Dark days 17/03/20...

Ukitazama kwa macho ya ndani kabisa utaona mfumo uliojipanga kututawala milele iwe iweje.
Nchi sasa inaenda vile walio juu wanataka si takwa la raia.
Hakuna vipaumbele muhimu na kibaya zaidi hayupo mwenye uchungu na rasilimali za kitaifa.
Hivi kiongozi unapokuwa mfanyabiashara conflict of interest inaiondoaje kwenye kufanya maamuzi?
Au kuwa na lengo la kujinufaisha wewe na familia yako . Huoni unatengeneza tatizo la vizazi na vizazi au ndio hakuna uchungu
 
Tuna hasara taslimu kama Taifa.
 
A respect you.. Mawazo yako yako na uchungu mwingi. Japo sijajua Kanisa hili linamiliki nini na wapi?
 
NEW CEO HAWEZI KUMZIDI MBINU OLD CEO.OLD CEO ALIKULA NCHI SANA BUT ALITOA AJIRA NA AKAACHIA PESA.HUYU MZAZIBARI ANAANGALIA MASLAHI YA ZENJI, KAMPUNI IMESHAMSHINDA.TUNAMTAKA MTU KAMA OLD CEO TUPATE AJIRA NA MZUNGUKO WA PESA.
Old CEO Juzi nimemuona anaongea na Rais Tshekedi wa DRC nikajua hapa wakina Katumbi lazima waangue kilio cha kupigwa kwenye Uchaguzi.
Mwaka 2022 kule Kenya qkishirikiana na Swaiba wake Rosti Maini wamemliza Mzee Odinga kwa kumuweka Ruto kwenye kiti![emoji1787]
Mama Kizimkati akae kwa kutulia,anacheza na Mamba mtoni!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Old CEO anajua akiingia katumbi ata m favor Mr slim yule mrefu wa nchi ya milima isiyo na kitu ambae ni adui wa miaka mingi was Bt!

Ndio maana Tshesekedi kapiga u turn!matokeo ya mwanzo yalionyesha katumbi anachukua lakini nadhani tshesekedi atakua kaambiwa ACHA uzembe huwezi kuachia Dola kizembe tupo tutakusaidia kabisa kupambana na ok na huyo katumbi!!

Ngoja tuone!
 
Hahahaha
 
Hawezi kujua na kwa taarifa yako alitaka kujua na akashindwa kujua
😂😂😂achana na story za vijiweni basi,achia vijana wenye ndoto za kuoa wanawake wenye makalio makubwa,labda kama unataka tukuandikie kila kitu hapa,kwa malengo yako.

hakuna idara ama taasisi yoyote unayoijua wewe,rais atataka maelezo yake akafichwa,iwe kwa masalahi binafsi ama mapana ya taifa.

ndio maana wengine wanataka mamlaka hayo yapunguzwe.huyo mama yenu kapitia alipopita na wala hakuwa undercover,alikuwa afisa wa kawaida tu,ambaye hata akijulikana na mfanya usafi ikulu hakuna tatizo.
 
Tatizo la dini zipo kama dhana tu.
 
Kwaiyo kete za Kijasusi zinasukumwa kiufundi kati ya Majasusi mawili hatari ya Afrika Mashariki BT na PK!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
R
Mmiliki wa tiGo na Zantel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…