Dark days 17/03/20...

Sawa kiongozi, kingine kwani huko kwenye team yake anaulizwa maswali magumu sana?

Hapana. Maswali anaulizwa ni wanaomuwinda. Na sio maswali kama ufikirivyo.

Mf. Kipindi cha Late CEO aliulizwa maswali magumu mengi ikiwemo kutupiliwa mbali mikataba fisadishi, na miradi yake mingi ya uchotaji mifedhwa ilipigwa pini. Sasa swali hapo ni nitairejeshaje mikataba yangu, ?! Miradi yangu nitairejesha vipi unnoticed with majority? Haya ndio aina ya maswali.

Hata sasa anguko la Dodo ni swali zito kwake. Nani yupo nyuma ya hili? Is it a natural death? If not who draft the whole mission?

Hii ndio namna ya maswali aulizwayo.
Huko kwenye team yake sidhani kama anapata maswali magumu kwani, kwa inavyoonekana mwamba ni jasusi haswa, mtandao wake hauingiliki kiwepesi. Huko anawamudu japo kwenye team msaliti lazima awepo.

Hope nimekujibu kwa kiasi.
 
The MoNA wewe ni mwl wangu mzuri unanipa nuru fulani, mkuu hivi Team Edo bado ipo na kama ipo kwa sasa ipo upande upi? Upande wa BT, Bush Stars au Mkojani Fc?
Kingine vipi R Azizi yuko timu ipi?

Karibu mkuu najaribu kujibu kwa kiasi tu mkuu:

Team Edo ipo team huwa azifi zinahama hama tu kwenye maslahi.
Na kwa namna hali ilivyo, unafikir Edo alirudi nyumba bure bure? Hapa yule na BT walisukuma kete moja kumuondoa late CEO kwani aliwaminya haswa kwenye mambo yao. Edo ndio master mind wa mikataba na upigaji haswa na mwenye jicho ka fursa za kampuni hii. Bt kamtumia sana Edo kumfanikishia safari ya kuishaka kampuni kwa makubaliano baada yake ataingia yeye.

Edo akazungukwa vibaya na BT, na hii ndio ilikuwa kete kubwa ya BT kwa Edo, kwani Edo angeshika kampuni ulaji wa BT ungekuwa shakani, kwani anamjua Edo kwenye kusuka mipango na kuziona fursa. Mpaka anastaafu zengwe lile alitengenezewa na BT, akaamua kujiondoa fasta asiharibu mambo. Uzuri BT anajua kula na kipofu hakumbana kila mahali kuna maeneo na ulaji alimuachia.

Kwa hali ilivyo, huyu Edo anaijua kampuni vizuri sana na anamjua BT vizur sana. Na huenda yeye anawindana na BT kwani BT ni kama anawazidi kete kwenye ulaji.
Edo na Aziz ni waenda pole na wanasikilizia upepo upo vipi. Kwa mujibu wa riwaya hii, hamna mahali inaonesha wamehitilafiana pakubwa, ila kwa aliyofanyiwa na BT sijui kama atakuwa nae sawa. Ila kwa niamivyo bado wapo mtu tatu BT, Mr. Edo na Mista fursa Aziz, kutokana na kipengele kimoja wapo cha riwaya hii kilionesha wapo pamoja.
 

Hivyo ndivyo hutakiwa mkuu. Mkiwa two big bulls ndio mafarakano kama kwa BT na Mr white haired.

Huenda Team Edo Imeridhika na mgawanyo and they have nothing left to fight for.

Vita kubwa ipo kwa hawa wenye wana waliopo vitengo, nani atangulie kushika kampuni?? Hawaaminiani hivyo kila mtu anataka mwana akae amlinde, huku akiwa na wasi wasi akishika asiyewangu anaweza kuniunguza.
 
Duuuuh sawa kiongozi shukurani sana, ila Edo ana moyo mkuu sana maana aliyotendwa na BT ni hatari sana kushinikizwa kujiuzulu na afya pia huenda walimchokonoa mzee wa watu hadi leo hayuko sawa.
 
Duuuuh sawa kiongozi shukurani sana, ila Edo ana moyo mkuu sana maana aliyotendwa na BT ni hatari sana kushinikizwa kujiuzulu na afya pia huenda walimchokonoa mzee wa watu hadi leo hayuko sawa.

Edo hakuonesha interest ya kutaka zaidi nafikiri kuna ulaji aliupata zaidi ya kiti akaamua kutulizana..!!!
 
