Dark days 17/03/20...


Yoga time hii nipo na sherekea Christmass hope kesho niki amka saa sita mchana nita kuta uzi uko ubaoni.
 
Wakuu ombi langu kwenu, huyu dada hatumlipi, Kwa nini tunatumia nguvu nyingi kumforce?
Tumpe uhuru tusimpe presha.
Nadhani ni huo muda aliouandika was 25/12/2025 ni sahihi!

Inaonekana hataki kuingilia operations zinapoendelea hadi zitakapokamilika!!

Muda alioweka ni baada ya uchaguzi 2025 kama ukiwepo huo uchaguzi!!kana ukiwepo!!

Kwanini!?

Kwasababu Harryson mwakyembe aliwahi seems tumeshuhudia chaguzi nyingi tangu uhuru kwa katiba iliyopo!!

Nadhani hakutakua na uchaguzi Kwa katiba hii na na wakilazimisha TU Mabaka nchi ni Yao!

Itabidi uchaguzi uhairishwe Ili katiba iandikwe kwanza!

Dola ilishatoa Baraka zote Kwa katiba kuandikwa tangu 2022 Kwa bandiko la Tumia akili!!

Mtego tulionao CCM ni kuingia kwenye uchaguzi kupitia katiba hii tutapoteza Dola Kwa mabakabaka Lisa watasema tumegoma kuandika katiba mpya ambayo ni matakwa ya wananchi!!!

Uchu was madaraka umefanya makada kuwa kipofu was kuuona mtego huu!

Subirini mtaona!na yule whistle blower kishaanza kuingiza Hilo la mabaka kushika hatam huko mitandaoni!!

Chama changu ccm mtego ni katiba sio tume huru ya uchaguzi!

Nimeandika!
 
1. Tanzania inaonekana dipu siteti yao ni dhaifu sana,
Haina uzalendo kwa nchi ila kwa ajili ya maslahi yao tu.

2. Mabakamabaka kuchukua nyikani kwa tz haiwezekani,
Tizi na ccm wanandoa ya kudumu na tizi asilimia kubwa ni uvccm huko kwenye mabakamabaka kila Engle tizi wapo.

3. Kwa nini dipu siteti na mzee wa dokezo walikubali tuwe na top leader aina ya Eva?

4. Si wangeenda kinyume tu na kitabu?

5. Marekani, Urusi, China, Israel kwa umri wao hadi sasa kama taifa wa kuwa taifa huru wamewahi kuwa na rais au waziri mkuu Eva?

6. Kule Ngorogoro mzee wa dokezo alipewa cheo gani vile? Je haoni wamasai kilichowapata kule?
Haoni Waarabu wanavyolalamikiwa kule?
Kama mzee wa dokezo alishindwa kubadilisha chochote 2021 na huyo Mkunde kipi ambacho anaweza kufanya?
 
Mzee wa dokezo asingeweza kukataa uteuzi coz ingekua too toxic!Kuna tetesi kuwa alinusurika kwenda milele alipoletewa zawadi ya gari ikabidi msaidizi wake akawa mbuzi wa kafara!!

Kisa eti alipiga pin sana ishu ya drugs baharini na jamaa walipata hasara!!

Cheo hicho alipewa Ili ku monitor mvt zake!!

Eva alipewa Ili kuepusha minong'ono ya mapinduzi coz kampuni inaaminika Kwa usalama na amani isingekua na mantiki kufanya vile kisiwani wangejisikiaje!!?

Mabaka baka wanaweza coz ndani ya vitengo vyote kuna wazalendo ambao Wana lugha moja wengine wapo humo humo kwenye nembo hawafurahishwe mambo yalivyo hivi!!

Nembo pinzani ilikua turufu lakini imegawanyika Baada ya baadhi kulambishwa na kuahidiwa milambo ya kutosha hapo 2025!!

DS is there for real, operation zake ni za ki akili Ili wasiingilie katiba!!

Tusubiri!!
 
Sawa.
Though we are tired of waiting anyway!
 
Etsi sumus defessi exspectans usquam
Йога, вы именно имели в виду 11:00 в понедельник, 13 декабря 2023 года, или вы упомянули 2025 год как закодированную информацию?

"Yoga, vy imenno imeli v vidu 11:00 v ponedel'nik, 13 Dekabrya 2023 goda, ili vy upomyanuli 2025 god kak zakodirovannuyu informatsiyu?"
 
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI asante sana mkuu kwa torch yako gizani,
Ila Eva hana shukurani,
Naweza kukubaliana na Veronica France wa 2021,
Mzee wa Dokezo nasikia aliwakatalia team late ceo kuweka mtu wao, hivyo bila ya mzee wa dokezo Eva asingekaa pale kileleni,
Halafu anakuja mtu kutoa zawadi yenye nia ovu ndani yake, hana shukurani habebeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…