Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Ni Baadhi ya senior figures wa nembo waliomuingiza mkenge akatae ule mchakato!akihisi atapoteza dola kizembe kama katiba ikiandikwa hayo ni matakwa ya nembo hofu ya kupoteza dola wakaamua kubagaza Kwa muda mrefu ili ionekane muda haukutosha!!

Na yeye akaanza kusema kitabu sio kila kitu!mwingine akalopoka hakileti ugali mezani!

Dola haiwezi geuka maagizo yake!Bt ye alimuingiza mkenge Kwa kumpa kichwa hakuna mwanasiasa Bora kuliko yeye Ili ajione ye ndio chaguo akamwinhiza kwenye mapigano na kampeni za mapema aishiwe HoJa mapema!Ili akichoka TU wapinzani wanalianzisha!!

Kwenye nembo sio kila mtu anaekupigia makofi anakutaka wengine wanakupigia makofi Ili unase kwenye mtego!!

Gazeti la uhuru ndio lilianzisha vita vya kampeni kabla ya wakati na yeye akanasa akaanza kushindana mwenyewe bila kuwa na mpinzani yaani unapiga kampeni hujui mpinzani wako no yupi!

Hiyo nipsychological torture kwake!!
Wamemmaliza. Yaan inahitaji kuwa smart sana aisee.
Kwahiyo katiba ilikuwa karata ya ushindi kwake kama angeendelea na mchakato?
 
Sidhani kama ni sehem Yao,ni wenye uchu wa madaraka!

Member active was nembo wanawaza uteuzi wengine wanataka kiti,hawawezi kubali kiti kiwe rehani kwa kitabu kipya!!

Dp inawatumia sana MNF (mwalim Nyerere foundation)kina Butiku na warioba!hao ndio sauti Yao!wanasema live kabisa no aibu kuingia kwenye chaguzi Kwa katiba iliyopo Kwa Yale madhara ya 2020!

Japo ni kweli pia Dp Ina members ambao wapo Kila department hata ndani ya nembo wapo!!na uzuri hao jamaa ni ngumu sans kuwajua Kwa uelewa wa kawaidawengine tunao mtaani tunakunywa nao kahawa hata wewe unaweza ukawa unaniuliza maswali ukawa member wao who knows!!

Eneo kama ikulu ,taasisi za umma,kitaa n.k wapo tunao,humor jeshini pote pale humor Tiss hadi upinzani hata kwenye huu Uzi wapo!!

Ile taasisi ya whistle blowers ni wao,nilimuuliza kwenye forum Fulani akanijibu ni Taasisi kubwa sana! members humu wamo hasa TA! Hadi church,msikutini wamo!

Ogopa sana vijiwe vya kahawa na site Fulani Fulani wanauliza maswali kama wanahitaji maelezo muono wako juu ya jambo Fulani kumbe wanakuchunguza!!

Department Pana sana!

Huwa nawashangaa baadhi ya viongozi wa umma eti wanapoteza muda wa kuhangaika na wale jamaa was kigogo kigogo aiseh ni kuonyesha IQ zao ni ndogo sana!

Huwezi pambana na watu wanaopata access ya mambo mengi kiasi hicho ukawachulia poa!!

Ndivyo ninavyoelewa nipo tayari kukosolewa!
Mkuu shukurani sana,
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

1. Hivi hapana tofauti baina ya Deep State na TISS?
Km ipo nani mwenye nguvu kumshinda mwenzake baina ya hao wawili?

2. Mwasisi wa Deep State Tanzania ni nani?

3. Deep State Tanzania imeanza kufanya kazi mwaka gani?

4. Deep State ya Tanzania ina member wagapi? Boss wao huwa ni nani?
 
Rudi juu hii topiki tuliigusa tyr...wewe ulikuwepo wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shukurani sana,
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

1. Hivi hapana tofauti baina ya Deep State na TISS?
Km ipo nani mwenye nguvu kumshinda mwenzake baina ya hao wawili?

2. Mwasisi wa Deep State Tanzania ni nani?

3. Deep State Tanzania imeanza kufanya kazi mwaka gani?

4. Deep State ya Tanzania ina member wagapi? Boss wao huwa ni nani?
Mkuu wewe!!

Sidhani kama nitakujibu!

