Dark days 17/03/20...

Kuna kipengele current CEO aliambjwa aitikie ndio kila kitu anachotaka BT na vyote kuhusu atakavyo apewe bila kupingwa.

Na vingi vilifanyika hivyo. Mikataba yame yote ilirejeshwa mikononi mwake. Lakini BT akawa anamchunguza kwa nini ndio mzee kila kitu?

Good bye my Son its either me first or you. Lakini kabla sijaondoka mimi, nitahakikisha tunaondoka wote ili tuiache kampuni hii ikiwa salama.

Aisee ndani ya kampuni hii kuna michezo inaendelea ya hatari sana. Angulo la Beka kuna salamu imetumwa upande wa pili huko.

Deep state [emoji1431][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]

samurai uje useme neno.
 
Naye alizidi mno tamaa Kila kitu chake tu as if hamna wa kumzidi

Kabisa. Anazidi halafu anataka kuwa top kwa aliowakuta top na waka mweka top.
They have no Mercy with us (vibwengo according to samurai)

Kuna episode yoga anaelezea kuna meeting na BT, mmoja wa member akawa analalamika ugumu wa maisha kwa wateja wa kampuni kwa kiwango aliwasusia. Mmoja wa member akamjibu acha ujinga jiachie mwenzio aliingia humu kama wewe, sasa hivi ana ukwasi wa kutosha.

Kumbuka 5yrs tulipokwa fedha na mali nyingi sana ni wakati wa kurejesha na kujipanga kwa ajili ya 2025. Akaunti zetu hazina kitu kabisa.

Hii episode inaonesha ni jinsi gani ulafi umezidi, wengi wanateseka kampuni inaingiza pesa nyingi ila wachache ndio wanaila keki. Hii episode ilikuwa ya [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Wallah km Membe angefanikiwa kuwa VP. mbna angefanya vyovyote P adondoke ili yeye aukwae kilaini. Lol
 
yoga tunakusubiri uje kufungua code huku. Naona current CEO keshavuka mtihani mmoja, bado BT, rope, bosi habari, hawa wote wanapaswa kuondoka ili kumpa nafasi ya kutawala lasivyo watamsumbua.
Aanze na mentor wake kwaniiii.

Aiharibu remote kwani, afu ndo aanze ku, search channel upyaaa.
 
Kumekuchaaaaaaa!!!
 
Na mie nawaza, ukute BT anatanguliza wenzake wote ambao anajua akiwaacha watafaidi, anaona awasafirishe kwani afu yeye awe wa mwisho.

NAWAZAAAA
 
Mbna tumekwishaaaaaa.
 
Wacha wanyooshwe Kwa huo ulafi hyo episode ya kupiga Yoga Ali explain vizuri kumbe hata mabei ni uhuni wao tu na tamaa zako wangefanya Kila jambo Kwa kiasi
 
Misingi imara invisible au spiritual ilisimikwa 2012...Tanzania njema ni must apende au asipende mtu.

Its a decree!
 
Na mie nawaza, ukute BT anatanguliza wenzake wote ambao anajua akiwaacha watafaidi, anaona awasafirishe kwani afu yeye awe wa mwisho.

NAWAZAAAA

Sidhani saaaaaana kama BT ana ubavu kwani ni sawa na kujipunguza kiungo chako ili kupungua uzito.

BT anawategemea watu vichwa kumtekelezea majukumu yake, labda uoneshe dalili za kupingana naye au kuonesha interest za kumpiku maslahi yake kama late CEO.

Japo ulilowaza pia INAWEZEKANA, haya mambo unapoona hapawezekank ujue ndipo penye tobo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…