Dark days 17/03/20...

Alishakuwa na timu yake Sema walikuwa WANAFKI.

Ila timu aliitengeneza vizuri tu kwa mda mfupi.

Kumbuka alikaa miezi mitatu bila cabinet
 
Natamani tupate mwizi mwingine kama magu,atujengee hospitali,barabara na mahospitali.
Watanzania hatuendelei kwa sababu ya kukosa fadhira, ndo maana tunawasifia wanaotuibia na kujijenga wenyewe.
Mungu aturehemu sana.
Huna unalolijua .
Mungu akurehemu peke yako
 
Kamfufue Kenge wewe
 
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1360]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji880]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii yote inatokana na kabila lililomkuza kuamini mwanamke si kitu kwaiyo aliamini atamcontrol kwa kila kitu japo alijua nae ni jipu kulingana na msemo wa late CEO
2015 simlaumu kukubali, lkn 2020 kukubali kwendelea naye anastahili lawama.

Kosa jingine alikubalije kuwa karibu na akina Janabi wakati wanajua yule alikuwa ni mtu wa karibu na BT?
Hivi kwa nini alikubali kumpokea Double agent wa CIA Roast Azeze?
 
Umekalilishwa.
 
Unaandika pumba. Huna ulijualo
 
Unaandika pumba. Huna ulijualo
Asante sana hii inaonesha umeelewa na umepata cha kujifunza. Unasema mtu anapambana na ufisadi wakati hakuna waziri au mwanasiasa aliyeshtakiwa mahakamani wafanyabiashara ndio waliokuwa wanateswa .Kina Home shopping Centre, Mo Dewji na Bhanj Logistics bado walikuwa wanamiliki bandari kavu kipindi cha JPM na jamaa alikuwa anapata Gawio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…