chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Haya mafuriko ndo dalili za kuzama kwa jiji la Dar kama manabii wanavyotabiri ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha Ina ujumbe gn ndugu?
kwahyo njombe nako kwakua Mvua zinanyesha nyingi tuseme mji utazamaHaya mafuriko ndo dalili za kuzama kwa jiji la Dar kama manabii wanavyotabiri ?
Hii kauli ya CDF ni nzito sana, inahitaji mjadala mpana sana.Je,ni udhaifu wa TISS na Uhamiaji au ni uzembe tu wa viongozi!!!Baadhi ya wakimbizi wameajiriwa serikalini, wengine wameteuliwa.
Lakini na yeye kwanini kaitoa public? Something isn't right somewhereHii kauli ya CDF ni nzito sana, inahitaji mjadala mpana sana.Je,ni udhaifu wa TISS na Uhamiaji au ni uzembe tu wa viongozi!!!
Huenda anafanya hivyo baada ya shauri zao kama wajeshi kutotiliwa maanani wanapozitoa kwahiyo bora umma ujue kama kuna hilo linaendelea.Lakini na yeye kwanini kaitoa public? Something isn't right somewhere
Mara nyingi ni uzembe wa viongozi kuchukua hatua.Hii kauli ya CDF ni nzito sana, inahitaji mjadala mpana sana.Je,ni udhaifu wa TISS na Uhamiaji au ni uzembe tu wa viongozi!!!
Hii kauli ya CDF ni nzito sana, inahitaji mjadala mpana sana.Je,ni udhaifu wa TISS na Uhamiaji au ni uzembe tu wa viongozi!!!
Huenda anafanya hivyo baada ya shauri zao kama wajeshi kutotiliwa maanani wanapozitoa kwahiyo bora umma ujue kama kuna hilo linaendelea.
Tiss wako busy na kulinda maslahi ya viongozi kwao maslahi binafsi ni muhimu kuliko maslahi na usalama wa taifa.
Mara nyingi ni uzembe wa viongozi kuchukua hatua.
Unaweza kuta files zote za hao watu ziko mezani kwa kiongozi ila hachukui hatua yoyote ile.
Kumbuka Kazi kubwa ya TISS ni ku warn na kutoa ushauri bali wa kuchukua hatua ni viongozi wa Umma.
Siku TISS wakiamua kuchukua hatua basi hali ni tete na lazima RIP zihusike
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
“Uzembe tu wa viongozi “… una maana ganiHii kauli ya CDF ni nzito sana, inahitaji mjadala mpana sana.Je,ni udhaifu wa TISS na Uhamiaji au ni uzembe tu wa viongozi!!!
Afro shiraz party ndiyo chanzo cha weze la ayatolla. Ukichimba huko wese panachimbika na wale wazee wa sushi ndiyo chanzo cha mafuta ya johari. Very complicated, late CEO alitaka afro shiraz party mapato ya johari na wachimbe wese duh killer wapo wengi yaani unakufa kwa kudai haki yako
Mkuu unaonekana una point muhimu sana hapa, ila sijakusoma vizuri...Kuna kitu umekiacha. Ni chanzo cha utajiri wa Iran na mataifa mengine ya kiarabu.
Kama ni Kweli si wangetupa wese Kwa bei ndogo Sana kama si BURE, kama kulipa fadhilaMkuu unaonekana una point muhimu sana hapa, ila sijakusoma vizuri...
Fanya kufungua code kidogo yaani Kuna uhusiano gani kati ya afro shiraz na ayatolla kuwa na mafuta(wese).?
Nilishawahi kupata fununu kutoka chanzo kisicho cha uhakika nikapuuziaga... Sikuziamini.
Fununu ilikua inasema "Tz tukiamua kuchimba mafuta basi kunauwezekano tuka-divert mkondo wa mafuta kutoka nchi za kiarabu na ukahamia Tz"
kwa namna nyingine chanzo cha mafuta cha nchi za kiarabu ni huku Tz, na sababu inayofanya tusiyachimbe ni kwamba tumefanya fair kwakua nchi za kiarabu ni jangwa na hazina rasilimali za kutosha ukilinganisha na sisi huku Tz.
Si wamaeishapewa Amri ya kuichukia hiyo hatua kwa sheria iliyopitishwa mwaka Jana kuwalinda? Wanasubiri nini Sasa!!!Siku TISS wakiamua kuchukua hatua basi hali ni tete na lazima RIP zihusike
Dah kuna kipindi ukiyafuatilia mambo unagundua kabisa late CEO alikuwa anataka hili taifa rasilimali zake zinazonufaisha wengine zinufaishe wenye mali sema ndo hivyo ubinafsi na kutoona mbali kutaendelea kutugharimu kama taifa.Mkuu unaonekana una point muhimu sana hapa, ila sijakusoma vizuri...
Fanya kufungua code kidogo yaani Kuna uhusiano gani kati ya afro shiraz na ayatolla kuwa na mafuta(wese).?
Nilishawahi kupata fununu kutoka chanzo kisicho cha uhakika nikapuuziaga... Sikuziamini.
Fununu ilikua inasema "Tz tukiamua kuchimba mafuta basi kunauwezekano tuka-divert mkondo wa mafuta kutoka nchi za kiarabu na ukahamia Tz"
kwa namna nyingine chanzo cha mafuta cha nchi za kiarabu ni huku Tz, na sababu inayofanya tusiyachimbe ni kwamba tumefanya fair kwakua nchi za kiarabu ni jangwa na hazina rasilimali za kutosha ukilinganisha na sisi huku Tz.
Dah kuna kipindi ukiyafuatilia mambo unagundua kabisa late CEO alikuwa anataka hili taifa rasilimali zake zinazonufaisha wengine zinufaishe wenye mali sema ndo hivyo ubinafsi na kutoona mbali kutaendelea kutugharimu kama taifa.
Huyu mtu ni kama alikuwa anagusa kila penye uwezekano wa kupata haki zetu. Waliomuondoa walikosea sana bora wangemwacha tu akamalizia kipindi chake.
Uko sawa kabisa mkuu yaani alitakiwa awajue nje ndani ikiwezekana kuwakubalia baadhi ya mambo yao huku kwa kuwa yeye ana full power anakuwa ana deal nao taratibu na hasa kwa kubadilisha hata mifumo ya kiusalama.Kuondolewa kwa jamaa pia hakujipanga na hakujua anakabiliana na nani na vipi akabiliane nao. Ni vile alitumia hisia kuamua mambo, angejipa muda na kuungana nao kwani wananguvu na miziz mitefu sana. Option ni hiyo kula nao sahani moja huku una unajifunza kuhusu wao na nani ni nani na yupi niende nae.
Kwa jamaa alivyo na maisha aliyokulia jumlisha asili ya kabila utagundua alikosa unyenyekevu wakati ni moja ya silaha kubwa sana.
Ndio maana alifikia hatua akasema vita vya kiuchumi ni vita ngumu sana. Kuna