luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Shujaa wetu alobaki kukemea mapenzi ya jinsia moja, get well soon the presda museveniNilikuwa napita mahali nikakuta hii kitu.Sijaelewa imekuwaje!View attachment 2653890
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shujaa wetu alobaki kukemea mapenzi ya jinsia moja, get well soon the presda museveniNilikuwa napita mahali nikakuta hii kitu.Sijaelewa imekuwaje!View attachment 2653890
[emoji45][emoji20][emoji20][emoji53][emoji37][emoji19][emoji19]...Ni usiku but ni tyme nzuri kufikisha ujumbe mzuri nlionao: dark days ni story ambayo ni imaginary tu..... Yaani inazungumzia imaginary company! It is Not a trueMstory [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] it's not real just fictional!
Nlitamani Sana kuiendeleza kwa kuweka last episodes kabla ya kuintroduce the new one but naona tuishie hapo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] since hata flow yake imepotea kutokana na beautiful comments za woote mlioifatilia🥱[emoji2960]
With this statement let's put an end to this story ...... Ingawa discussion zitaendelea but pleeeeeeeease without naming people🥱[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125]
Sema sasa............
Hivi mnajua new CEO kapata backup ya maaana that imempa confidence she can win this war????
Na je Hivi mnajua for the first time, born town side for a bit thought the were loosing the war???
kuna jambo laja ................... sema nini......... Ndugu wakigombana ...................
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Nawa love sanaaaaaaa: ACHA ..............IENDELEE
Tukutane December kunajambo letu[emoji102]
Kwa kiasi kikubwa kawezesha rafiki zake kupata umiliki wa lango.
Duu kama KP kapata eneo letu kwa style hii basi tumekwisha. [emoji2962]Kwa kiasi kikubwa kawezesha rafiki zake kupata umiliki wa lango.
Pk aliitamani siku nyingi. Amefanikiwa kuipata kwa kupitia mkono wa rafiki zake.
Yule Ngongoti sio wakuja mara kumi kumi kama hana jambo lake binafsi.
Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
Kama naona BT alivokunja sura!!Duu kama KP kapata eneo letu kwa style hii basi tumekwisha. [emoji2962]
AiseeUjio wa tolu siku chache zilizopita una connect sana na kilichotokea
AiseeKama naona BT alivokunja sura!!
Angalia trend hii
1.pk akaja tz.
2.jasusi mbobezi akafa.
3.Dodoma ikazinduliwa ikulu.
4.wanajeshi 244 wakafukuzwa kazini Rwanda,na waziri plus mkuu wa majeshi akatenguliwa!
5.Dp world ikachukua Bandari.
6.kumbe Dp world ILIKUA na Bandari kavu Rwanda!
7.Tetesi zinasema ceo wa Bandari tz wa dp world ni mnyarwanda jasusi la majuu!!
Tunaweza unganisha dots tukapata namma kua nani alijipanga kupindua watutsi hadi hayo mageuzi yakafanywa na pk!!!?!!Bt hajashirikiana na kampuni jirani kutaka kupindua wahima wa pk!!?
Najiuliza tu!!
Tunahitaji kujiamulia mambo yetu wenyewe. Ndio maana ya uhuru..Mambo ni mengi kwa kweli nchi haina watu wa maamuzi inaruhusu mtu anajiamulia tu kwa ajili ya watz million 60 shame.
Sxx&# gang......Disclose analysis, inaezekana wametafuta namna yakumuondoa huyu mama uchaguzi 2025 wakaona wamseti somewhere apoteze trust kwa chama na wananchi. Wame win 100%
Najiuliza Intel hiyo inayowahusisha wanajeshi wengi kiasi hicho kuachishwa kazi kaitoa wapi?Kama naona BT alivokunja sura!!
Angalia trend hii
1.pk akaja tz.
2.jasusi mbobezi akafa.
3.Dodoma ikazinduliwa ikulu.
4.wanajeshi 244 wakafukuzwa kazini Rwanda,na waziri plus mkuu wa majeshi akatenguliwa!
5.Dp world ikachukua Bandari.
6.kumbe Dp world ILIKUA na Bandari kavu Rwanda!
7.Tetesi zinasema ceo wa Bandari tz wa dp world ni mnyarwanda jasusi la majuu!!
Tunaweza unganisha dots tukapata namma kua nani alijipanga kupindua watutsi hadi hayo mageuzi yakafanywa na pk!!!?!!Bt hajashirikiana na kampuni jirani kutaka kupindua wahima wa pk!!?
Najiuliza tu!!
Naamini wamemaliza mission kusudiwa.....ila ujio wake na kifo cha Bernard uliinua maswali kichwani.Najiuliza Intel hiyo inayowahusisha wanajeshi wengi kiasi hicho kuachishwa kazi kaitoa wapi?
Ni kweli wameachishwa au ni another duty in disgust?
Let's wait.
Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
"Labda mambo yakiharibika sana" unganisha nukta nukta! Endapo angegoma ama endapo angekubali!!! Mambo vululuvululu!!!!Tuletee jamvi mkuu maana sasa hv tumepoteana hatuji nani ni nani katika hili debe.
Naunga Mkono hoja!!!Abeeeee ati nini? Huwezi kuondoka hivi bana maembe yakavunwa hatujui ilikuwaje tho binafsi ina secret introduction.............nilitamani uongee chochote nilinganisge ahaaaa
Habibi mwenye viilemba vyao kichwani tiyari wako mjini dah am interested with this part loh huwezi ondoka bana.........
Ati December???........... oh!!!!
Plz change yr mind......
😂😂😂😂😂😂nimecheka sana aisee ile ni khanga imeshonwa mtindo wa dira.... yani calm down naona kwenye upande wa mavazi mmhhu pana kaziNdo mtu avae dira jekundu akapande ndege jamani? Kuna watu hawana damu ya kupendeza haata kidogo yaani damu ya kunguni... si mtu hata amchague fundi wake mshauri wa mavazi na rangi za kuvaa jamani?
Yees. Khanga ile. Halaf sijui nimewahi muona nani anayo home. Kwanza ile rangi ni uchafu. Am not a stylist lakini hapana. Ule ni uchafu. Hata kama ni kutangaza mavazi lile hapana. Puuh mbaka. Kwanza rangi nyekundu siipendi. Kama mganga wa kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana aisee ile ni khanga imeshonwa mtindo wa dira.... yani calm down naona kwenye upande wa mavazi mmhhu pana kazi
Wewe!!..Yees. Khanga ile. Halaf sijui nimewahi muona nani anayo home. Kwanza ile rangi ni uchafu. Am not a stylist lakini hapana. Ule ni uchafu. Hata kama ni kutangaza mavazi lile hapana. Puuh mbaka. Kwanza rangi nyekundu siipendi. Kama mganga wa kienyeji