Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mzena..?
pale huwa wanapelekwa waliokata moto au wanaokaribia kukata moto, lengo ni ili kuzuia taarifa zisi-leak maana kuna mambo huwa yanachukua muda kuwekwa sawa!

unadhan akifariki leo wanatangaza kesho? huwa zinapita siku mpk 10 kulingana na nafasi ya mhusika, wanakua wanaweka mazingira sawa huku nje ndipo taarifa hutolewa!
"unadhan akifariki leo wanatangaza kesho? huwa zinapita siku mpk 10 kulingana na nafasi ya mhusika, wanakua wanaweka mazingira sawa huku nje ndipo taarifa hutolewa"

Mkuu dong yi kama kiongozi amefariki na ikachukua siku kadhaa kutangaza je upande wa familia wafiwa, vipi hujulishwa siku hiyo hiyo au nao huchukua siku kadhaa kujua hatima ya mpendwa wao?
 
Anakuwa sio mpendwa wao tena.
Ni mpendwa wa taifa zima
 
Kuna hosptali moja inanishangaza sana kwa taarifa ni kwamba ina madaktari wa viwango vya juu wote,na kuna vifaa vya hali ya juu sana wenye nchi yao hutibiwa hapo lkn cha ajabu kila kiongozi ukiskia kafika hapo hachomoki yani mhesabie siku tu anaondoka...
Sasa, kwa namna hii, watu si wataogopa kwenda kutibiwa hapo?
 
Kuna hosptali moja inanishangaza sana kwa taarifa ni kwamba ina madaktari wa viwango vya juu wote,na kuna vifaa vya hali ya juu sana wenye nchi yao hutibiwa hapo lkn cha ajabu kila kiongozi ukiskia kafika hapo hachomoki yani mhesabie siku tu anaondoka...
Naam wadau, huko kwenye kampuni kongwe huwa nasikia kuna kufanyiana umafia kwa njia tofauti tofauti ukienda kinyume nao.
1. Kutengenezewa ajali.

2. Kwenye kuwekewa...... 🎤 🎤 🎤

3. Mauti kwenye chakula au maji.

4. Hotelini kwenye sabuni au taulo.

5. Zawadi ya kitu cha thamani.

6. Kiti/viti.........
Je njia nyingine ni zipi huzitumia ukiachilia hizi?
Ingawa baadhi ya njia hizi huwa nina maswali sipati jibu kwamba huwezekanaje?
 
Ziko nyingi mkuu ....

Kuna ya kupewa barua / documents kuzisoma au kuidhinisha kitu flani.. Hizo documents zinakuwa zimepakwa kitu kama poda ...
Ziko nyingi kwenye kampuni ..

Kuna siku nilicheka sana ...nilipewa mbinu ya kutengeneza ajali ...

Inakodiwa gari flani huwa zinapaki mjini kwa ajili ya kubeba magari yaliyoharibika (break down) ..
Sasa linachukuliwa wanaenda sehemu wanachukua gari ya mhusika na kuigonga pembeni ...huku mhusika akishuhudia ...baadae break down inaliburuta mpaka nje ya mji ...mhusika anawekwa ndani ya gari ...
Baada ya hapo inapigwa simu polisi na mazingira yalishawekwa vizuri ..

Mhusika hapo anakuwa kaumia sana akipelekwa hospitalini ..njiani anakata moto ...
Kampuni nyingi huwa wanafanya ujinga huu ...unaona ajali kabisa ..kumbe mchongo ..
 
Mbona basi wanaofanya uovu hawana uwoga wowote?
Acha tumwamini Mungu tu, mambo yote huku duniani ni ubatili tena ni kujilisha upepo
 
D
Ziko nyingi mkuu ....

Kuna ya kupewa barua / documents kuzisoma au kuidhinisha kitu flani.. Hizo documents zinakuwa zimepakwa kitu kama poda ...
Ziko nyingi kwenye kampuni ..

Kuna siku nilicheka sana ...nilipewa mbinu ya kutengeneza ajali ...

Inakodiwa gari flani huwa zinapaki mjini kwa ajili ya kubeba magari yaliyoharibika (break down) ..
Sasa linachukuliwa wanaenda sehemu wanachukua gari ya mhusika na kuigonga pembeni ...huku mhusika akishuhudia ...baadae break down inaliburuta mpaka nje ya mji ...mhusika anawekwa ndani ya gari ...
Baada ya hapo inapigwa simu polisi na mazingira yalishawekwa vizuri ..

Mhusika hapo anakuwa kaumia sana akipelekwa hospitalini ..njiani anakata moto ...
Kampuni nyingi huwa wanafanya ujinga huu ...unaona ajali kabisa ..kumbe mchongo ..
Duuuuuuh hatari sana na unyama mwingi.
Inaonekana ukiwa wa rank fulani kwenye kampuni inabidi ukae chini upate kusoma mbinu zote zenye kutumika ili kujilinda na hila zozote.
 
