Dark days 17/03/20...

Mimi lang jicho tu ingawa other side of sukuma gang wameona ka kuondoka kwao imekuwa sherehe
 
Mimi lang jicho tu ingawa other side of sukuma gang wameona ka kuondoka kwao imekuwa sherehe
Yes. Dodo was a smart ass. Nami namuheshimu sana. Haya madudu yao tu ndo yanakwaza ila wasingekua wanapiga haya mambo mengine tungekua mbali sana sasa hv aisee. Lakini bt ana watu bado. Hajatikisika kihivyo. I just dont want that part of visasi
 
Hata mi naamini ni natural death, wanaita untimely death. Sema kosa lao kubwa ukimtoa BT, dodo naweza sema he became too political mpaka aka loose professionalism kwa kuanza kufanya mambo kwa kuropoka, kwa ubobezi wake ule na mission kubwa alizowahi fanya haikuwa necessary kabisa kuropoka eti Magufuli hataamka tena bla bla. Nadhani BT ni muhimu akae na timu yake aifunde kuanzia current CEO wajuie namna ya kuendana na jamii ya wapiga kura b4 2025 lasivyo chuki mtaani ni kubwa mno kwa sababu ya kauli za wazuri hawafi mara mungu kaamua ugomvi etc
 
Ooh Yees. That was very bad. Maybe pia ilikua kuwapooza wahanga waliopitia matukio mabaya. Watu walibeba mengi sana. Ila sasa hv kuna viral infection mwenyewe ilinichapa. Bado sijaimprove kbs
 
Aisee!
 

Siku zote mti Mwema ndio unaopigwa mawe.
 
Reactions: Ame
George Bush alikuja wakati wa utawala wake, unafikiri alikuja kwa kuwa anawapenda watanzania?

Nakushauri utafute kitabu chenye title "Deadly deceits".

Kimeandikwa na Ralph W Mcgehee. Huyu mwandishi kafanya kazi CIA miaka 25.
Kwa hiyo mkuu Marais wote wanaokuja hapa nchini wanaipenda Tanzania?acha mawazo mgando hayo
 
Usimpe BT dhamana ndugu yangu,,muulize mamvi alichofanywa then tizama walipotoka nae....

Think twice kwa MTU anaepata matibabu daraja la kwanza hawezi kufa Kama mchunga mbuzi porini then useme it's a natural death,,,kifupi NAdhan jamaa ameliwa kichwa kwa sababu ambazo sio rahic kuzielewa
 
Kuhusu mamvi binafsi naamini it was a game planned. Hebu tuuanganishe hizi dot.

Mamvi kuondoka ndani ya kampuni bila kurudisha kitambulisho cha kampuni. Kuingia upinzani kwa kununua kitu cha u CEO. Then kugombea u CEO wa kampuni Kushindwa, raia walitaka kuingia mtaani (lengo lilikuwa hapa) mamvi akawatuliza kuwa atajua namna ya kudeal nao.
Then kimyaaa. Baada ya muda mamvi anarudi kundini wanaendelea na maisha yao
 
Well well well. Simpi dhamana. Na unayosema yawezekana kbs ni ukweli. But, how was he supposed to die? Where was he supposed to die?

Japo kauli za bt jana msibani zilionyesha kbs kuna sintofahamu. Anaamini siyi natural death. Basi kama ndivyo tusubiri comeback yake
 
Waliokula kichwa cha dodo ki nadharia wanaweza kuwa kama ifuatavyo:
1. Current CEO (sababu ni ile dhana dodo angekuja kuwa mgombea na hatimaye awe makamu wa rais na in 2027 year current CEO angeuawa na dodo kuwa rais na hapo baadaye angemuachia kijana wa BT)
2. BT kwa sababu ya kuropoka au kukosa mvuto ili BT aweke mtu mwingine (dhana hii ni dhaifu mno) au pia inawezekana BT kamuwahi labda dodo alitaka awe ndiyo bosi wa kambi (bado dhana dhaifu)
3. Deep shiteti (inawezekana baada ya tafuta tafuta yao nani alimuua late CEO na wakaja na conclusion master mind wa mchezo wote ni dodo hivyo ikaamriwa auawe na then wengine waliobaki nao wauawe wote ila waanze na bosi wa genge la mauaji ya late CEO). Hii dhana ina nguvu namba mbili ikifuatiwa na ile dhana na current CEO.
4. Natural death (chanjo ya korona maana ilisemekana walio chanja watakufa within two to five years). Inawezekana pia ikawa siyo chanjo. Hii ni dhana ya kwanza ikifuatiwa na deep shiteti na ya tatu ni current CEO na ya mwisho ni BT.

Yote na yote hakuna mwenye uhakika ni theory gani ya ukweli kwa sababu mazingira ya uadui waliyojitengenezea kambi ya BT ni magumu sana na ni dhahiri vifo kwenye kambi yao vitaendelea kwa sababu deep shiteti ya bongo hata BT mwenyewe haijui kabisa na hakuna anayeijua kwa 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…