Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 490
- 1,351
Hivi yule aliyekuwa mkuu wa kitengo cha wenye nchi D1 alipelekwa wapi baada ya kugomea cheo. Ni kama hakuna taarifa zake kabisa kwa sasaYeah huyo ndiye.
Hasiki kazi kimya kimya. Sijui hata yuko wapi siku hizi. Labda yupo room za majasusi wakiisuka mipango.