Dark days 17/03/20...

Kuna tofauti kati ya kiongozi na mtawala. Kwa asilimia kubwa Tanzania imejawa na watawala kuliko viongozi. Viongozi ni wachache sana kiasi cha kumezwa na watawala, na kiongozi huyu akikaidi kumezwa na utawala basi humtema kwenye uongozi na utawala kwa namna mbali mbali.
 
Bei ya Sukari juu.

Nauli Juu.

Umeme usio wa uhakika.

Maandamano ya amani ya CDM kwa mara ya kwanza, huku wakiungwa mkono na walinda Amani wa wananchi.

Muelekeo wa uchaguzi mdogo mpka ule mkubwa.

Ukitaka kumuua mbwa mpe majina mabaya ili upate sababu, kama vile fisi akitaka kumla mwanaye humpa harufu nzuri nzuri na mionekano ya swala
 
Wanasemaga hiko chanzo kipo Arumeru na huko Tanga. Na panalindwa had Leo na om
 
HOJA iyo ingekuwa na UKWELI ikiwa Dunia ingekuwa duara kama chungwa.

Bt UKWELI ni kuwa Dunia ni Duara mithili ya coin, flat.

Pia Dunia haizunguki, Bali Jua na mwezi ndo vinazunguka.
 
Na pia Somalia ndio maana Wana msemo wao Wazungu kuwa "Somalia will never know peace until Jesus comes back"
Or "Tanganyika is peaceful coz DRC has war but the day DRC has peace then Tanganyika will have war".
 
Mkuu AggerFirminho 1. Kwa nini Somalia hawezi kuijua Amani hadi kurudi kwa Yesu??
2. Kwanini Congo ikitulia ikawa na Amani vita itazaliwa Tanganyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…