Dark days 17/03/20...

[emoji45][emoji20][emoji20][emoji53][emoji37][emoji19][emoji19]...
sasa mpaka dec duhh aiseeee....ok sawa hamna namna....
 
Duu kama KP kapata eneo letu kwa style hii basi tumekwisha. [emoji2962]
 
Duu kama KP kapata eneo letu kwa style hii basi tumekwisha. [emoji2962]
Kama naona BT alivokunja sura!!

Angalia trend hii

1.pk akaja tz.

2.jasusi mbobezi akafa.

3.Dodoma ikazinduliwa ikulu.

4.wanajeshi 244 wakafukuzwa kazini Rwanda,na waziri plus mkuu wa majeshi akatenguliwa!

5.Dp world ikachukua Bandari.

6.kumbe Dp world ILIKUA na Bandari kavu Rwanda!

7.Tetesi zinasema ceo wa Bandari tz wa dp world ni mnyarwanda jasusi la majuu!!

Tunaweza unganisha dots tukapata namma kua nani alijipanga kupindua watutsi hadi hayo mageuzi yakafanywa na pk!!!?!!Bt hajashirikiana na kampuni jirani kutaka kupindua wahima wa pk!!?

Najiuliza tu!!
 
Aisee
 
Najiuliza Intel hiyo inayowahusisha wanajeshi wengi kiasi hicho kuachishwa kazi kaitoa wapi?

Ni kweli wameachishwa au ni another duty in disgust?

Let's wait.

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Naamini wamemaliza mission kusudiwa.....ila ujio wake na kifo cha Bernard uliinua maswali kichwani.
 
Naunga Mkono hoja!!!
 
Nilichogundua huu ukanda wetu huu kuendelea huwenda ni kitu kisichowezekana au kitu kisicho tokea hivi karibuni.

Hii ni kwa sababu ya mfumo wa uongozi haswa hapa kwetu.

Ni bora hata kungekuwa na sheria inayomtaka kiongozi mkuu aifute dira ya taifa ambayo itakuwa imewekwa na wataalamu wa nyanja zote .

Ifike wakati ilani za vyama zisiwe zina tumika kunadi viongozi bali vi vipi watatekeleza mpango wa taifa wa maendeleo.
 
Ndo mtu avae dira jekundu akapande ndege jamani? Kuna watu hawana damu ya kupendeza haata kidogo yaani damu ya kunguni... si mtu hata amchague fundi wake mshauri wa mavazi na rangi za kuvaa jamani?
😂😂😂😂😂😂nimecheka sana aisee ile ni khanga imeshonwa mtindo wa dira.... yani calm down naona kwenye upande wa mavazi mmhhu pana kazi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana aisee ile ni khanga imeshonwa mtindo wa dira.... yani calm down naona kwenye upande wa mavazi mmhhu pana kazi
Yees. Khanga ile. Halaf sijui nimewahi muona nani anayo home. Kwanza ile rangi ni uchafu. Am not a stylist lakini hapana. Ule ni uchafu. Hata kama ni kutangaza mavazi lile hapana. Puuh mbaka. Kwanza rangi nyekundu siipendi. Kama mganga wa kienyeji
 
Wewe!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…