Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Yeah huyo ndiye.

Hasiki kazi kimya kimya. Sijui hata yuko wapi siku hizi. Labda yupo room za majasusi wakiisuka mipango.
Hivi yule aliyekuwa mkuu wa kitengo cha wenye nchi D1 alipelekwa wapi baada ya kugomea cheo. Ni kama hakuna taarifa zake kabisa kwa sasa
 
PK ametawala la awamu nyingi, anatujua sana. Huwezi kupuuza influence yake hapa.
kwa hiyo unataka kusemaje hapa ?........kwamba serikali ya tanzania yote ipo mikononi mwa pk au
em funguka mkuu ...[emoji41][emoji41]
au kwa kauli yako hapo pk ndio kamsepesha dodo huko futi sita chini au...?
 
BT tatizo lake ni tamaa, sasa sijui inawezekana yupo compromised (hapa namaanisha inawezekana kwenye hizo rushwa na ufisadi wa miradi etc labda kuna wawekezaji wazungu wenye shares kubwa hivyo akienda kinyume watamuua na kuua familia). Maana sioni haja ya yeye kutaka kujilimbikizia mali?
Kuhusu mzaliwa ni story tu za kahawa hamna kitu kama hicho.
Eti, alishikwa na sembe Kwa jamaa wale wenye macho madogo
akaingia vifungoni na makaratasi yanayoi+cost kampuni[emoji1787][emoji1787]
 
He is powerful and genius.
Kama umefatilia simulizi vizuri, kuna pahala inaelezwa kuwa he is ready to die to save the company baada ya usaliti alioufanya nyuma.

For me, he might be poweful, but not genius. Just another Iscariot haunted by the part he took in betraying the first CEO of the company.
 
Back
Top Bottom