Mawazo yangu ya kinadharia:-

Deep state imeanza kabla hata ya uhuru yaani enzi za ukoloni!

Wakati wanaachia nchi wakoloni waliiachia chini ya uongozi wa kanisa kubwa!huko ndipo chimbuko la ujasusi wote Duniani!

Why!!?kwasababu kanisa ndio mamlaka pekee ilioaminika kuandaa watawala kielimu na maadili ndipo tulipowapata kina Nyerere na co!

Maafisa was kwanza was idara nyeti walifunzwa vilivyo na seminary kielimu,na kupata mafunzo wa kijeshi ndani na nje ya nchi!kama kina Emilio mzena,kina Augustine mahiga,Benard membe na wengine wengi sana!!genesis ya deep state no hara kabla ya ukoloni Baada ya uhuru utaratibu uliendelea kuandaa vijana Hadi leo wanaandaliwa!

Tiss ni taasisi visible yenye ofisi zake ambazo zipo kuanzia st.peters na nyinginezo na hao wapo Kila sehem nchini!

Toss na Ds ni taasisi mbili tofauti DS sio visible kama Tiss lakini Kuna uwezekano member was toss akawa member was D's ndani ya Ross Kwa kujua au kutojua!!

Kiongozi was Ds ni insible yaani haonekani kabisa kiutendaji lakini D's inafanya kazi Hadi kimataifa ikishirikiana ki operation na Taasisi za nje kama CIA,NIC,M16,MOSSAD n.k!

Tumia akili kwenye Uzi was kitabu anasema "zibaki serikali mbili sio tatu kama mashirika ya kimataifa ya kijasusi yalivyo fanya utafiti!!

Tiss wao ni visible ambao kiongozi wao ni Rais,katibu mkuu kiongozi,Mkurugenzi was usalama wataifa na waziri was utumishi na operation zake zinaratibiwa chini ya office ya Rais lakini DS operation zake hata Rais hawezi kujua na anawajibika kwao Kwa kufuata maelekezo yao!!

D's Kwa Tanzania Boss wake no mashirika ya kijasusi ya marekani CIA,MOSAD,NIC,M16n.k!

D's Ina nguvu kuliko Tiss,coz operation za D's ni ujasusi wa kidola ambao haufuati amri ya Rais wa TZ,Bali Mashirika makunwa ya kijasusi ya kimataifa hasa Russia na USA na Uingereza!!

De Levi's na samurai Wana sema kila depertment ya D's Ina watu zaidi ya 200!

Nimeandika ninavoelewa!
 
Kwa mara ya kwanza ndo naisikia hiyo D'S ...nilidhani TISS ndo kila kitu kumbe ni cha mtoto kwa D'S ???
 
Tiss inawajibika Kwa Rais ndio maana viongozi wake wanateuliwa na Rais!

Deep state ni collaboration na mashirika ya kijasusi ya nje wengine wapo nje ya nchi kama diaspora s kumbe ni member was Ds na hata mkurugenzi wa Tiss hawajui na hata Rais anaweza asiwajue na hata wanapo report hawajui!!

Ipo hivyo!
 
Mkuu, Master NAMBA MOJA AJAYE NCHINI asante sana kwa unyenyekevu wako, uvumilivu wako dhidi ya maswali yangu na kwa kutoa muda na akili zako ku type ili kunijibu,

Asante sana, shukurani sana,
Nimewahi kuuliza mara kadhaa maswali hayo sikupata majibu yenye kukata kiu yangu,

Leo hakika umekata kiu yangu, Mungu Muumbaji azidi kukubariki wewe na uzao wako wooote.
 
Mkuu wewe!!

