Dark days 17/03/20...

Watanzania wazalendo wa rasilimali na taifa kama wewe nawapenda na kuwa kubali sana, Mungu azidi kuwalindeni na kuwatunza zaidi na zaidi.
Wacha tuone
Kuna vikao vingi Sana vinaendelea hapa kurasini kuna kiongozi mmoja mkubwa wa serekali naona kashuka kwenye Alphard kaingilia mlango wa nyuma alafu kaja anaendesha mwenyewe mmmmm nimeshituka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…