Ni story ya uongo ilitungwa na mabeberu wapenda vita wa funded by A, baada ya uzalendo wa BT kukataa unyonyaji wa mikataba ya gas kusini na ukumbuke hawa mabeberu walikuwa wameshajihakikishia watapewa dili za gas huko kusini na mpaka walikuwa wanasomesha watanzania na a lot of CSR, ila wenye vi macho vidogo wala mende walikuja na terms nzuri na BT akabadili gia hivo mabeberu wakaeneza habari kuwa BT junior kashikwa huko kwa wenye vijicho vidogo hivyo analipa fadhila, na walienda mpaka misikitini na makanisani wakatoa hela kwa wazee na kuwaaminisha eti wagome kabisa, lakini baadaye wazee walipoambiwa ukweli na kichapo wakatulia. Kwa ujumla BT siyo mbaya kiasi ambacho watu wanamsema ni mzalendo sana na mwenye hekima na upendo. Sema yupo rather fair kidogo. Mi binafsi nampenda sana na style yake ya uongozi. He is a good leader, tumuombee afya njema.