Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Lakini na yeye kwanini kaitoa public? Something isn't right somewhere
Huenda anafanya hivyo baada ya shauri zao kama wajeshi kutotiliwa maanani wanapozitoa kwahiyo bora umma ujue kama kuna hilo linaendelea.

Tiss wako busy na kulinda maslahi ya viongozi kwao maslahi binafsi ni muhimu kuliko maslahi na usalama wa taifa.
 
Hii kauli ya CDF ni nzito sana, inahitaji mjadala mpana sana.Je,ni udhaifu wa TISS na Uhamiaji au ni uzembe tu wa viongozi!!!
Mara nyingi ni uzembe wa viongozi kuchukua hatua.

Unaweza kuta files zote za hao watu ziko mezani kwa kiongozi ila hachukui hatua yoyote ile.

Kumbuka Kazi kubwa ya TISS ni ku warn na kutoa ushauri bali wa kuchukua hatua ni viongozi wa Umma.

Siku TISS wakiamua kuchukua hatua basi hali ni tete na lazima RIP zihusike

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, tatizo kubwa la kampunii hii, hatuna vipao mbele na kampuni. Tupo kibinafsi sana kupitia makundi kundi ya vyama vya siasa na visivyo vya siasa.

Tazama hata timu ya mpira wa kampuni inaendeshwa kisiasa kuliko kiuhalisia. Ile kempu ya kuchagiza itatumika hiyo hiyo kwenye kampeni ya mh.

Hizo taasisi ulizozitaja wamepangwa waitwao chawa, unafikiri weledi utakuwepo??

Watu wanajua ila hawasikilizwi na mamlaka kutoka juu. Kazi kulinda vyeo na maslahi mengine binafsi.

Inahitajika mapinduzi ya hali ya juu sana, watu wenye weledi na uchungu na kampuni hii.
 
Huenda anafanya hivyo baada ya shauri zao kama wajeshi kutotiliwa maanani wanapozitoa kwahiyo bora umma ujue kama kuna hilo linaendelea.

Tiss wako busy na kulinda maslahi ya viongozi kwao maslahi binafsi ni muhimu kuliko maslahi na usalama wa taifa.

Naam. Sahihi kabisa
Public attack. Wanaamini kuna wenye uwezo wa kung’amua mambo wataelewa wenye vyeo na nguvu huko huko juu ila labda wanafichwa kwa sababu fulani fulani.

Mchakato wa kuwapata waongoza kampuni ndio hovyo sana, viongozi hawapikwi tena, wenye kuitetea kampuni japo kwa asilimia (70%) bali wanapikwa watetea chama basi.
 
Mara nyingi ni uzembe wa viongozi kuchukua hatua.

Unaweza kuta files zote za hao watu ziko mezani kwa kiongozi ila hachukui hatua yoyote ile.

Kumbuka Kazi kubwa ya TISS ni ku warn na kutoa ushauri bali wa kuchukua hatua ni viongozi wa Umma.

Siku TISS wakiamua kuchukua hatua basi hali ni tete na lazima RIP zihusike

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app

Itafikia huku, lazima atokee mmoja atakayeleta falsafa yenye kuponya taifa. Naamini wapo ila uwoga ndio chanzo. RIP zitahusika sana maana imekuwa too much.
 
Afro shiraz party ndiyo chanzo cha weze la ayatolla. Ukichimba huko wese panachimbika na wale wazee wa sushi ndiyo chanzo cha mafuta ya johari. Very complicated, late CEO alitaka afro shiraz party mapato ya johari na wachimbe wese duh killer wapo wengi yaani unakufa kwa kudai haki yako
Kuna kitu umekiacha. Ni chanzo cha utajiri wa Iran na mataifa mengine ya kiarabu.
Mkuu unaonekana una point muhimu sana hapa, ila sijakusoma vizuri...

Fanya kufungua code kidogo yaani Kuna uhusiano gani kati ya afro shiraz na ayatolla kuwa na mafuta(wese).?

