyia kazi maelekezo ya bahasha?

Moja ya scene nzuri sana, ya kijana kupewa To be eliminated list…!! I wonder how is that kijana clean and smart kudeal na big boys walio kwenye list.??
 
Ni kweli nimekumbuka kuna pahala kweli BT anachimbwa biti. Ila huyo mzee sijui ni nani. Inaonekana timu BT inapukutishwa kwa sababu walishindwa kuweka silaha chini

Huyo mzee aliwahi kuwa na wadhifa huko jeshini miaka hiyo ya 70. Aliwahi kuwa memba wa branch, mtu wa kusini huko kwenye korosho “ mkuu achika”
 
Inawezekana pia. Maana kwenye episode one, YOGA alisema timu ya current CEO ambayo kuna miongoni mwa wakuu wa dip stat wanaparuana na BT. So Current CEO akaambiwa walonge na paka waungane kumdondosha BT kisha wao watamdondosha PAKA.

Mahali namkubali BT ni namna anavyodeal na PAKA jino kwa jino na anakung’uta kweli kweli. Ila huko kwingine simuungi BT mkono.
BT tatizo lake ni tamaa, sasa sijui inawezekana yupo compromised (hapa namaanisha inawezekana kwenye hizo rushwa na ufisadi wa miradi etc labda kuna wawekezaji wazungu wenye shares kubwa hivyo akienda kinyume watamuua na kuua familia). Maana sioni haja ya yeye kutaka kujilimbikizia mali?
 
Saa nyingine mnatumia code gumu balaa, mtu unasoma tena na tena mtu wala huelewi, Paka au PK ndio nani?
Au yule pua ndefu?
Hivi urafiki wake na Late CEO ulikuja ukafa au?
Na kilichoua urafiki wao ni kitu gani?
Maana Pua ndefu hakuwepo kwenye mazishi ya Late CEO

PaKa/pk ni kiongozi mkuu wa kampuni jirani…!!! Ana uongozi wa kikupe kupe na mkono wa chuma
 
BT tatizo lake ni tamaa, sasa sijui inawezekana yupo compromised (hapa namaanisha inawezekana kwenye hizo rushwa na ufisadi wa miradi etc labda kuna wawekezaji wazungu wenye shares kubwa hivyo akienda kinyume watamuua na kuua familia). Maana sioni haja ya yeye kutaka kujilimbikizia mali?

Huenda amesaini mkataba mgumu..!! Akiwa kitini mzaliwa wake aliwafanya mishe za sembe wakamdaka. Usikute mkataba unafidia kuachiwa kwake na hizo pasenti za kujilimbikizia..!! Otherwise wa publish ushahidi na KIUMANE
 
Back
Top Bottom