Sidhani kama nitakujibu!

Mawazo yangu ya kinadharia:-

Deep state imeanza kabla hata ya uhuru yaani enzi za ukoloni!

Wakati wanaachia nchi wakoloni waliiachia chini ya uongozi wa kanisa kubwa!huko ndipo chimbuko la ujasusi wote Duniani!

Why!!?kwasababu kanisa ndio mamlaka pekee ilioaminika kuandaa watawala kielimu na maadili ndipo tulipowapata kina Nyerere na co!

Maafisa was kwanza was idara nyeti walifunzwa vilivyo na seminary kielimu,na kupata mafunzo wa kijeshi ndani na nje ya nchi!kama kina Emilio mzena,kina Augustine mahiga,Benard membe na wengine wengi sana!!genesis ya deep state no hara kabla ya ukoloni Baada ya uhuru utaratibu uliendelea kuandaa vijana Hadi leo wanaandaliwa!

Tiss ni taasisi visible yenye ofisi zake ambazo zipo kuanzia st.peters na nyinginezo na hao wapo Kila sehem nchini!

Toss na Ds ni taasisi mbili tofauti DS sio visible kama Tiss lakini Kuna uwezekano member was toss akawa member was D's ndani ya Ross Kwa kujua au kutojua!!

Kiongozi was Ds ni insible yaani haonekani kabisa kiutendaji lakini D's inafanya kazi Hadi kimataifa ikishirikiana ki operation na Taasisi za nje kama CIA,NIC,M16,MOSSAD n.k!

Tumia akili kwenye Uzi was kitabu anasema "zibaki serikali mbili sio tatu kama mashirika ya kimataifa ya kijasusi yalivyo fanya utafiti!!

Tiss wao ni visible ambao kiongozi wao ni Rais,katibu mkuu kiongozi,Mkurugenzi was usalama wataifa na waziri was utumishi na operation zake zinaratibiwa chini ya office ya Rais lakini DS operation zake hata Rais hawezi kujua na anawajibika kwao Kwa kufuata maelekezo yao!!

D's Kwa Tanzania Boss wake no mashirika ya kijasusi ya marekani CIA,MOSAD,NIC,M16n.k!

D's Ina nguvu kuliko Tiss,coz operation za D's ni ujasusi wa kidola ambao haufuati amri ya Rais wa TZ,Bali Mashirika makunwa ya kijasusi ya kimataifa hasa Russia na USA na Uingereza!!

De Levi's na samurai Wana sema kila depertment ya D's Ina watu zaidi ya 200!

Nimeandika ninavoelewa!
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
1. Kwamba Ds imeanza kazi Tz kabla hata ya uhuru wetu, hii inaonyesha kuna mhimili mwingine uliojichimbia zaidi kuliko ule wa taasisi ya urais.
2. Wakoloni waliachia chini ya uongozi wa kanisa, hii imenikumbusha mzungu fulani wakati wa Mwl aliwahi kusikika akisema "serikali ya Tz iko mfukoni mwake" Mwl aliamua kumshikisha adabu, walijitokeza watu wengi kumwombea msamaha lkn Mwl hakukubali, watu wa kanisa walipomuomba Mwl asamehe alikubali, hapo nikajiuliza hii nguvu ya kanisa inatokea wapi? Leo nimejua 🙏🙏🙏.

3 Leo nimejua kwa nini Maembe na VP
huitwa waseminary.
4. kwamba kiongozi wa Ds ni visible, haonekani kiutendaji,
Hii inaonyesha kama vile DG huripoti na kuwajibika kwa boss wake rais, ndivyo ambavyo kumbe rais ana maboss zake naye ambao huripoti kwako.
 
Tiss inawajibika Kwa Rais ndio maana viongozi wake wanateuliwa na Rais!

Deep state ni collaboration na mashirika ya kijasusi ya nje wengine wapo nje ya nchi kama diaspora s kumbe ni member was Ds na hata mkurugenzi wa Tiss hawajui na hata Rais anaweza asiwajue na hata wanapo report hawajui!!