Nimekaa nimeusoma huu uzi baada kusikiliza interview ya Mo Dewji nimekuja kugundua kuna umuhimu wa kuwa na team imara katika kuiongoza nchi. Uongozi wa Borntown ukikuwa na kasoro zake lakini ulikuwa na team imara. Ukiangalia Late CEO na New CEO hawana team. Unaona kabisa maafisa wa serikali wanakinzana na kila mtu anatoa maagizo. Hichi kitu kinaharibu nchi na kinatengeneza mapengo makubwa sana ya kuruhusu mambo kufanyika bila uongozi kujua. Mara mia Borntown na Mamvi wangemaliza tofauti zao na kumruhusu Mamvi agombee 2015. Ukisoma magazeti na ukiangalia taarifa ya habari unaona kabisa viongozi hawafanyi kazi pamoja. Inabidi CCM ikae chini na iunde team ya watu makini bila kuangalia ushabiki. Iundwe team ya watu wenye uwezo, inashangaza sana kuona viongozi wanateuliwa kichawa. Ukiangalia CV za wateule wetu unaweza ukashindwa kumshauri mwanao asome au akazane na mbio za mwenge. Pengine akikomaa na mbio za mwenge anaweza akapata hata ukuu wa wilaya.
ukiweka mbali ubinafsi ukaongea ukweli,utagundua hakuna rais aliyefanya mazuri kwenye kipindi chake cha kwanza.
Huu ndo ukweli. Maana unapoingia kazini unakuta kundi la mtangulizi wako.Kundi hilo linakuwa na makundi mawili ndani yake,kundi la kwanza ni la wapambe wa aliyetoka na la pili ni lile lililokuwa halipendwi na mstaafu.

Unapoingia,miaka mitano ya kwanza ni kuyaangalia haya makundi kuchuja nani wa kwenda naye na nani wa kumuacha
Dr.Magu,baada ya miaka mitano ya kujipanga ili awe na team anayoiona inamfaa akarest in peace.
Kwa mantiki hiyo sioni kama anaweza kulinganishwa na yeyote kati ya watangulizi wake
katika upangaji wa team. Wengi wanatarajia kujisafisha na kufanya wayatakayo kipindi cha pili
wakiwa wameishaondoa mifumo ya zamani na kuweka mipya waipendayo.
 
Hata baada ya miaka mitano bado alikuwa hajapata team nzuri. Marais wote waliopita walikuwa na team imara. JPM alikuwa na wanafiki na wanamdanganya. Alikuwa anaambiwa mabaya ya vijana wake lakini alikuwa mgumu kukubali. Alikuja kulamba matapishi na kumrudisha na kumweka karibu Rostam. Tanzania hatuendelei kwa sababu hatuna malengo ya muda mrefu. Elimu na uwezo havipewi kipaumbele. Kuna wakuu wa wilaya wana elimu ya kuungaa unga huku waliomaliza vyuo hawana ajira. Makonda na Nape wana vigezo gani kuwa viongozi wa nchi hii. Waangalie viongozi wa Rwanda na Cv zao. Tanzania ya leo hii uwekezaji wa elimu upo chini sana. KUNA degree zinafundishwa vyuoni lakini hazipo tena katika soko la ajira la dunia. Mmomonyoko wa uongozi ulianza na Kikwete na JPM anaendeleza. Tunaona magu kafanya makubwa kwa sababu upigaji wake ulikuwa kupitia miradi ya ujenzi toka alipokuwa wizara ya ujenzi huku Kikwete ulikuwa kupitia Wizara ya Mambo ya Nje. Upigaji ni ule ule lakini kwa njia tofauti.
 
Hata baada ya miaka mitano bado alikuwa hajapata team nzuri. Marais wote waliopita walikuwa na team imara. JPM alikuwa na wanafiki na wanamdanganya. Alikuwa anaambiwa mabaya ya vijana wake lakini alikuwa mgumu kukubali. Alikuja kulamba matapishi na kumrudisha na kumweka karibu Rostam. Tanzania hatuendelei kwa sababu hatuna malengo ya muda mrefu. Elimu na uwezo havipewi kipaumbele. Kuna wakuu wa wilaya wana elimu ya kuungaa unga huku waliomaliza vyuo hawana ajira. Makonda na Nape wana vigezo gani kuwa viongozi wa nchi hii. Waangalie viongozi wa Rwanda na Cv zao. Tanzania ya leo hii uwekezaji wa elimu upo chini sana. KUNA degree zinafundisha vyuoni lakini hazipo tena katika soko la ajira la dunia. Mmomonyoko wa uongozi ulianza na Kikwete na JPM anaendeleza. Tunaona magu kafanya makubwa kwa sababu upigaji wake ulikuwa kupitia miradi ya ujenzi toka alipokuwa wizara ya ujenzi huku Kikwete ulikuwa kupitia Wizara ya Mambo ya Nje. Upigaji ni ule ule lakini kwa njia tofauti.
Natamani tupate mwizi mwingine kama magu,atujengee hospitali,barabara na mahospitali.
Watanzania hatuendelei kwa sababu ya kukosa fadhira, ndo maana tunawasifia wanaotuibia na kujijenga wenyewe.
Mungu aturehemu sana.
 
Kwangu mimi ukabila alioanzisha JPM umefuta mazuri yote aliyofanya. Ubabe wa kuwafungia wafanyabiashara akaunti za benki. Mtu anaacha kuwafungia akaunti wanasiasa waliopita anakazana na wafanyabaishara. Rais wa kwanza kuweka kipaumbele alipozaliwa mpaka kujenga Uwanja wa ndege wa kimataifa. Hela zote zilizotumika haziwezi kurudi. Kila miradi aliijenga haukuwa na mipango thabiti. Hakuna ajira zilizozalishwa. Mama huyu anaomba kutoka kwa JPM hakuna mtu anaongea kuhusu Kizimkazi kwa sababu tushazoea alichofanya JPM Chato. Hakuna mtu anaongea kuhusu wazanzibari kwa sababu JPM alishatuzoesha kuhusu wasukuma.Tukitaka tuendelee inabidi mapinduzi makubwa yafanywe ndani ya CCM.JPM ndiye aliyeanzisha teuzi zisizokuwa na sifa. Wakuu wa wilaya na mikoa wasio na vigezo na sifa. Na mama analiendeleza hilo.
 
Nonsense mimi sikuona hata kitu kimoja ulivyosema hapo
 
Back
Top Bottom