Kabisa. Anazidi halafu anataka kuwa top kwa aliowakuta top na waka mweka top.
They have no Mercy with us (vibwengo according to
samurai)
Kuna episode
yoga anaelezea kuna meeting na BT, mmoja wa member akawa analalamika ugumu wa maisha kwa wateja wa kampuni kwa kiwango aliwasusia. Mmoja wa member akamjibu acha ujinga jiachie mwenzio aliingia humu kama wewe, sasa hivi ana ukwasi wa kutosha.
Kumbuka 5yrs tulipokwa fedha na mali nyingi sana ni wakati wa kurejesha na kujipanga kwa ajili ya 2025. Akaunti zetu hazina kitu kabisa.
Hii episode inaonesha ni jinsi gani ulafi umezidi, wengi wanateseka kampuni inaingiza pesa nyingi ila wachache ndio wanaila keki. Hii episode ilikuwa ya [emoji91][emoji91][emoji91]