Ipo hivyo!
Ina maana hawana kikao? Kuna kitabu kinataja "the clinic" ..
 
Mkuu wewe!!

Sidhani kama nitakujibu!

Mawazo yangu ya kinadharia:-

Deep state imeanza kabla hata ya uhuru yaani enzi za ukoloni!

Wakati wanaachia nchi wakoloni waliiachia chini ya uongozi wa kanisa kubwa!huko ndipo chimbuko la ujasusi wote Duniani!

Why!!?kwasababu kanisa ndio mamlaka pekee ilioaminika kuandaa watawala kielimu na maadili ndipo tulipowapata kina Nyerere na co!

Maafisa was kwanza was idara nyeti walifunzwa vilivyo na seminary kielimu,na kupata mafunzo wa kijeshi ndani na nje ya nchi!kama kina Emilio mzena,kina Augustine mahiga,Benard membe na wengine wengi sana!!genesis ya deep state no hara kabla ya ukoloni Baada ya uhuru utaratibu uliendelea kuandaa vijana Hadi leo wanaandaliwa!

Tiss ni taasisi visible yenye ofisi zake ambazo zipo kuanzia st.peters na nyinginezo na hao wapo Kila sehem nchini!

Toss na Ds ni taasisi mbili tofauti DS sio visible kama Tiss lakini Kuna uwezekano member was toss akawa member was D's ndani ya Ross Kwa kujua au kutojua!!

Kiongozi was Ds ni insible yaani haonekani kabisa kiutendaji lakini D's inafanya kazi Hadi kimataifa ikishirikiana ki operation na Taasisi za nje kama CIA,NIC,M16,MOSSAD n.k!

Tumia akili kwenye Uzi was kitabu anasema "zibaki serikali mbili sio tatu kama mashirika ya kimataifa ya kijasusi yalivyo fanya utafiti!!

Tiss wao ni visible ambao kiongozi wao ni Rais,katibu mkuu kiongozi,Mkurugenzi was usalama wataifa na waziri was utumishi na operation zake zinaratibiwa chini ya office ya Rais lakini DS operation zake hata Rais hawezi kujua na anawajibika kwao Kwa kufuata maelekezo yao!!

D's Kwa Tanzania Boss wake no mashirika ya kijasusi ya marekani CIA,MOSAD,NIC,M16n.k!

D's Ina nguvu kuliko Tiss,coz operation za D's ni ujasusi wa kidola ambao haufuati amri ya Rais wa TZ,Bali Mashirika makunwa ya kijasusi ya kimataifa hasa Russia na USA na Uingereza!!

De Levi's na samurai Wana sema kila depertment ya D's Ina watu zaidi ya 200!

Nimeandika ninavoelewa!
Sitasahau kule kuahirishwa kwa kura ya maoni enzi zile kutokana na waraka uliotoka kwa wazee wa liturgy, ndipo nilipojua nguvu yao ni ya aje hapa kwetu, sijajua ni kwa nini hili la juzi liliwashinda, in short wao ni moja wapo ds maana zipo ds zaidi ya moja ambazo invisible, isisahaulikena wazee wa mzizima nao moja wapo wa ds.
 
Maoni ya wananchi ni sehemu ya DS .maandishi ya waastaafu ni sehemu ya DS
 
"Glubinnoye gosudarstvo real'no i deystvuyet inkognito, no yego resheniya i posledstviya sil'no b'yut po strane"
 
Vipi kuhusu TA na uzi wake ni kama aliaga hatarudi tena mpaka aliyokuwa ameyasema yatimie na kweli since then sijawahi kuona bandiko lake lolote tena lakini pia kuna huyu TE naye ni kama nyuzi zake zinashabihiana fulani na za TA je huenda hawa watu nao ni sehemu ya DS au wao ni whistle browers tu.
Drama series hii… we kula raha

Usiwaze saaana
 
Back
Top Bottom