Kwani jamani rais wa Ukraine mavazi yake yakoje?
 
Hakika umenijibu mkuu, " ....anguko la Dodo ni swali zito kwake. Nani yupo nyuma ya hili? Is it a natural death? If not who draft the whole mission?"
Na BT ana mtaji wa watu wengi sana, kuna yule CEO mstaafu wa taasisi yetu pendwa TIZZ enzi za utawala wake BT, kuna yule wa Scotland Evalist Chaheli nk nk.
 
Tumia Akili deleted thread[emoji119] ina reflect ujumbe wa Yoga kurudi December.

Wacha inyeshe

Wakuu

Mwaka 1779 jenerali wa Marekani, Benedict Arnold, alianza kuingia makubaliano ya usaliti na majeshi ya uingereza ili kuwasaidia kushinda vita kule Marekani.

Mkakati wake kudhoofisha ngome pale New York uligundulika na aliyekuwa handler wake upande wa uingereza meja John Andre alikamatwa na majeshi ya Marekani na kunyongwa.

Upande wa pili nikawa nimeingia ofisini kwa director nikakuta mazungumzo fulani nikahitaji ufafanuzi.

Nikauliza mbona ilisitishwa? Akajibu, "that's above your paycheck". Nikamwambia hata bado hajastaafishwa akajibu, "JAL 1 is done, 2 and 3 are next".

Nikasema mbona kitabu na fdr hamna dalili akasema stop huku akinionesha nitoke pale ofisini. Basi nikainuka na kusema nilishaaga akajibu, "taarifa zinatoka juu kuja chini".

Akabonyeza namba kwenye simu wakati namalizia kutoka nikasikia anatamka "code PJLK, next stage is ON, desert mission, original plan, over and out."

Nilisikia mlango unagongwa kumbe ni binti yangu aliyekuwa anatoka alfajiri. Hapo nikajua kumbe ilikuwa ni ndoto.

Just a few days.
theState.
 
🌹🌹🌹🥰
 
Roman 12- 17-21

"17 Do not repay anyone evil for evil. Be careful to do what is right in the eyes of everyone.

18 If it is possible, as far as it depends on you, live at peace with everyone.

19 Do not take revenge, my dear friends, but leave room for God’s wrath, for it is written: “It is mine to avenge; I will repay,”[a] says the Lord.

20 On the contrary:
“If your enemy is hungry, feed him;
if he is thirsty, give him something to drink.
In doing this, you will heap burning coals on his head.”[b]

21 Do not be overcome by evil, but overcome evil with good"

Ipo siku Mwenyezi Mungu atalipa kisasi. Muda mwalimu mzuri
 

He has inner and big roots. He is a bao bao. It needs machine to let it down.

Let BT be like a bao bao tree
 

Kwa ku connect dot. Mission ilikuwa BT aondolewe kwa msaada wa team tatu

New CEO
Late CEO
and
PK

Then after BT has been eliminated next is PK, the late CEO team. Hiyo code ya PJLK naona inamuhusu BT & PK at once. Labda tayar kuna uwezekano wa kuondolewa wote kwa pamoja baada ya anguko la dodo.

“Desert mission”
 
Kwa yoyote anayejua yoga mara ya mwisho aliishia wapi kuachia episode yake a-quote hicho kipande halafu anitag..........kiukweli nitashukuru sana

YOGA
Ni usiku but ni tyme nzuri kufikisha ujumbe mzuri nlionao: dark days ni story ambayo ni imaginary tu..... Yaani inazungumzia imaginary company! It is Not a trueMstory [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] it's not real just fictional!

Nlitamani Sana kuiendeleza kwa kuweka last episodes kabla ya kuintroduce the new one but naona tuishie hapo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] since hata flow yake imepotea kutokana na beautiful comments za woote mlioifatilia🥱[emoji2960]

With this statement let's put an end to this story ...... Ingawa discussion zitaendelea but pleeeeeeeease without naming people🥱[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125]

Sema sasa............

Hivi mnajua new CEO kapata backup ya maaana that imempa confidence she can win this war????

Na je Hivi mnajua for the first time, born town side for a bit thought the were loosing the war???

kuna jambo laja ................... sema nini......... Ndugu wakigombana ...................

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Nawa love sanaaaaaaa: ACHA ..............IENDELEE

Tukutane December kunajambo letu[emoji102]
 
Kwahyo mwaka huu
Pk au Jk
Mmoja analamba nyasi? Au wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…