Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Ni kutunishiana misuri kwenda mbele. Ila BT jamani alianza kupendwa sana na watanzania enzi za late CEO, tena kila pahala alishangiliwa. Ila kwa sasa aisee ni zaidi ya uchaguzi wa 2010. Mungu amsaidie apone maana alikosea sana kula dili na watoto kiakili maana kila kukicha wanaropoka ropoka mission.
Wamemuanika kweupe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utani inamaana achika ndiyo supreme leader wa dip shiteti? Ila yawezekana ni hatari maana kuna mtu alishataka jimbo lake aliponea kwa waasisi wa mapiano

Huyo ndiye engineer programmer wa dip steit. Kwa mujibu wa riwaya yetu pendwa, ni hatari sana mzee. Hata mamvi huenda ni miongoni mwao na hatari pia.

Ila yaonekana kuna ukweli mwengi kumhusu
 
Saa nyingine mnatumia code gumu balaa, mtu unasoma tena na tena mtu wala huelewi, Paka au PK ndio nani?
Au yule pua ndefu?
Hivi urafiki wake na Late CEO ulikuja ukafa au?
Na kilichoua urafiki wao ni kitu gani?
Maana Pua ndefu hakuwepo kwenye mazishi ya Late CEO
PAKA ndio PK ... alikuja kuitembekea kampuni yetu Juzi Kati
 
Ni kutunishiana misuri kwenda mbele. Ila BT jamani alianza kupendwa sana na watanzania enzi za late CEO, tena kila pahala alishangiliwa. Ila kwa sasa aisee ni zaidi ya uchaguzi wa 2010. Mungu amsaidie apone maana alikosea sana kula dili na watoto kiakili maana kila kukicha wanaropoka ropoka mission.

Huko alipo, anajuta. Na kuwaondoa wote kwa pamoja mtihani
 
Back
Top Bottom