Dark days 17/03/20...

Wamemmaliza. Yaan inahitaji kuwa smart sana aisee.
Kwahiyo katiba ilikuwa karata ya ushindi kwake kama angeendelea na mchakato?
 
Mkuu shukurani sana,
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

1. Hivi hapana tofauti baina ya Deep State na TISS?
Km ipo nani mwenye nguvu kumshinda mwenzake baina ya hao wawili?

2. Mwasisi wa Deep State Tanzania ni nani?

3. Deep State Tanzania imeanza kufanya kazi mwaka gani?

4. Deep State ya Tanzania ina member wagapi? Boss wao huwa ni nani?
 
Rudi juu hii topiki tuliigusa tyr...wewe ulikuwepo wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe!!

Sidhani kama nitakujibu!

Mawazo yangu ya kinadharia:-

Deep state imeanza kabla hata ya uhuru yaani enzi za ukoloni!

Wakati wanaachia nchi wakoloni waliiachia chini ya uongozi wa kanisa kubwa!huko ndipo chimbuko la ujasusi wote Duniani!

Why!!?kwasababu kanisa ndio mamlaka pekee ilioaminika kuandaa watawala kielimu na maadili ndipo tulipowapata kina Nyerere na co!

Maafisa was kwanza was idara nyeti walifunzwa vilivyo na seminary kielimu,na kupata mafunzo wa kijeshi ndani na nje ya nchi!kama kina Emilio mzena,kina Augustine mahiga,Benard membe na wengine wengi sana!!genesis ya deep state no hara kabla ya ukoloni Baada ya uhuru utaratibu uliendelea kuandaa vijana Hadi leo wanaandaliwa!

Tiss ni taasisi visible yenye ofisi zake ambazo zipo kuanzia st.peters na nyinginezo na hao wapo Kila sehem nchini!

Toss na Ds ni taasisi mbili tofauti DS sio visible kama Tiss lakini Kuna uwezekano member was toss akawa member was D's ndani ya Ross Kwa kujua au kutojua!!

Kiongozi was Ds ni insible yaani haonekani kabisa kiutendaji lakini D's inafanya kazi Hadi kimataifa ikishirikiana ki operation na Taasisi za nje kama CIA,NIC,M16,MOSSAD n.k!

Tumia akili kwenye Uzi was kitabu anasema "zibaki serikali mbili sio tatu kama mashirika ya kimataifa ya kijasusi yalivyo fanya utafiti!!

Tiss wao ni visible ambao kiongozi wao ni Rais,katibu mkuu kiongozi,Mkurugenzi was usalama wataifa na waziri was utumishi na operation zake zinaratibiwa chini ya office ya Rais lakini DS operation zake hata Rais hawezi kujua na anawajibika kwao Kwa kufuata maelekezo yao!!

D's Kwa Tanzania Boss wake no mashirika ya kijasusi ya marekani CIA,MOSAD,NIC,M16n.k!

D's Ina nguvu kuliko Tiss,coz operation za D's ni ujasusi wa kidola ambao haufuati amri ya Rais wa TZ,Bali Mashirika makunwa ya kijasusi ya kimataifa hasa Russia na USA na Uingereza!!

De Levi's na samurai Wana sema kila depertment ya D's Ina watu zaidi ya 200!

Nimeandika ninavoelewa!
 
Kwa mara ya kwanza ndo naisikia hiyo D'S ...nilidhani TISS ndo kila kitu kumbe ni cha mtoto kwa D'S ???
 
Kwa mara ya kwanza ndo naisikia hiyo D'S ...nilidhani TISS ndo kila kitu kumbe ni cha mtoto kwa D'S ???
Tiss inawajibika Kwa Rais ndio maana viongozi wake wanateuliwa na Rais!

Deep state ni collaboration na mashirika ya kijasusi ya nje wengine wapo nje ya nchi kama diaspora s kumbe ni member was Ds na hata mkurugenzi wa Tiss hawajui na hata Rais anaweza asiwajue na hata wanapo report hawajui!!

Ipo hivyo!
 
Mkuu, Master NAMBA MOJA AJAYE NCHINI asante sana kwa unyenyekevu wako, uvumilivu wako dhidi ya maswali yangu na kwa kutoa muda na akili zako ku type ili kunijibu,

Asante sana, shukurani sana,
Nimewahi kuuliza mara kadhaa maswali hayo sikupata majibu yenye kukata kiu yangu,

Leo hakika umekata kiu yangu, Mungu Muumbaji azidi kukubariki wewe na uzao wako wooote.
 
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
1. Kwamba Ds imeanza kazi Tz kabla hata ya uhuru wetu, hii inaonyesha kuna mhimili mwingine uliojichimbia zaidi kuliko ule wa taasisi ya urais.
2. Wakoloni waliachia chini ya uongozi wa kanisa, hii imenikumbusha mzungu fulani wakati wa Mwl aliwahi kusikika akisema "serikali ya Tz iko mfukoni mwake" Mwl aliamua kumshikisha adabu, walijitokeza watu wengi kumwombea msamaha lkn Mwl hakukubali, watu wa kanisa walipomuomba Mwl asamehe alikubali, hapo nikajiuliza hii nguvu ya kanisa inatokea wapi? Leo nimejua 🙏🙏🙏.

3 Leo nimejua kwa nini Maembe na VP
huitwa waseminary.
4. kwamba kiongozi wa Ds ni visible, haonekani kiutendaji,
Hii inaonyesha kama vile DG huripoti na kuwajibika kwa boss wake rais, ndivyo ambavyo kumbe rais ana maboss zake naye ambao huripoti kwako.
 
Ina maana hawana kikao? Kuna kitabu kinataja "the clinic" ..
 
Sitasahau kule kuahirishwa kwa kura ya maoni enzi zile kutokana na waraka uliotoka kwa wazee wa liturgy, ndipo nilipojua nguvu yao ni ya aje hapa kwetu, sijajua ni kwa nini hili la juzi liliwashinda, in short wao ni moja wapo ds maana zipo ds zaidi ya moja ambazo invisible, isisahaulikena wazee wa mzizima nao moja wapo wa ds.
 
Maoni ya wananchi ni sehemu ya DS .maandishi ya waastaafu ni sehemu ya DS
 
"Glubinnoye gosudarstvo real'no i deystvuyet inkognito, no yego resheniya i posledstviya sil'no b'yut po strane"
 
Drama series hii… we kula raha

Usiwaze saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…