Nilishawahi kupata fununu kutoka chanzo kisicho cha uhakika nikapuuziaga... Sikuziamini.

Fununu ilikua inasema "Tz tukiamua kuchimba mafuta basi kunauwezekano tuka-divert mkondo wa mafuta kutoka nchi za kiarabu na ukahamia Tz"
kwa namna nyingine chanzo cha mafuta cha nchi za kiarabu ni huku Tz, na sababu inayofanya tusiyachimbe ni kwamba tumefanya fair kwakua nchi za kiarabu ni jangwa na hazina rasilimali za kutosha ukilinganisha na sisi huku Tz.
 
Kama ni Kweli si wangetupa wese Kwa bei ndogo Sana kama si BURE, kama kulipa fadhila

Tz wese LiPo jingi coz huwezi kuwa na mkondo wa gesi nyingi ukakosa wese.
 
Mkuu unaonekana una point muhimu sana hapa, ila sijakusoma vizuri...

Fanya kufungua code kidogo yaani Kuna uhusiano gani kati ya afro shiraz na ayatolla kuwa na mafuta(wese).?

Nilishawahi kupata fununu kutoka chanzo kisicho cha uhakika nikapuuziaga... Sikuziamini.

Fununu ilikua inasema "Tz tukiamua kuchimba mafuta basi kunauwezekano tuka-divert mkondo wa mafuta kutoka nchi za kiarabu na ukahamia Tz"
kwa namna nyingine chanzo cha mafuta cha nchi za kiarabu ni huku Tz, na sababu inayofanya tusiyachimbe ni kwamba tumefanya fair kwakua nchi za kiarabu ni jangwa na hazina rasilimali za kutosha ukilinganisha na sisi huku Tz.
Dah kuna kipindi ukiyafuatilia mambo unagundua kabisa late CEO alikuwa anataka hili taifa rasilimali zake zinazonufaisha wengine zinufaishe wenye mali sema ndo hivyo ubinafsi na kutoona mbali kutaendelea kutugharimu kama taifa.

Huyu mtu ni kama alikuwa anagusa kila penye uwezekano wa kupata haki zetu. Waliomuondoa walikosea sana bora wangemwacha tu akamalizia kipindi chake.
 
Kuondolewa kwa jamaa pia hakujipanga na hakujua anakabiliana na nani na vipi akabiliane nao. Ni vile alitumia hisia kuamua mambo, angejipa muda na kuungana nao kwani wananguvu na miziz mitefu sana. Option ni hiyo kula nao sahani moja huku una unajifunza kuhusu wao na nani ni nani na yupi niende nae.

Kwa jamaa alivyo na maisha aliyokulia jumlisha asili ya kabila utagundua alikosa unyenyekevu wakati ni moja ya silaha kubwa sana.

Ndio maana alifikia hatua akasema vita vya kiuchumi ni vita ngumu sana. Kuna
 
Uko sawa kabisa mkuu yaani alitakiwa awajue nje ndani ikiwezekana kuwakubalia baadhi ya mambo yao huku kwa kuwa yeye ana full power anakuwa ana deal nao taratibu na hasa kwa kubadilisha hata mifumo ya kiusalama.

Magu alikuwa kiongozi mzuri sana tatizo hakuwa na subira na alitaka kila mtu amuone anafaa na kumwonea huruma kumbe mafisadi yanamlia timing tu.

Ila kama taifa tunahitaji kiongozi wa kurekebisha sana mifumo yetu ya kulinda rasilimali za taifa na kufundisha uzalendo wa kweli kwa watanzania maana kwa sasa ukweli nchi yetu ipoipo tu aise yaani kila mtu anataka maslahi yake binafsi tu.

Tunaviongozi wachache sana wazalendo ambao nao wamemezwa na corrupt system na haki anani jambo la mitano tena lipite naiona Tanzania ikibaki mifupa mitupu. Maana ukweli mama hana anachokifanya na tumekalia ushabiki tu kwa kuwa watu binafsi wananufaika na uwezo mdogo wa rais wa kupambanua mambo.
 
Back
Top Bottom