Je wanashiriki kulipa marejesho?? Hiyo mikopo 4.5% nani anairejesha pamoja na riba zake?hapana, 4 5% sio ya pato la ndani, ni shares ya Zanzibar katika pato la nje la mikopo na misaada yoyote ya JMT kutoka nje ila hazihusishi FDI. Tanzania ikikopa dola bilioni 100, dola Bilioni 4.5 zinapelekwa Zanzibar!.
P
Serikali tatu tena brother?Kiukweli ni ngumu sana, hebu chukulia polisi tuu au jeshi, angalia wanatumia kiasi gani Zanzibar, halafu ukokotoe wanatumia kiasi gani bara, then kile kiasi cha bara ni kiasi gani jeshi linatumia kwa ulinzi wa mipaka ya Tanzania bara tuu, hizo ni gharama za bara, uje kwenye kiasi gani kinatumika kulinda mipaka iliyoongezeka ya Zanzibar, inashindikana kwasababu hata bila muungano jeshi lingelinda mipaka ya Tanzania bara yote, hakuna namna ya kukokotoa gharama za ziada za ulinzi wa mipaka ya Zanzibar pekee!. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Wizara zote za muungano pia ni Wizara za bara, hakuna demarcation ya gharama za bara pekee na gharama za muungano!. Dawa ya hili ni serikali 3.
P
Kanuni ya mkopo ni anayelipa ni aliyekopa, hivyo mikopo ya JMT Zanzibar anapatiwa 4.5% na halipi, analipa aliyekopa!.Je wanashiriki kulipa marejesho?? Hiyo mikopo 4.5% nani anairejesha pamoja na riba zake?
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Hahaha eti mkeo.Kanuni ya mkopo ni anayelipa ni aliyekopa, hivyo mikopo ya JMT Zanzibar anapatiwa 4.5% na halipi, analipa aliyekopa!.
Ila kuna mikopo Zanzibar anakopa kwa udhamini wa JMT, hii ni Zanzibar wenyewe wanalipa, ila ikitokea Zanzibar akashindwa kulipa, atakayedaiwa ni mdhamini!.
Kuna madeni kibao tunawalipia na hatuna tatizo!. Vipi wenzangu unaona shida yoyote kumlipia deni mkeo?.
P
Last empress? She's only getting started.... let's manage our expectations it's gonna be a long rough ride.the Last Empress
Pato la taifa ni sawa na bajeti ya nchi? Umezidi kumchanganya huyo nghosha. Pato la taifa huwa zaidi ya Trillion 100!!Haya sasa ni mambo ya numbers, sio mambo ya Ikungulyabashashi wala wapi!, kiwango halisi kiko kwenye bajeti, naweza kukupa estimates za 42 trillion nimeiround 40 trillion na hivyo 4.5% nimeround 5%
hivyo 40 x5 ÷100= 2 hivyo Zanzibar ni trillion 2!.
P
Ok, nilitaka nichangie ila ngoja kwanzaMkuu mwambie aende Zanzibar akafanye research ya mamiradi mikubwa mikubwa inayojengwa huko, halafu aoanishe, mapato ya Zanzibar, mgao wa mapato ya muungano, mikopo ya wahisani, sijui na hela za kubinafsisha visiwa vyao kama hela hizo zinaweza kujenga miradi mikubwa mikubwa kwa muda mfupi aliokaa madarakani.
Ni ama iwe serikali moja, ama ama serikali mbili ya Zanzibar na Tanganyika. Serikali Tatu ni mzigo kwa walipa kodi.Ukisoma post # 9492 hadi hapa unajua kabisa bado Kero za Muungano hazijapatiwa ufumbuzi.
Kuna haja Muungano uvunjwe ama tukae chini tena kuweka mambo sawa.
Sijui Viongozi wameona nini ambacho sisi wengine hatujakiona kwenye huu Muungano.Ni ama iwe serikali moja, ama ama serikali mbili ya Zanzibar na Tanganyika. Serikali Tatu ni mzigo kwa walipa kodi.
Njia Rahisi, ni kutafuta post alizoweka hapa yoga Toka March 20, 2022 mpaka sasa kupitia heading ya uzi huu kule kule kwenye profile yake. Hapo utakuwa umepunguza wingi wa posts, na itakuwa Rahisi kuzibaini post husika.Ni ombi nawasilisha.
Ninajua hilo, ila ninamuomba kama ataweza kuiweka ktk mfumo wa pdf afanye hivyo, au kama kuna mdau anaweza kufanya hivyo basi yoga atangaze tenda kisha mdau aliyewin apewe kaziNjia Rahisi, ni kutafuta post alizoweka hapa @yogq Toka March 20, 2022 mpaka sasa kupitia heading ya uzi huu kule kule kwenye profile yake. Hapo utakuwa umepunguza wingi wa posts, na itakuwa Rahisi kuzibaini post husika.
Vurugu (kama unaziona ni vurugu lakini) zote hizo ninazofanya, lengo kufanya yoga ashughulike tu na kazi ya kuandaa Episode mpya tu.....kufanya hivyo basi yoga atangaze tenda kisha mdau aliyewin apewe kazi
Mpaka watoto WA Cain waamue ndio mtatengana bila hivyo tukae kwa kutulia tuote jua.Why serikali tatu? How do we benefit with Zanzibar at all?
Binafsi ninafikiri ni bora tudai Tanganyika yetu.
Tishio la usalama lililokuwepo wakati wa ule halipo tena.
Tuwaache hao mbwa wajitegemee.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mkuu PNguruvi3 anauliza wao wanachangia kiasi gani kwenye akaunti ya pamoja?
Hapana si kweliIt's not fair ila wao hawana kosa, waliomba wapewe gharama za kuendesha muungano, imeshindikana kwasababu Wizara zote za muungano, pia ni Wizara za Bara, hivyo hakuna demarcation ni gharama zipi za muungano na zile za bara!.
P
Swali zuri sanaJe wanashiriki kulipa marejesho?? Hiyo mikopo 4.5% nani anairejesha pamoja na riba zake?
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Ni kwamba pesa zinatoka Bara. Kadri mapato yanavyokusanywa Bara wao wana 4.5%.Mkuu una hoja ya kufikirisha,juzi wakati Jamaa anasheherekea kutimiza miaka mitatu madarakani;kuna Mwandishi sijui ni wa Mwananchi aliuliza kuwa jamaa anatoa wapi pesa za kuendesha miradi;jamaa akajibu kuwa eti kaimarisha mifumo ya makusanyo kwa kuhakikisha mapatao yalikuwa yamavuja zamani yanadhibitiwa na pia mikopo ya wahisani.Dah,bado haingii akilini arguments zake!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app